Binti mwenye mwandiko Bora duniani

Kawaida tu mbona hiyo.mimi nikiwa darasa la tatu nilishinda mashindano ya umitashumita ya kitaifa ya mwandiko mzuri.it was 1998.
 
Weeeee,sema wengine ndio hvyo hyo guiness ipo mbali,kuna maraia wana,miandiko mizuri balaaaa,

Kwa uchache tu,

Majid Hamidu(classmate)
Kidawa Yusta(Office mate)

Hao unaweza sema ni kompyuta ndio imeandika na sio binadam
Weka hapa mkuu huwa napenda mwandiko wa kuvutia
 
Binti yangu alieko darasa la tatu anaandika vzr lkn huyu amemzidi nampongeza kwa dhati kabisa, na ninashukuru mwanangu wa kike anaandika mwandiko uliosimama alafu wa kiume nitahakikisha anafanya vzr kwenye mwandiko na jembe langu pia baada ya machungu ninayopitia
 
Yeah, mwandiko kama wa mwalimu wangu Lameck Masunga. Sema tu vijijini hawajui kama kuna mashindano kama haya, lazima mwalimu wangu angeshinda! Akiandika utafikri kompyuta imeandika kwa mwandiko wa kulaza!! Tena kwenye zile karatasi zisizokuwa na msitari!
 
Weeeee,sema wengine ndio hvyo hyo guiness ipo mbali,kuna maraia wana,miandiko mizuri balaaaa,

Kwa uchache tu,

Majid Hamidu(classmate)
Kidawa Yusta(Office mate)

Hao unaweza sema ni kompyuta ndio imeandika na sio binadam
Naunga mkono hoja!
Kwanza sikatai kuwa mwandiko wake ni mzuri sana. Lakini kusema ni mzuri zaidi hapo nakataa, ninachokiona hapo ni kufanikiwa kwake tu kuiumba vizuri herufi ya kwanza katika kila sentensi.....hapo yuko vizuri lakini mwandiko kwa ujumla no!

Mfano mdogo tu ni kuwa necta wana utaratibu wa kutoa vitabu vyao vya ripoti za mitihani ya f2 na f4 kila mwaka na humo hutoa hadi mifano, kwa picha kabisa ya karatasi husika ya mwanafunzi, ya wanafunzi waliopatia maswzli na wasiopatia kwa ajili ya walimu na wanafunzi waliobaki kujifunza. Nilibahatika kuviona kadhaa vilivyoletwa na kijana wangu; aisee kuna watoto wanaandika jamani, hususani hawa wa kike. Nikifananisha mwandiko wa huyu bingwa na hao naona bado sana!
 
Weeeee,sema wengine ndio hvyo hyo guiness ipo mbali,kuna maraia wana,miandiko mizuri balaaaa,

Kwa uchache tu,

Majid Hamidu(classmate)
Kidawa Yusta(Office mate)

Hao unaweza sema ni kompyuta ndio imeandika na sio binadam
Oyaaaa mwanangu Steve niaje??? Majid hapa
 
Nzuri sana,kuna mwanafunz ana mwandiko mzuri kutuzidi walimu ila ndo hajui kusoma....ananakili vizuri ajabu na mwingine ukimpa kitabu Cha kujifunzia anasoma vizuri page zote Siku tukampa kitabu Cha darasa lingine alishindwa kusoma hata neno ma kumbe alikariri kitabu Cha mwalimu anavyowafundisha Kila Siku.Watoto bhana🤣🤣
 
Nimekumbuka dada mmoja alikuwa na akili balaa, alikuwa na mwandiko mbaya bora hata ma dr wanajitahidi. Tukiwa f5 yeye 6, alikuwa anashinda darasani.

Tukawa tunajiuliza walimu wanasomaje mwandiko wake?

Maskini necta walishindwa kusoma mwandiko wake mtu alokuwa akitegemewa kuwa na div one ya point 3 akaja na 3, alilia sana mpaka walimu wakasema kwa muandiko wake asingechomoa.

Alikuwa ananipenda ananipa notis zake nashindwa kusoma kabisa.ila yeye fasta yaan in short alikuwa anakorogo kama vile anachora kumbe ndo anaandika
 
Hivi inakuwaje mtu anakuwa na hand writing nzuri

Mimi mpaka leo nikiandika kama bata na kazi tunafanya hivyo hivyo..

Hebu nianbieni mnafanyaje mpaka mwandiko unakuwa mzuri?
Pacha wako bata mbona hajui kusoma wala kuandika?
 
Kanikumbusha kisa cha nyani na mfalme.hapo zaman katika zama za khalifa Harun Rashid katika nchi ya Irak kulikuwapo na mwana mfalme aliyehusudika kwa uchaw akageuzwa nyani sasa katika kufugwa siku nyani yule alikuwa anaonesha haiba na tabia sio ya kawaida kama ma hayawan wengine wa tarjama yake.
Siku akaandika hati ile karatas ikafika kwa mfalme akaagiza aliyeandik hati ile aletwe maajabu makubwa kuletwa nyani.badae alipozinguliwa ndio wakajua ni mwana mfalme wa nchi za mbali aliyelogwa kichawi.
 
Back
Top Bottom