Binti yako akipata ujauzito nyumbani utafanyaje?

Binti yako akipata ujauzito nyumbani utafanyaje?

Acha uzembe mtoa uzi he is in need, anahitaji ushauri wako sio kumsahihisha kiswahili... amini mm ni mpuuzi tu aneweza chunguza makosa ya uandishi katika stuation hiyo ya mleta maada

Soma vizur ulichokiandika, alafu upime kati yako na Yang nan mzembe??..
 
Soma vizur ulichokiandika, alafu upime kati yako na Yang nan mzembe??..

Tofaut yangu na wewe ipo wazi... wewe n mkali wa speling na uandishi and as for me mkali wa pointi and fact... iko ndo kinatutofautisha kwa yeyote ataesoma iz comment anaona
 
Tofaut yangu na wewe ipo wazi... wewe n mkali wa speling na uandishi and as for me mkali wa pointi and fact... iko ndo kinatutofautisha kwa yeyote ataesoma iz comment anaona

Non sense... kalale.
 
Kumbe eazazi wake wana nyumba?

Binti kakua huyo

Mpeni mtaji aingie mtaani kama miezi sita hivi atajua maisha ni nini.....

Na ada hatoila tena
 
Tena zigo la misumari


...kosa la kwanza kapata mimba na kuzalia nyumbani.
..then hataki kufanya chochote, si shule wala kazi..aaah!
..huyo keshakua mzigo tayari..!

Halafi kwa kuwa hasemwi wala hachukuliwi atua ataendelea kuwaongeza tu hapo
 
BADILI TABIA
ndio tuna mpango wa kumpa mtaji ajaribu maisha hapo hataruhusiwa kurudi home labda atembelee magoti .
 
Last edited by a moderator:
duh...eti wanachat kana kwamba hakuna kilichotokea........next baby coming soon,,
 
...kosa la kwanza kapata mimba na kuzalia nyumbani.
..then hataki kufanya chochote, si shule wala kazi..aaah!
..huyo keshakua mzigo tayari..!

tulimpa zawad alivyojifungua basi anaona alifanya jambo zuri kupata mimba sasa tuntaka alipie kosa lake.
 
shalet
Hapo kwenye blue mbona mlishafikia mhafaka? Unatutafuta wanajamvi maneno bure!
 
Last edited by a moderator:
Mwambieni muda wa yeye kwenda kwa baba mtoto wake umefika.
Hapo kwa sababu anakula anashiba anachukulia poa.
Kama hataki kumtambulisha baba wa mtoto, Mfungasheni ndio atatia akili.
 
aina haja ya kutumia nguvu kaeni nae chini awaelezeni baba mtoto na anampango gani nae na labda huyo mr yukoje kiuchumi,pengine ni mwanafunzije?
 
Nitampeleka clinic kwa ajili ya kuanza taratibu za mama mjamzito
 
Hilo wazo la kumpa mtaji wa vitafunwa ndio mtakuwa mmempoteza kabisa, na hivi mmeshajua ana udhaifu, badala ya kuuza hivyo vitafunwa atatafunwa yeye.

kumsaidia ni kumtambulisha kwa wataalamu wa uzazi wa mpango wamdunge masindano, na vilevile apate nasaha juu ya magonjwa ya zinaa coz anaonekana hata kazi ya kondomu labda hajui...na mumlazimishe ahudhurie kozi yoyote, kama za hoteli, ujasiria mali n.k. walau hata ubongo upatepate rutuba.

Na hicho kidume kitafutwe, na kiwe kinampeleka mzazi mwenzake kliniki.
 
Naunga mkono hoja katika huo uamuzi wenu mlofikiria.....ila hakikisheni kwanza na baba wa mtoto mnamjua!
 
Mtaji wa biashara alipaswa awaombe yeye hapo ndio angeonyesha yupo tayari kufanya hiyo biashara. Huyo mtampa mtaji na atakula wote biashara haitasimama coz hajawa serious bado. Labda mumpe kwa kumuonea imani tu but msiwe na high hopes nae
 
Mimi ndo nimezaa nae na nikweli tunatumiana picha,jaman tusamehen tulinogewa nakamchezo..
 
shalet

Ndoa ya mkeka!

Usikute hako ni katoto ka mmoja wenu hapo hapo nyumbani, chekini na "father house"!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom