hiyo namba 2 wakati wanasubiri akue anaweza kuongezwa nyingine hapo hapo nyumbani....Two options
1: mchukueni mkambwage kwa huyo jamaa alozaa naye. No discussion
2. Subirini tu akue then mpeni mtaji ili arudi kwenye house yake ya urithi
Forcibly get her tubes tied.
Tofaut yangu na wewe ipo wazi... wewe n mkali wa speling na uandishi and as for me mkali wa pointi and fact... iko ndo kinatutofautisha kwa yeyote ataesoma iz comment anaona
nenda kapange foleni ya msosi.!
Bado mna muda wa kumwita kumkalisha chini na kumuhoji kama wazazi
Pia kumpatia mwongozo wa maisha baada ya hapo
Kosa kashafanya kwa sasa anahitaji muongozo kutoka kwenu kama wazazi
baba wa mtoto tunamfahamu kwa jina aliloandika kwenye kadi ya kliniki zaidi nilimtrace facebook so tuna detail zake shida hataki kumleta rasmi ili aambiwe majukumu yake kama baba.Mumbane awaambie baba wa mtoto.La sivyo atafanya kamchezo na muangalie jinsi ya kumtoa hapo home.Mpe mtaji akajitegemee, la sivyo ataongeza mwingine.
Kuna binti namfahamu ameshafikisha watoto watatu hapohapo nyumbani kwao, and the worse part of the story kila mmoja na babake.
shalet
Ndoa ya mkeka!
Usikute hako ni katoto ka mmoja wenu hapo hapo nyumbani, chekini na "father house"!
jina la baba wa mtoto tumeliona aliloandika kwenye kadi ya kliniki zaidi nimemfuatilia facebook na wanawasiliana bado, wanatumiana na picha za mtoto kwa hiyo baba wa mtoto namfahamu tatizo hamleti nyumbani kumtambullisha
kosa ni mpaka pale mfanyaji a feel guilty tofauti huyu binti ana aman zote hivyo itaonekana tunamlazimisha aonekane kakosea option nzuri ni kumuondoa home sababu wazazi wake wana nyumba akaishi huko.