Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,195
- Thread starter
- #161
Ili kuthibitisha hadi watoto wa kenya wana akili kuliko watu wazima walioathirika na ccm. Hata thinker wa lumumba ni vilaza kwa hawa watoto. Lumumba wanahubiri kuwa sijui kabila gani likienda shule lina akili.Ila wanakataa ukweli ni kwamba hayo makabila pori wakienda shule wanapita waswahili na hizo kabila zenu kwa vile wana frsh mind na sio lingine. Ukwlei ni kwamba hawawezi kuwa na akili kihivyo km lishe ni mbaya. Akili ni functiona ya lishe bora, elimu bora ,na kuwa na fikra rational. Mkabila ya porini wanakosa lishe, na pengine elimu bora ila wanabaki na logic nzuri inayowasaidi kujitambua na k kujipanga kuitafuta elimu bora na sio bora elimu kupata cheti.Huko kenys watu wazima hukuwaona mpaka uende kumhoji mtoto mdogo.au na ww ni mtoto mdogo