Binti wa Karume azua mtafaruku kortini Dar

Binti wa Karume azua mtafaruku kortini Dar

Really the lady is bold and courageous, most importantly she "DARE TALKED OPENLY". Na hii ndio moto au sera ya JF.Congats lady.
 
Really the lady is bold and courageous, most importantly she "DARE TALKED OPENLY". Na hii ndio moto au sera ya JF.Congats lady.

Mie niko pamoja na wale wote tulio anza kuwa na mawazo chanya,kwamba sasa ina husu tuendeleze struggle ambayo Fatmah ameanza,haiajrish kwamba 'unamjua' ama umfahamu.
Nataka nikumbushe kitu,Mwl.JK Nyerere alikuja kutoka kwao Uzanaki kuja aliwakuta wazaramo bwerere Dar lkn Yeye kama wakuja na single person ali lead the struggle kwa Independence na wakafanikiwa kwa kuwa tu watu walimfata na aliweza kwenda kwa wadhungu kusimama kuomba uhuru.
Na hapa pia Kabint kameanza ni ladhima TUSEME RUSHWA NO MORE!and off caurse it start with you
Embu jamani tumueni Kifimbo kwa kuping hi kitu,tafadhali Watanzania,tuwaache wale wanao endeleza propaganda kwani zimeshindwa kutusaidia kwa miaka 46 sasa!
Nihayo tu napenda kuwakilisha!
 
Nadhani wewe ndugu unachofikiri huyu binti alifanya hivyo cos yeye ni mtoto wa Rais ndio maana unangangania alifanya fujo.

Mimi, wewe na yule hakuna hata mmoja aliyekuwepo mahakamani, na aliyepeleka hiyo habari kwenye media na huyp hakimu anayedai alitaka kupigwa. sasa hapo unategemea habari itasema nini??? hata hao waandishi wa habari hawakuwepo zaidi ya kusimuliwa

Kwa hiyo Mkuu unachotaka kusema ni kuwa hakumfokea hakimu? Hakumwambia maneno anayodaiwa kuyasema mahakamani? Hayo maneno yote ni spin ya mahakimu wa Kisutu? Sasa kama ni hivyo, huo ushujaa/ujasiri mnaouzungumzia ni upi? Kusema kuwa aliombwa rushwa? Naomba unifahamishe, mashtaka ya rushwa PCCB aliyapeleka wakati gani? Baada ya hakimu wa kwanza kuomba rushwa? Maana mnasema mahakimu wanairusha kesi baada ya yeye kutoa ripoti PCCB! Kama vile mnavyonilaumu mimi kuwa nashupalia suala hili ati kwa sababu ya jina lake natumaini na nyie hamfanyi kosa hilo hilo la kumtetea kwa sababu ya jina lake! Nilishasema wali kuwa hatuwezi kujidanganya kuwa huyu Wakili sio kama mimi kutokana na jina lake. Kitendo chochote atakachofanya kitaangaliwa na kuchambuliwa kuliko kama ningefanya mimi. Hii inampa responsibility ya kuwa above reproach. Hii haikwepeki.Ndio maana mpaka leo tunagongana mawazo kuhusu suala hili.
Mimi ninachopinga ni kuvunja miiko ya mahakama hata kwa sababu gani! Ninarudia,kama alifanya hivyo vinavyodaiwa kuwa alifanya, kwa sababu yeyote ile, anastahili kuchukuliwa hatua ili isi set precendent! kama hakimu hakumchukulia hatua aliyopaswa kuchukua kwa mtu yeyote anayeonyesha contempt of court, nae inabidi achukuliwe hatua. Kutokuripia vitendo kama hivi kutatoa mwanya kwa watu wenye nia mbaya kutumia kisingizio hiki hiki. Nilikasirika kwa sababu hakimu aliniomba chochote! Katika hili, I respectfully beg to differ. Hata hivyo, nitafurahi sana kama nitaumbuliwa kwa kuona kuwa baada ya hii tafrani kutatuliwa, wakili msomi ataendeleza mapambano yake dhidi ya rushwa na kuendelea kumtetea mnyonge. Hapo, hata mimi nitamwita shujaa!
 
Mkuu Fundi,
Mie nakubariana na urguements zako ila lazima na wewe ukubari kwamba kwenye nchi kama hii yakwetu amaboyo UFISADI ni jambo la kawaida (umeshawahi mara ngapi wakisema,MTU ANAKULA MEZANI/OFFISINI KWAKE!)
Inakupaswa muda mwingine utumie ile kwenye mpira "advantage tricky" Hii ndio iliyo mwezesha kabint kutochukuliwa hatua kama ingelitokea kwa mwanasheria mwengine.Mimi,wewe wala si DK ambao tulikuwapo mahakamani inawezekana Bint alisema yale yalisemekana ya mesemwa na zaidi lkn all in all ameweza kuwakilisha kilio cha walio wengi kuhusu rushwa.
Narudia kusema,"Sio lazima mtoto wanyoka kua nyoka" inategemea na mazingira ya makuzi
 
Kama kulikuwa na mjadala wa rushwa, mbona hili halikuandikwa kwenye vyombo vya habari, badala yake yakaandikwa madai ya Fatma kumfanyia fujo Hakimu?

Nani anasema kweli hapa?

Fatma alizuiwa kuwaambia waandishi kuhusu PCCB? Au alizuiwa na PCCB kutoongea na waandishi juu ya hilo?

Tusiwe mabubu, viziwi na vipofu, kuwatukuza na kuwatumikia hawa 'watawala' na uzao wao, kwa kisingizio kwamba wanatuwakilisha. Wanajali maslahi yao... mimi ninaongea kwa kushuhudia, si kuambiwa!

Fatma hakudaiwa rushwa! Lakini hatawajibishwa kwa kuwa tu ni mtoto wa mtawala! Nani asiyejua yule kijana machachari (namhifadhi jina) aliyegonga mtu na kumwua kwa uzembe wake (alikuwa hodari wa kuendesha gari kwa fujo), maeneo ya Victoria, enzi hizo? Alifutiwa kesi ya mauaji na DPP, na hakuna aliyethubutu kusema chochote... leo hii kijana katulia, kaoa, anaitwa baba, anaendesha miradi yake... mingi mikubwa tu, ambayo asingeipata kwa kuwa tu baba yake ni mtu mzito serikalini. DPP alifuta kesi, duniani, lakini hukumu ya mwisho itatolewa kwa Mungu! Fatma naye atahukumiwa... hata ajichimbie wapi. Kumfanyia fujo hakimu ni utovu wa nidhamu na ukosefu wa maadili wa kupita kiasi!
 
Hapa pia tusisau kuwa wengi wetu tumetokea pia kuwachukia watoto wa wakubwa kwa sababu ya madudu ya baba zao na hivyo kutoa maoni yetu bila makini.Yeye kama binadamu baada ya kuona kesi inapigwa danadana unafikiri angelifanya nini wakati jazba ilishapanda?
Maana mahakimu wa mahakamanin wanaushirikiano sana hasa wanapogundua umemchongea mwenzao kwa PCCB.Wataamua kukukomoa kwa kufuata taratibu za mahakama.
Lakini hapa pia kuna maswali mengi!!
-Kwanini almost mahakimu watatu wanaikimbia hii kesi?
-Je ni kweli kuwa wamegundua hakuna ulaji hapa?Hivyo mkono mtupu haulambwi.
-Au wanaogopa kuishughulikia kwa kuwa wakili ni mtoto wa kigogo?
 
Hapa pia tusisau kuwa wengi wetu tumetokea pia kuwachukia watoto wa wakubwa kwa sababu ya madudu ya baba zao na hivyo kutoa maoni yetu bila makini.Yeye kama binadamu baada ya kuona kesi inapigwa danadana unafikiri angelifanya nini wakati jazba ilishapanda?
Maana mahakimu wa mahakamanin wanaushirikiano sana hasa wanapogundua umemchongea mwenzao kwa PCCB.Wataamua kukukomoa kwa kufuata taratibu za mahakama.
[COLOR="RoyalBlue"]Lakini hapa pia kuna maswali mengi!![/COLOR]-Kwanini almost mahakimu watatu wanaikimbia hii kesi?
-Je ni kweli kuwa wamegundua hakuna ulaji hapa?Hivyo mkono mtupu haulambwi.
-Au wanaogopa kuishughulikia kwa kuwa wakili ni mtoto wa kigogo?

Mbona unasahau uwezekano mwingine ulio muhimu pia?

Kwa nyongeza,
Wanaikataa kesi hiyo kwa vile huyo binti ni mkorofi na anataka kutumia cheo cha babake kumdharau kila mtu!

rejea, ''wewe hunifahamu mimi ni ninani?'' alitaka hakimu amfahamuje zaidi ya kumfahamu kwamba ni wakili anaye mtetea mteja wake?

Hata Marmo, tunaona hapa alivo sema, na si kama waandishi walivo sema kwamba serikali yampongeza
soma hapa. http://www.mwananchi.co.tz/newsre.asp?id=3257
 
[/SIZE]
rejea, ''wewe hunifahamu mimi ni ninani?''

Rwagubiri hiyo sikatai kwa kuwa siko kichwani kwa huyo mdada.Kusema "hunijui mie, ntakuonyesha" Misemo kama hii tulianza kuisikia tangu shule za msingi mtoto mwenzio anapokupiga mkwara.Hii imeendelea hata makazini na hasa njagu.Na hii inaweza ikawa inalenga kuexplain uwezo wa mtu katika kukushughulikia au influence yake katika kukushughulikia.Sasa siwezi jua yeye alisema hivyo kwa vile ana baba rais au kwa vile yeye hababaishwi na anajiamini na kuijua haki yake na kazi yake au ni mtu king'ang'anizi asiyekubali vichenga vya kitoto.
Wote tunajua kuwa ukiwa na courage ya kukataa na kuzungumza mambo fulani utaitwa "jeuri au mkorofi"
Hapa kinachogomba ni mshiko tu.
 
nasikia huyo hakimu kakamatwa na TAKURURU leo(nimeona kwa michuzi) akipokea rushwa...wenye habari watupe kama kuna ukweli
 
Koba, wewe humzungumzii yule wa Temeke? Usiwachanganye hawa!
 
Inasemekana Hakimu Jamila Nzota wa mahakama ya Temeke amekamatwa jana akitaka kuvuta installment ya pili ya hongo ya shs milioni 4 aliyokuwa ameidai. Installment ya kwanza ilikuwa milioni 1, akaipiga tarehe kesi, inelekea kushinikiza alipwe installment ya pili? Mambo yote ilikuwa yawe Sea Cliff ( hivi hoteli hiyo kunani? Sio bure kuungua kama mambo yenyewe ndiyo hivi!) lakini jamaa akawatonya wahusika,mtego ukategwa, aliyelengwa akanasa. Kinachotisha ni kuwa haya yametokea wakati haya mengine yameshika moto! Sikio la kufa kweli halisikii dawa. Link yenyewe hii hapa http://www.ippmedia.com/ipp/guardian/2007/12/06/103727.html
 
Koba, wewe humzungumzii yule wa Temeke? Usiwachanganye hawa!

..no clue ,just saw a comment ya mtu kwa michuzi kuhusu binti karume na hakimu wake kakamatwa na rushwa
 
Hawa ni mahakimu tofauti huyu Nzota wa Karume Lyamuya.. kama sijakosea! what is common in them ni kwamba wote ni wana mama na ni mahakama za Dar period!
 
Lawyers top Christmas sleaze list

Aislinn Simpson said:

Last Updated: 2:50pm GMT 06/12/2007

Some might say that seedy sex, scrapping and getting sloshed is something those working in the legal profession might frown on. But if this year’s industry magazine’s Christmas Quiz is to be believed, lawyers are the worst of the bunch - hitting each other with champagne bottles, engaging in threesomes and claiming the services of prostitutes on expenses.

The excesses of one of the country’s least favourite professions will also serve as a warning to those preparing for their own work Christmas parties.

hnlaw306.jpg

nlaw306.jpg

Lawyers are a badly behaved bunch, according to the Christmas sleaze poll

Among the horrors revealed by the quiz was the story of a trainee who was sacked after they threw up on a partner at a Christmas dinner, and another of a female partner at another firm dispatched to an Asian outpost after she was caught in a simultaneous liaison with two of her trainees.

At another firm, two secretaries had a fight over the attentions of a partner at a party. One hit the other with a bottle of champagne, leaving her choking on her chewing gum and having to be rushed to hospital. An Asia-based shipping partner got so drunk on sake that he passed out at the table, lost control of his bodily functions and had to be taken to hospital by the client he was meant to be entertaining.

In another episode, a lawyer who could not find a taxi while at a meeting in Cannes hired a call girl to drive him back to his hotel before paying her and asking her to leave. A Premiership footballer even features in the quiz, for cuckolding a leading City partner, who took time off work to save his marriage. Despite the litigious trade they represent, the magazine Legal Business says it has not once been sued in 14 years of the quiz’s publication.

“2007 has seen lawyers earn more than ever with partners regularly taking home more than £1 million,” says Legal Business editor James Baxter. “Our quiz seems to suggest that morality levels in the legal profession are directly linked to earnings, with one decreasing as the other increases. Quiet pride or private turmoil, the answers will, as ever, remain under lock and key.”

Hii ni tabia yao ambayo inahitaji ukarabati wa hali ya juu.
 
Hakim Akamatwa Na Rushwa Hotelini Haya Wale Tuliosema Jamani Huyu Mama Anajua Nini Kinachoendelea Alishindwa Tu Kujieleza Nini Cha Kufanya Haya Tusubiri Mtoto Wa Mwinyi Au Mkapa Nayeye Akumbnane Nayo Hay0 Ndio Tutaamini ,,,,wewe Mwapachu Na Ndugu Yako Nagu Nmnayaona Haya Au Mnabaki Oficini Kusaini Cheque Haya Ona Sasa Mungu Atatumia Hata Kuku Kudhihirisha Haki Kwa Wanadamu Ombeni Sana Na Muwe Macho
 
Hii nchi imeoza kwelikweli chini ya uangalizi wa CCM.Na hii inaonyesha SERA mbovu za hiki chama,viongozi wake makapi,wabunge ni watumwa wa serikali na wengi wao ni walafi na wanafiki tu.
Kwa walio nje hii inaweza kuwa ngumu kujua lakini uozo upo kuazia ofisi ya msajili wa vizazi na vifo mpaka katika wizara.Polisi na Mahakama ndo vigogo. Unaweza ukalia, mashiki na mshitakiwa wote mtaliwa mpaka utajuta kwa nini uliamua kufungua kesi
 
Kwa wale wote ambao tulisimamia kwenye mawazo chanya kwamba yote yana wezekana,ikiwa watu wote watakua na msimamo na kusimama kupinga yale tuliyo na uwezo nayo na tusiona uwezo nayo hata kwa maneno hapa JF na wanaosimamia haki hata ku-risk nafasi zao,bila ya kujari wewe ni mtoto wa nani nchi hii,habari wanazipata.

Huu ni ushindi tosha kwa wenye mawazo chanya
Hii ipo kwenye gazeti la leo Mwananchi.

Habari za kawaida
Posted Date::12/7/2007
Hakimu aliyetuhumiwa na mtoto wa Karume kizimbani kwa rushwa
*Atetewa na jopo la mawakili watano
*Wataka vyombo vya habari visiandike

*Hakimu akataa asema vina haki

*Aliyeshikwa juzi naye afikishwa kortni

Na Irene Lipende

HAKIMU Mkazi, Adolf Mahay wa Mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam ambaye hivi karibuni alituhumiwa kwa rushwa na Wakili Fatuma Karume jana alipandishwa kizimbani kujibu mashitaka manne ya rushwa yanayomkabili.

Akisoma hati ya mashitaka hayo jana katika Mahakama ya Kisutu, Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Temeke, Domina Mukama alidai mbele ya Hakimu Catherine Revocate kuwa Agosti mwaka huu, mshitakiwa alitenda makosa hayo akiwa katika mahakama hiyo na katika hoteli ya Sea Cliff ya Jijini Dar es Salaam.

Domina alidai kuwa katika shitaka la kwanza, Agosti 2007 mshitakiwa akiwa Hakimu wa Mahakama hiyo alimuomba rushwa ya Sh60,000 mlalamikaji Sadiq Ahmed ili aweze kumsaidia kuidhinisha uamuzi wa kesi ya ndoa namba 60/2006 inayomkabili.

Alidai kuwa katika shitaka la pili, katika mwezi huo huo mwaka huu, mshitakiwa huyo aliomba rushwa ya Sh 30,000 kutoka kwa Sadiq ili aweze kumsaidia pia kuidhinisha uamuzi wa kesi yake.

Domina alidai kuwa katika shitaka la tatu, mnamo Agosti, mwaka huu mshtakiwa pia alijihusisha na kupokea rushwa ya dola za Marekani 100 kutoka kwa Sadiq ili aweze kutoa uamuzi katika kesi yake ambayo alishinda.

Aliendelea kudai kuwa katika shitaka la nne mwezi Agosti, mwaka huu mshitakiwa alijihusisha na rushwa ya Sh50,000 kutoka kwa Sadiq ili amsaidie katika kesi yake inayomkabili.

Mshtakiwa baada ya kusomewa mashtaka hayo alikana na Mahakama ilihairisha kesi hiyo hadi Januari 30 mwakani na mshtakiwa yupo nje baada ya kutimiza masharti ya dhamana ya kuwa na wadhamini wawili kwa dhamani ya Sh500,000 kila mmoja.

Kabla ya kesi hiyo kuahirishwa Wakili Issa Maige ambaye ni mmoja kati ya mawakili watano wanamtetea Hakimu huyo, alitaka Mahakama izuie wanasiasa na vyombo vya habari kuzungumzia tuhuma za mshitakiwa kwa namna yoyote hadi kesi hiyo itakapokamilizika.

?Kwa kuwa tayari kuna baadhi ya vituo vya radio vilivyothubutu kurusha hewani kanda na kusikika sauti ya mshitakiwa akiomba rushwa, hivyo naomba Mahakama kuzuia vyombo vya habari kutoandika wala kutangaza suala hili,? alisema Maige.

Hata hivyo, Domina aliiomba Mahakama kutupilia mbali ombi hilo na waandishi waendelee kuandika kwani wananchi wana haki ya kupata habari.
 
Hakimu ameomba rushwa ya sh 60000,50000, dola mia na 30000? Mwenzake alidai milioni nne! Mimi msimamo wangu bado uko pale pale. Kama wakili msomi alifanya anavyodaiwa kufanya anabidi achukuliwe hatua.Kama huyu hakimu alidai na kupokea rushwa naye sheria ifuate mkondo. Kinachonitia wasiwasi na mwenendo wa hili shauri ni kuwa Kesi iko Ilala, rushwa ilidaiwa Kinondoni na inasimamiwa na kanda ya Temeke! Napenda kutoa tahadhari tu kuwa kuna maofisa wengi tu baada ya kuonekana kuwa ni obstacle wamebambikiwa kesi ya kudai rushwa. Hii ipo, kama vile rushwa ilivyopo. Sasa tuone kama kuna hatua yeyote atakayochukuliwa wakili msomi kwa shutuma ya kufanya fujo mahakamani!
 
Sheria msumeno Kaka,

Simamia hapo hapo.

kama amepeleka malaamiko yake tayari kwa chombo kile cha mawakiri then maamuzi yatatolewa,

HAKUNA HAKI BILA YA WAJIBU !

I guess this is what they say ee...!

i would love to see this is done in a proper manner kama Kabint nako kata tozwa hata faini au lolote.... ingawa sitopenda lolote litokee kwa bint kama unanielewa!
 
Hakimu ameomba rushwa ya sh 60000,50000, dola mia na 30000? Mwenzake alidai milioni nne! Mimi msimamo wangu bado uko pale pale. Kama wakili msomi alifanya anavyodaiwa kufanya anabidi achukuliwe hatua.Kama huyu hakimu alidai na kupokea rushwa naye sheria ifuate mkondo. Kinachonitia wasiwasi na mwenendo wa hili shauri ni kuwa Kesi iko Ilala, rushwa ilidaiwa Kinondoni na inasimamiwa na kanda ya Temeke! Napenda kutoa tahadhari tu kuwa kuna maofisa wengi tu baada ya kuonekana kuwa ni obstacle wamebambikiwa kesi ya kudai rushwa. Hii ipo, kama vile rushwa ilivyopo. Sasa tuone kama kuna hatua yeyote atakayochukuliwa wakili msomi kwa shutuma ya kufanya fujo mahakamani!

Mkuu FM,
Nadhani unafatilia bado hii habari.
Juzi nimesoma article furani sikumbuki gazeti gni ila Bint anaweza kushitakiwa mwezi wa kwanza ikiwa atakutwa na hati na ushahidi ukidhibitika.Stay tuned
 
Back
Top Bottom