Binti wa namna hii unamfanyaje?

Endelea kumhudumia huenda akabadilika. Lakini ujue kuna wenzako wanamtafuna kiulaini sana.
 
Aisee biashara gani hiyo yakukaa miez 5 dry??? Niheri unipe guni 5 zamchele nuhesabi punje mojamoja kuliko kufanya huo ujinga
 
ila wanaume tunaisha asee[emoji23][emoji23]
badala ya kumuita mwanamke lodge/geto wewe unamuita NJE YA MJI! kweli?

nje ya mji ndo wapi huko chifu tuanzie hapa kwanza.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahaha hilo litakuwa ni jina la lodge ambayo ipo humu humu JF
 
Zingati masomo kwanza
 

Huyu binti anajielewa na yupo muwazi. Hongera kwa wazazi waliompa elimu ya kujielewa na kujicontrol.
 
Hivi kupima Bei gani? Acha upuuzi kapime kula utakavyo pimbi wewe
 
Yani wewe Ni bwege kabisa. Yani huoni huyo anakupenda kwa dhati mkuu..
 
una akili gani wewe?? mtu kujali afia yake unauliza ufanyeje?? nendeni mkapime hii ni muhimu sana na sio kwake tu inawezekana hata yeye ameadhirika ukaepuka matatizo yasiyo ya lazima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…