Binti wa Karume azua mtafaruku kortini Dar

hapa ndipo natamanigi niwe bongo.. ningemswekwa Lupango halafu nione askari gani atamtia pingu! Tukiwaambia wamelewa ugimbi wa madaraka wanatushangaa, sasa hadi watoto wao wameanza kupata ganzi kisa baba ndio kala mbilimbi!
Mzee Mwanakijiji......🤔🤔
 
Jf imeanzishwa mwaka gani maana naona ni uzi wa 2007 huu..na JF kumbukumbu zangu zinaniambia imeanza 2008
 
Baba mkanye mwanao zama zimebadilika... Hapa ndo tunaona tofauti ya Awamu iliyopita na ya sasa!!
 
Jf imeanzishwa mwaka gani maana naona ni uzi wa 2007 huu..na JF kumbukumbu zangu zinaniambia imeanza 2008
Ilikuwepo na ilichange jina tu baada ya mizengwe mini serikalini from Jambo forums to Jamii Forums
 
Back
Top Bottom