Birth day yangu ni 09.12.2011 natimiza miaka 50

Birth day yangu ni 09.12.2011 natimiza miaka 50

Happy birthday in advance.
Mungu akubariki na miaka mingine ya kutosha kuona na kufurahia wajukuu na vitukuu vyako.
 
50 yrs old, hongera sana mkuu. God be with you.
 
dah...hongera sana mkuu kwa kuishi maisha marefu sambamba ni uhuru wa tanzania....ile siku nchi inakwamua mikononi kwa wakoloni wazazi wako nao walipata furaha ya pekee ndani ya familia yenu. ukweli ni siku muhimu sana kwenu. Hongera sana..watu kama nyie serikali ilipaswa kuwapa special treatment kwenye birthday zenu
 
Mkuu tujipiganie kwa nguvu tu, bila hata kujali special treatment zozote. Rasilimali zetu zimegeuka shamba la bibi. Hebu tuje na mbinu mpya baada ya tarehe 09 disemba 2011...
 
Angalia usitimize miaka 50 ya kuwa 3 leading beggar dunian
 
Well well well, nimefika. Asanteni nyote kwa SALA zenu. Sasa natazama mbele.
 
Back
Top Bottom