robert sendabishaka
JF-Expert Member
- Dec 11, 2015
- 2,973
- 3,052
Ndio maana ikatafsiriwa 'dark cloured'Huyo si mweusi tu bali ni giza
Ndio maana ikatafsiriwa 'dark cloured'Huyo si mweusi tu bali ni giza
Hapa alijichubua kidogoyuko vema kwa kweli
Dah yaani ukimuangalia yeye na kimvuli chake ni kama Rangi zinafanana.Ndio maana ikatafsiriwa 'dark cloured'
Sio kwa weusi huo aiseeView attachment 2026655
Mkazi wa Gambele nchini Ethiopia ambaye kwa uasili ni mtu wa Sudan Kusini kutoka kabila la Dinka bi Nyakim Gatwech mwenye umri wa miaka 27 ndio kwa sasa mtu mweusi zaidi duniani.
Nyakim abajulikana kwa ngozi yake yenye weusi asilia.
Makofi kwake
Lovely
Full jotroooView attachment 2026655
Mkazi wa Gambele nchini Ethiopia ambaye kwa uasili ni mtu wa Sudan Kusini kutoka kabila la Dinka bi Nyakim Gatwech mwenye umri wa miaka 27 ndio kwa sasa mtu mweusi zaidi duniani.
Nyakim abajulikana kwa ngozi yake yenye weusi asilia.
Makofi kwake
SanaaAna rangi nyeusi ya kutosha
Kivuli chenye MavaziDah yaani ukimuangalia yeye na kimvuli chake ni kama Rangi zinafanana.
Hiyo picha ya kwanza huyo mtu wa kwanza ndio huyo aliye ingia kwenye Rekodi.
Mmmmh kumzidi huyu?Mbona wa kawaida kuna watu ni weusi aseeh huyu anasubiri
CharcoalSio kwa weusi huo aisee
Wapo wengi tu mbona huyo ni zeruzeru kabisa check huyu from dinka south sudanSio kwa weusi huo aisee
Hakika kabisa ni kimvuli kilicho valishwa nguo.Kivuli chenye Mavazi
Hizi rangi kwel zpo au wanapaka oil?
Wamenipora ushindi wangu. Mimi ni mweusi hadi ulimiHizi rangi kwel zpo au wanapaka oil?
Red km chemli imeish weseWanakuaga wamoto hawa...halaf vere red
Weka picha tuthibitisheWamenipora ushindi wangu. Mimi ni mweusi hadi ulimi
Duuuuh