Binti mdogo kutoka Kenya akijibu kuhusu Watanzania; "I don`t like their Logic"

Huko kenys watu wazima hukuwaona mpaka uende kumhoji mtoto mdogo.au na ww ni mtoto mdogo
Ili kuthibitisha hadi watoto wa kenya wana akili kuliko watu wazima walioathirika na ccm. Hata thinker wa lumumba ni vilaza kwa hawa watoto. Lumumba wanahubiri kuwa sijui kabila gani likienda shule lina akili.Ila wanakataa ukweli ni kwamba hayo makabila pori wakienda shule wanapita waswahili na hizo kabila zenu kwa vile wana frsh mind na sio lingine. Ukwlei ni kwamba hawawezi kuwa na akili kihivyo km lishe ni mbaya. Akili ni functiona ya lishe bora, elimu bora ,na kuwa na fikra rational. Mkabila ya porini wanakosa lishe, na pengine elimu bora ila wanabaki na logic nzuri inayowasaidi kujitambua na k kujipanga kuitafuta elimu bora na sio bora elimu kupata cheti.
 
Yes inded. NCHI YA MATAMKO,WATU WA MATAMKO. kushika misamiati tuu ndio usomi kwao. Reasoning is the last thing. Matamko mengine msemaji hajui anasema nini ila ujasiri wake unaweza dhani anajitambua hadi unapokuja muuliza hao kafikia hiyo coclusion ndipo, utasikia povu..
actually wewe ndio lame

you game lame analysis as if neno logic umelijua jana
 
Utakuwa na hasira ya kukosa Noah. Na wale pia wana logic mbaya kweli kweli.Umesoma magazeti ya bongo.Asubuhi yalivyokuwa yanaandika issues muhimu km habari za akian Msuva? Mchana Acacia waka poison show. Hao jama ndio wapuuzi km wewe. Hawakuwa na logic sahihi ndio maana vitu vilikuwa wazi kabisa hata kwa chadema wa kawaida kabisa.Kwa kukosa logic ya maana wakageuza kuwa chadema sio wazalendo.Sasa wanapewa hisani tuu,wasiende mikono mitupu kwa vile wameshafulia,wameshaanza kumtangazia vibaya mwenye nia njema.Sasa kagairi rudini kuwaeleza watz.
 
Mimi ktk maelezo yako yote, nimegundua vitu vitatu tu, kwanza wewe ni bado mtoto na inawezekana haswa kichwani.

Pili, si mtz,

Tatu ni stori ya kutunga, mtoto mdogo hawezi jua nadharia ya logic hata kidogo, hata aliyefikia form four atajua juujuu au hajui kabisa.

Ktk yote, wewe si mkazi wa huu ulimwengu, huyajui mengi sana. Na una inferiority nyingi. Hivi bado unaamini kwamba wazungu walikuja Afrika kutustaarabisha? Walitupenda hata wakatumia resources zao kwa faida yetu? Wa ajabu sana, eti wazungu walikuja kutufundisha logic,,,,,okay Trump kawatuma wengine waende Nk na Iran, kwa mtazamo wako nao hawana logic,,,,,,, sumbua ubongo.
 
Umechanganya mboga,ndio chakula gani umepata hapa? binti mdogo ni mtoto mdogo? Sasa nani aatapenda LOGIC YAKO ?UPUUZI MTUU HAPA.

Ktk yote, wewe si mkazi wa huu ulimwengu, huyajui mengi sana. Na una inferiority nyingi. Hivi bado unaamini kwamba wazungu walikuja Afrika kutustaarabisha? Walitupenda hata wakatumia resources zao kwa faida yetu? Wa ajabu sana, eti wazungu walikuja kutufundisha logic,,,,,okay Trump kawatuma wengine waende Nk na Iran, kwa mtazamo wako nao hawana logic,,,,,,, sumbua ubongo.

Unaanza ubishi tuu kwa vile umekuzwa km manamba ni ngumu kumiliki akili yako lets alone kuongoza wengine. SUBIRI MWENYEKITI AJE KUKUPA UFAFANUZI.

Kwa Taarifa yako unafiki na uongo wa mwafrica hauwezi msaidia sana kukubali kuwa mzungu ndie kampa ustaarabu na bado huo ustaarabu hajaweza kuupokea.Mwafrica hawezi pokea ustaarabu wowote zaidi ya ugaidi kwa vile ni rahisi sana kwake. So far mwafrca akarukia rukia kila kitu na kudai ni chake. Zaidi ya nusu mnavyosema ni vya waafrica sio kweli.Vingi ni vya tamaduni za nje, za sasa na za miaka mingi nyuma.Walitupa, wamerudi na mpya bado hatujaacha za zamani.

North Korea kwa akili yako unadhani kwa vile ni wapuuzi wa kijamaa km wewe basi wapo sahihi.
 
NImesoma comments za wachangiaji, na majibu ya mleta mada

KWeli tuna shida... mleta mada hajitambui... amekariri vitu asivyovijua, na mbaya zaidi kaokota kaneno asikokajua na kuanza kukimbia nako kila kona

Lame
 
Wewe ni upupu mtupu,sasa utaelewa nini hapa. Huyo binti angekuja hapa kenge wote mngetoka kamasi.hadi hapa hakuna kitu mmeandika ni upupu tuu wa kijamaa. Mara na wao ni wakabila(km inaondoa ukweli logic yenu ni ya hovyo.Pia ina fact ukabila Tz upo tuu, haswa linapokuja suala la kutenga wakaskazini epecially wachaga), mara utasikia sijui ni chuki, mara sijui sio mtanzania, mara sijui ni kibinti kidogo, mara sijui alikuona boya. na ujinga mwingine km huo. Hata viongozi wenu wakichemsha vibaya nje huwa wansingizia ubaguzi, muda wa maandalizi, mara chuki binafsi, mara vita ya mabepari, mara ni jamaa wa chadema na uchuzi mwingine.
 
yOU NEED to see a Dr

Unabwabwaja na huna maana

a very different person to the guy we knew 5 years ago

Pole sana tovovo
 
One of the vivid justification of this matter is right here in this JF social platform various threads are dropped here by people who seeks public opinions / ideas but most oftenly some embeciles from no where jumps in & throws insults & ugly offences to one another without giving out logical arguments & reasoning basing on the topic attached in the particular thread .This reveals how shallow minded & illogical many of us Tanzanians are we when comes to reasoning .

Although not all Tanzanians falls under this category of irrational figures / individuals yet again it is " ILLOGICAL " for anyone to draw a general conclusion that all Tanzanians are ILLOGICAL without doing any research concerning that /any statistical irrefutable evidence to reveal that.
 
HUna kitu umeandika hapa zaidi ya kuonyesha jinsi ulivyo ktk mawazo ya huyo binti.
 
One of the vivid justification of this matter is right here in this JF social platform various threads are dropped here by people who seeks public opinions / ideas but most oftenly some embeciles from no where jumps in & throws insults & ugly offences to one another without giving out logical arguments & reasoning basing on the topic attached in the particular thread .This reveals how shallow minded & illogical many of us Tanzanians are we when comes to reasoning .
While I totally agree with you on the above part, I have different opinion down here
Although not all Tanzanians falls under this category of irrational figures / individuals yet again it is " ILLOGICAL " for anyone to draw a general conclusion that all Tanzanians are ILLOGICAL without doing any research concerning that /any statistical irrefutable evidence to reveal that.
You have said that although "Not all", but that not all means alot to everyside of the camp. Contestants win elections not with all votes. Country projects values not representing that of all groups living in that country. What benefit do we get on denying this, while the truth is our dorminat figures in politics, school teachers,police officers, general public , have a good bunch of illogical cretins.
 
The so called dominant figures within our community whom you have described as police officers ,politicians , leaders ,teachers and others constitutes a tinny fraction of the Tanzanian community population .

Can you carry out a research concerning this issue regarding only such tiny propotion of people & comeup with the real & correct answer /outcome to that matter ?

This country is filled up with more than 40 millions individuals , given the fact that those figures you have described they are not constituing even quarter of the entire country's population .

So how shameless can you be to draw such a conclusion ?.
 
Pole sana. Those figures were clear extention of other influencial figures with a big very big problem with logic. I wonder why should you take as one of the premises of your reasoning. In fact if you do care too much ,you can add your self among the figures.
 
Maana yangu ilikuwa ukiweka mitizamo ya kisiasa mbali. Elimu ya kitila( au unavyooita degree zake) zina mchango ktk Tz.
Mchangu upi ambao hata wewe huujui? Hata minyoo ina michango ktk kueneza magonjwa.
 
Labda alikutana na mhariri wa Tanzania daima wakaongea kwa mda
Ulichoandika hata sijui km wewe unaweza ielezea "logic yako.". Watz mnatia aibu sana, km sasa hivi unafiki wa ukabila hamuwezi ukimbia tena. Povu zinawatoka hata mbwa nao wanataka toa maelezo jinsi nchi imekuwa tamu. Mna laana sana.Waliowazidi akiliw amewazidi tuu, wata ji adjust mapema sana.Enzi ikipita mtajikuta mna hali mbaya na wenzenu wamekuwa wembe haswa.
 
One of the vivid justification of this matter is right here in this JF social platform various threads are dropped here by people who seeks public opinions / ideas but most oftenly some embeciles from no where jumps in & throws insults & ugly offences to one another without giving out logical arguments & reasoning basing on the topic attached in the particular thread .This reveals how shallow minded & illogical many of us Tanzanians are we when comes to reasoning .

Although not all Tanzanians falls under this category of irrational figures / individuals yet again it is " ILLOGICAL " for anyone to draw a general conclusion that all Tanzanians are ILLOGICAL without doing any research concerning that /any statistical irrefutable evidence to reveal that.
Mkuu narudia tena kukujibu hapa. This is too emotional and with one eye on diplomatic stance.Its hard to accomodate any logic in it.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom