What a calligrapher! Ila kuna jamaa yangu kampita kwa kiasi fulani tu.
What I believe ni kwamba, uandishi pia ni hobby. Watu wanaopenda kuandika ndio wenye miandiko mizuri!
Na naamini pia, vile unavyozoea kuandika basi muandiko nao hubadilika na kuwa mzuri. Kwa mfano, mimi nikikaa muda mrefu bila kuandika, basi muandiko nao hubadilika.
So haka katoto nadhani anapenda kuandika kuliko hata kula! Ni wale watu wanaoweza kuandika kuanzia hata asubuhi hadi jioni bila kuchoka! Kuna jamaa yangu anaweza kuandika kwa masaa mengi tu yaan huwa anachoka kukaa tu!