UTASHI
Senior Member
- Jan 19, 2013
- 135
- 56
tulifikiria hivyo shida inakuja tutatakiwa kusimamia kila kitu na kuhakikisha wanaishi sawa tukaghairi.
Mtu akiwa hajajiandikisha/hakufanya mtihani huwa hapati alama za aina yoyote,Hayo matokeo ya zero mlioyaona huko baraza la mitihani aliyapataje?
"Mchelea mwana kulia hulia yeye" Binti yenu ametenda kosa,na ninyi mmeogopa kumrekebisha na kumkanya,Kwa hali hiyo ujinga wenu nyie walezi wa kutomkanya huyo binti umeshamuingia huyo binti kujiona hana kosa "mazoea hujenga tabia",Na kwa sasa endeleeni kumlea yeye na mtoto wake,na subilini mimba nyingine inakuja;WALEZI GANI NYIE MNAOKWEPA KUMKANYA BINTI YENU?
Hapo mlitakiwa kufuatilia kila kitu na kujua suluhisho la majukumu na mahusiano ya binti yenu.Kwa vile binti alishapotelewa na wazazi wake nyie walezi hamko makini kwa maisha yake.Nina wasiwasi amefanyiwa ukatili na mmoja wa wanafamilia wa karibu sana,sasa mnaficha ficha ili kukwepa kesi na kuendelea kumharibia zaidi maisha ya huyo binti.