Birthday ya CCM Mwanza, Malori yaanza kumiminika

Birthday ya CCM Mwanza, Malori yaanza kumiminika

Subiri asuburi malori toka magu, kisesa, kwimba na kwingineko yatakapoanza kuingia mjini
 
Japo vijana wa visuti vyeusi get jeusi makumbusho wanaonekana wakirandaranda
 
chakula uwanjani ni dharau kwa watz wakati hospitali hazifanyi kazi.
 
ingefanyikia kigoma ingekuaje?acheni unafki watanzania ile ni b'day yao waachane wafurahie..!sisi kazi 2lionayo si majungu bari ni 2015 kufanya kweli basi..!ayo mengine nia Ccm ndani ya Ccm 2kizidi sana itakua unafki
 
Japo vijana wa visuti vyeusi get jeusi makumbusho wanaonekana wakirandaranda

yeess tupe updates...
Na TBC wakijipendekeza ama wakipendekezwa na kuonekana wakionesha.... Basi tu...
 
Wakuu wajanja, hii ngoma imekaa pabaya. Watashangilia vipi, ilhali kuna ishu ya Madaktari haijakaa sawa. Posho nazo zinawafanya wanapigana ngumi za uso. Japo naona wamefanikiwa kuizima ishu ya Mwakyembe!
 
Subiri saa za mchana pilau ikishaiva! Si walishapita wakasema soda za kunawia mikono na pilau la kusaza ila halina nyama? CCM iko juu wewe!
 
KWA MTAJI WA MADUDU HAYA YA POSHO KWA WABUNGE, VIFO MI-HOSPITALINI NA ANASA ZA CCM KWENYE BISIDEI WAKATI TAIFA LIKISONONEKA UGUMU WA MAISHA KILA KONA YA NCHI - CCM SASA KUPOKELEWA NA SALAAM ZA CHUKI JIJINI MWANZA

Tusubiri kwa hamu kubwa aibu watakayoipata CCM kule Mwanza mara baada ya wananchi kugundua kwamba matanuzi yote hii kwenye Besidei ya CCM kwenye jiji lao yote ni WIZI MTUPU n UFISADI wa Rasilmali za taifa kwa faida binafsi ya wachache huku wagonjwa wakiendelea kufa ma-hospitalini.

Naam, nasema kwamba wanachokifanya CCM hivi sas kule Mwanza wala haina tofauti hata kidogo na mtu ambaye akili hazijatosha hata akaamua kuangusha sherehe ya nguvu ya disko wakati taifa zima tuko kwenye MSIBA WA UONGOZI unaozorotesha matumaini ya maendeleo na kushamiriha UFISADI kote nchini.

Hakika itakua ni kichekecho cha mwaka pindi itakapofika ule muda wa CCM kuanza kuwapigisha mstari 'WANACHADEMA FEKI' eti wanarudisha kadi zile zilizochapishwa Manzese eti kwa madai kwamba wamepatwa na MAPENZI YA GHAFLA kwa hiki chama tawala ambacho hivi sasa kiko kwenye spidi 250 kwa saa kuelekea kaburini baada ya kushindwa kuwaletea maendeleo WaTanzania na kuzidisha uongozi wa kitapeli kila mahali.

Endapo watakua wagundua kwamba ghiliba hizi tayari taarifa zimezagaa kila mahali nini wanachokusudia kukifanya kuendeleza geresha kama walivyofanya majuzi kumvalisha Mary Chatanda nguo za ki-Daktari kule hostali ya Mount Meru Arusha na kudai eti huko hakuna mgomo, pengine watakapobadili hiyo mbinu chafu ndio itakayokua pona yao kutokana na Machalii wa Jiji la Mwanza.

Na Sinema na Ngonjera za CCM kote nchini bado zinaendelea kukinaisha wananchi kila kona ya nchi hii siku hadi siku.

wanaJF
i. Kama ni kweli ni hali ya hatari. Hizi ni kodi na Rasilimali za Watanzania wote. Tafsiri sahihi ya ufisadi ni pamoja na matumizi mabaya ya ofisi na rasilimali za umm.
2. Haya yanafanyika siku chache tu baada ya kutumia 64 billioni kwa sherehe zisizo na tija ya miakaka 50
3.Taifa limeshindwa kupandisha posho ya dakya daktari ya 10 elfu tu! Kweli hawana huruma na Taifa hili. Lazima tupige kelele zaidi.
 
Wacha washangilie ujinga wao wakati sisi tunaendele na siku KUU ya kuzaliwa mtume wetu!!!!!!1
 
Maadhimisho ya miaka 35 ya CCM, yamefanyika mkoani Mwanza ambapo mkuu wa kaya amehudhuria na kujumuika na green gard SIO WAKAZI WA MWANZA kuandamana kuanzia KEMONDO, OFISI ZA CCM MKOA mpaka viwanja vya furahisha.

Green gard hao wengi wametoka wilaya za sengerema, waliambatana na Ngeleja, walipitia Barabara ya Mwanza shy. wengine wametoka Magu na Misungwi.

Zifuatazo ni baadhi ya picha za maandamano, ambapo waandamanaji akiwemo mkuu wa kaya walikuwa kwenye =msafara usiozidi mita 50.

nawasiliasha, PICHA ZA MAANDAMANO.

ccm1.jpg ccm2.jpg ccm3.jpg ccm4.jpg ccm5.jpg ccm6.jpg ccm7.jpg ccm8.jpg ccm9.jpg cmm10.jpg cmm11.jpg

Inasemekana ng'ombe 70 wamechinjwa kwa ajili ya mlo wa mchana wa leo kwa watakaofika viwanja vya CCM KIRUMBA
 
maadhimisho ya miaka 35 ya ccm, yamefanyika mkoani mwanza ambapo mkuu wa kaya amehudhuria na kujumuika na green gard sio wakazi wa mwanza kuandamana kuanzia kemondo, ofisi za ccm mkoa mpaka viwanja vya furahisha.

Green gard hao wengi wametoka wilaya za sengerema, waliambatana na ngeleja, walipitia barabara ya mwanza shy. Wengine wametoka magu na misungwi.

Zifuatazo ni baadhi ya picha za maandamano, ambapo waandamanaji akiwemo mkuu wa kaya walikuwa kwenye =msafara usiozidi mita 50.

Nawasiliasha, picha za maandamano.

View attachment 46689 View attachment 46690 View attachment 46691 View attachment 46692 View attachment 46693 View attachment 46694 View attachment 46695 View attachment 46696 View attachment 46697 View attachment 46698 View attachment 46699

inasemekana ng'ombe 70 wamechinjwa kwa ajili ya mlo wa mchana wa leo kwa watakaofika viwanja vya ccm kirumba

hawa ndo ccm bwana
 
Wamewachukua watu kijijini na kuwaleta mjini kwenye malori,kweli CCM chama cha mafisadi kinadhalilisha haki na utu wa mwanadamu! 2015 bye,bye,bye,bye mafisadi CCM.
 
Katika mchezo ambao vijana wa 'magamba' walitukaribisha wenyewe eti kusherekea kuzaliwa kwa chama chao, tumewapelekea gunia la mchanga kwenye pilau lao baada ya kuwatandika mabao 3 kwa 1. Hongereni vijana wa Mageuzi!

What the fuccckk??
 
HIVI NI NANI HUYO ALIYEKICHUUZA CCM KUPELEKA BESIDEI YAKE KATIKA UKANDA HUU WALIKOKATALIWA TANGU ZAMANI ZILE - MBONA FEDHEHA ZISIZO ZA LZIMA HIZI??

Kama mambo yenyewe ndio kama hivi kwenye Besidei ya CCM huko katika picha basi ni wazi kwamba aliyekishauri uongozi wa juu wa chama hiki kupele sherehe zao huku Kanda ya Ziwa ambako ni siku nyingi sana walishaamua kukipotezea kimoja chama hiki, ama kweli atakua amemchuuza vibaya sana hasa huyu ndugu yetu Nape Nnauye na jokumu lake la kukitembeza hiki chama cha magamba kisichouzika katika ukanda huu hata kwa mkopo.

DSC04184.JPG
 
Maadhimisho ya miaka 35 ya CCM, yamefanyika mkoani Mwanza ambapo mkuu wa kaya amehudhuria na kujumuika na green gard SIO WAKAZI WA MWANZA kuandamana kuanzia KEMONDO, OFISI ZA CCM MKOA mpaka viwanja vya furahisha.

Green gard hao wengi wametoka wilaya za sengerema, waliambatana na Ngeleja, walipitia Barabara ya Mwanza shy. wengine wametoka Magu na Misungwi.

Zifuatazo ni baadhi ya picha za maandamano, ambapo waandamanaji akiwemo mkuu wa kaya walikuwa kwenye =msafara usiozidi mita 50.

nawasiliasha, PICHA ZA MAANDAMANO.

View attachment 46689 View attachment 46690 View attachment 46691 View attachment 46692 View attachment 46693 View attachment 46694 View attachment 46695 View attachment 46696 View attachment 46697 View attachment 46698 View attachment 46699

Inasemekana ng'ombe 70 wamechinjwa kwa ajili ya mlo wa mchana wa leo kwa watakaofika viwanja vya CCM KIRUMBA

mbona wenye njano kama wanafunzi wa sekondari O LEVO?
 
Usisahau kuhama lokesheni mkuu kila unaporipoti,jf members tunawindwa sana na usalama wa taifa japo hawatuwezi,wamatumia magari yaliyoandikwa(Mukesh Traves Ltd) kwa sherehe hii,haaaahahaaaaaaa!Mie ni dereva wa Mukeshi

Nashukuru kwa taarifa nitakuwa makini na hawa vibaraka wa ccm kila ninapokuwa kwenye tukio
 
Back
Top Bottom