Binti mwenye mwandiko Bora duniani

Binti mwenye mwandiko Bora duniani

Mimi nina mwandiko mzuri huyo dada hanifikii, but wakati nasoma mwandiko wangu mzuri sana nilikuwa nina andika kwenye mtihani ambao nina hakika B+ na A, cause kuandika mwandiko mzuri speed inapungua
 
Kweli mwandiko mzuri. Amenikumbusha kuna Dr mmoja ana mwandiko mbaya. Yaani hata yeye sometimes huwa anakuja kushindwa kusoma kitu alichoandika mwenyewe.
😂 Doctor katisha...mpaka anashindwa kusoma mwandiko wake mwenyewe
 
Nimekumbuka dada mmoja alikuwa na akili balaa, alikuwa na mwandiko mbaya bora hata ma dr wanajitahidi. Tukiwa f5 yeye 6, alikuwa anashinda darasani.

Tukawa tunajiuliza walimu wanasomaje mwandiko wake?

Maskini necta walishindwa kusoma mwandiko wake mtu alokuwa akitegemewa kuwa na div one ya point 3 akaja na 3, alilia sana mpaka walimu wakasema kwa muandiko wake asingechomoa.

Alikuwa ananipenda ananipa notis zake nashindwa kusoma kabisa.ila yeye fasta yaan in short alikuwa anakorogo kama vile anachora kumbe ndo anaandika
 
Binti yangu alieko darasa la tatu anaandika vzr lkn huyu amemzidi nampongeza kwa dhati kabisa, na ninashukuru mwanangu wa kike anaandika mwandiko uliosimama alafu wa kiume nitahakikisha anafanya vzr kwenye mwandiko na jembe langu pia baada ya machungu ninayopitia
Mungu atawasimamia...nakuombea kwa Mungu utashudia mafanikio tele kwa wanao...God will give you strength to do better for your kids, so continue to be Strong and Courageous mkuu
 
Weeeee,sema wengine ndio hvyo hyo guiness ipo mbali,kuna maraia wana,miandiko mizuri balaaaa,

Kwa uchache tu,

Majid Hamidu(classmate)
Kidawa Yusta(Office mate)

Hao unaweza sema ni kompyuta ndio imeandika na sio binadam

Nilijua mtakuja tu kupinga,, ndio yale yale ya umri, akitolewa bibi alievunja rekodi ya dunia ki umri mnaanza oh huku tunao wengi tu, tena wakubwa zaidi yake 😁😁 ujuaji mbaya sana 😁
 
Weeeee,sema wengine ndio hvyo hyo guiness ipo mbali,kuna maraia wana,miandiko mizuri balaaaa,

Kwa uchache tu,

Majid Hamidu(classmate)
Kidawa Yusta(Office mate)

Hao unaweza sema ni kompyuta ndio imeandika na sio binadam
Ungeleta picha za miandiko yao ingekua vizuri mkuu na sisi tujionee na kujivunia vya kwetu
 
Ungeleta picha za miandiko yao ingekua vizuri mkuu na sisi tujionee na kujivunia vya kwetu
Office mate kashastaafu kama miaka 4 iliyopita,school mate tumeachana kitambo sana tena siku hz ni mhadhiri huko Japan,ila mkuu hao watu unawwza kujua komopyuta ndio imeandika
 
Nilijua mtakuja tu kupinga,, ndio yale yale ya umri, akitolewa bibi alievunja rekodi ya dunia ki umri mnaanza oh huku tunao wengi tu, tena wakubwa zaidi yake 😁😁 ujuaji mbaya sana 😁
Kwa hiyo mkuu wewe hujawahi kuona watu wenye miandiko mizuri kuliko huo?
 
Ni vile tu hatukwenda kwenye mashindano mdogo wangu😂
Mbona tumemuacha mbali sana🤣,tungeibuka kidedea mapema sana😂😂😂😂

Wabongo wengi wanajionaga wanaweza kila kitu , waliamini mpaka corona itadunda 😁😁, hahhaa imetafuna kama haina akili, huku nilipo imeondoka na wachagga wengi.
 
Back
Top Bottom