Binti mwenye mwandiko Bora duniani

Binti mwenye mwandiko Bora duniani

Weeeee,sema wengine ndio hvyo hyo guiness ipo mbali,kuna maraia wana,miandiko mizuri balaaaa,

Kwa uchache tu,

Majid Hamidu(classmate)
Kidawa Yusta(Office mate)

Hao unaweza sema ni kompyuta ndio imeandika na sio binadam
Kweli kk ni vile ju Guinness iko mbali
 
Mungu kambariki, sisi wengine tukiandika ni kama kapita bata vile.
Ni vurugu vurugu TU,
utadhani kakakuona kapita
IMG_20220321_012556.jpg
 
Hivi inakuwaje mtu anakuwa na hand writing nzuri

Mimi mpaka leo nikiandika kama bata na kazi tunafanya hivyo hivyo..

Hebu nianbieni mnafanyaje mpaka mwandiko unakuwa mzuri?
Ushirikina unahusika mkuu
 
Nmekumbuka japhet Charles Munna
(Kama yumo humu,Nampa kongole)

Huyu jamaa anaandika utadhan printer
 
Nimepigwa Sana nikachukia shule... Nilikuwa naandika km nacheza drafti
 
Sisi wengine tukiandika aibu tupu
utadhan Bata mzinga kapita
2022-08-08-17-58-52.jpg
 
Daaah, huyu kaukosa udaktari! Nasikia moja ya sifa ya kujiunga na course za udaktari ni sharti uwe na mwandiko mbovu.
 
Back
Top Bottom