Binti mdogo kutoka Kenya akijibu kuhusu Watanzania; "I don`t like their Logic"

James Comey

JF-Expert Member
May 14, 2017
5,909
2,000
Mchangu upi ambao hata wewe huujui? Hata minyoo ina michango ktk kueneza magonjwa.
mkuu unajua umejibainisha kama msomi ktk hii thread sasa baadhi ya majibu yako yanaonesha kam vile unapaniki. umeifananisha elimu ya kitila na uchafu inamaana hajaelemika. ungeweza kuomba mchango wa elim ya kitila bila kutoa lugha ya kuudhi. kiufupi tuu kitila mpak kuteuliwa kwake alikuwa mhadhiri mwanadamizi ktk chuo kikuu cha dsm. Hii tu inanipa mimi kusema kuwa elimu yake imeisaidia jamii ya tz sihitaji kujua elimu yako wala imeisadiaje jamii lakini ya kitila inajulikana.
 

el nino

JF-Expert Member
Nov 5, 2013
4,702
2,000
we na babu yaku ndio hamna logic, usilinganishe watanzania na mambo ya kijinga
 

TsafuRD

JF-Expert Member
Sep 29, 2013
1,959
2,000
Sio siku nyingi sana nilibahatika kuwa na mazungumzo na binti mdogo kutoka Kenya. Binti alikuwa very smart na tuliongea mengi sana. Nikamuuliza naijuaje Tanzania? Akasema mazuri mengi. Katika mengi hayo ni mazingira na vyakula,pia akajazia beuatiful people. Any way haya ni kama mafuta tuu kwa vile huwezi ringia vitu vya asili hata wanyama pori wanaweza ringa na pengine kulaumu binadamu wa kitanzania kwa vile wanaweza kuwa hawana mchango wa wanyama katika mazingira.

Baadae nikamuuliza nii hapendi Tanzania Mtoto hakusita akasema kwa namna inaonyesha yupo very honest kwenye hili "I DON`T LIKE THEIR LOGIC" . Sikushangaa sana, pengine ningekuwa na mtanzania mwigine Povu lingemtoka sana kuthibitisha anachosema huyu Binti mdogo. Issue ya Logic kwa watanzania ni kikwazo kikubwa sana. Jinsi wanajibu issue utapata huruma sana. Logic ndio inaleta shida Tanzania, logic ndio inaleta vita, logic ndio inasumbua katika kutunga sheria, logic ndio tatizo kwa watamzania waliosma na wasiosoma. Mbaya zaidi waliosoma ndio shida kabisa.

Wakenya hawajatupita elimu ILA WAMECHAGUA LOGIC TUU.Sisi tumechagua ILLOGIC. Ndio maana wapo rational sisi tupo Irrational. Ndio maana waomi wetu hata wasome vipi. Huishia kuwa kama mwandishi aliyejifunza lugha huku akiwa na alphabet iliyoondolewa herufi za msingi. Mbeleni hatojua kwanini mambo hayaendi.

Nasikia UN kuna kipindi walileta walimu wageni ktk idara nyeti za fikra. Na wengi walikuwa waki deal na Logic directly and indirectly.Tanzania ikiwa mojawapo. Nadhani walishajua nini shida yetu. LOGIC TUU. Kila mahali utasikia kuna walimu wagumu, kuna wazee wa chama wagumu, utasikia simba na Yanga kuna wanazi.Utasikia sheri aza kukufuru nyingi sana. Utasikia mengi sana.
Mimi sijakuelewa kabisa. Sijui na wewe ndo uko ilogical ndo maana hata ulichoandika hapa hakieleweki!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom