Binti mdogo kutoka Kenya akijibu kuhusu Watanzania; "I don`t like their Logic"

Nicholas

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
25,264
2,000
Sio siku nyingi sana nilibahatika kuwa na mazungumzo na binti mdogo kutoka Kenya. Binti alikuwa very smart na tuliongea mengi sana. Nikamuuliza naijuaje Tanzania? Akasema mazuri mengi. Katika mengi hayo ni mazingira na vyakula,pia akajazia beuatiful people. Any way haya ni kama mafuta tuu kwa vile huwezi ringia vitu vya asili hata wanyama pori wanaweza ringa na pengine kulaumu binadamu wa kitanzania kwa vile wanaweza kuwa hawana mchango wa wanyama katika mazingira.

Baadae nikamuuliza nii hapendi Tanzania Mtoto hakusita akasema kwa namna inaonyesha yupo very honest kwenye hili "I DON`T LIKE THEIR LOGIC" . Sikushangaa sana, pengine ningekuwa na mtanzania mwigine Povu lingemtoka sana kuthibitisha anachosema huyu Binti mdogo. Issue ya Logic kwa watanzania ni kikwazo kikubwa sana. Jinsi wanajibu issue utapata huruma sana. Logic ndio inaleta shida Tanzania, logic ndio inaleta vita, logic ndio inasumbua katika kutunga sheria, logic ndio tatizo kwa watamzania waliosma na wasiosoma. Mbaya zaidi waliosoma ndio shida kabisa.

Wakenya hawajatupita elimu ILA WAMECHAGUA LOGIC TUU.Sisi tumechagua ILLOGIC. Ndio maana wapo rational sisi tupo Irrational. Ndio maana waomi wetu hata wasome vipi. Huishia kuwa kama mwandishi aliyejifunza lugha huku akiwa na alphabet iliyoondolewa herufi za msingi. Mbeleni hatojua kwanini mambo hayaendi.

Nasikia UN kuna kipindi walileta walimu wageni ktk idara nyeti za fikra. Na wengi walikuwa waki deal na Logic directly and indirectly.Tanzania ikiwa mojawapo. Nadhani walishajua nini shida yetu. LOGIC TUU. Kila mahali utasikia kuna walimu wagumu, kuna wazee wa chama wagumu, utasikia simba na Yanga kuna wanazi.Utasikia sheri aza kukufuru nyingi sana. Utasikia mengi sana.
 

py thon

JF-Expert Member
Sep 11, 2016
2,465
2,000
Wakenya ,waTZ wote walewale wanafanana tu


Inaonyesha namna gani ulivyo na logic ndogo mbaba mzima na ndevu zako unakalishwa na kitoto cha kike cha Kenya kinakupa tuition halafu unaleta mada cha kibinti hicho jf kisima cha great thinkers tuijadili kauli yake

No wonder alikuwa anazungumzia aina ya watu kama wewe

Grow up boy
 

Phillipo Bukililo

JF-Expert Member
Dec 29, 2015
14,778
2,000
Mkuu kadri miaka inavyozidi kwenda ndivyo ambavyo kasumba ya wakenya kuwa ni bora kifikra kuliko sisi watanzania inavyozidi kutoweka.

Typical mkenya anadhani kwamba anazo akili kuliko mtanzania. Na hivi ambavyo JPM anawafungia vioo na kuwakazia mazima, ndivyo ambavyo wanazidi kukasirika.

Ukweli wa maisha ni kwamba hakuna kinachobakia kilivyo milele yote, wakenya itabidi watuvumilie kwani kizazi cha vijana wa sasa wa Tanzania na wale wa miaka michache ijayo hakitavumilia mambo ya kipuuzi kutoka kwa yoyote yule.

Rais Magufuli anafanya jambo la maana sana katika kujenga kiburi miongoni mwa vijana. Anaposema tunatakiwa tuwapelekee wazungu mitumba anamaanisha tuwe na ile jeuri ya kitanzania. Kutobabaishwa na kasumba za kuwa eti wakenya ni bora kuliko sisi.

Na miaka kadri inavyosogea wakenya wengi sana watakuwa na akili kama huyo mtoto uliyekutana nae, wakishachoka kumchora rais wetu kwenye katuni zao, wataendelea kuwa na vinyongo kama huyo dogo.
 

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,596
2,000
Sio siku nyingi sana nilibahatika kuwa na mazungumzo na Binti mdogo kutoka Kenya.Binti alikuwa very smart na tuliongea mengi sana.Nikamuuliza naijuaje Tanzania?Akasema mazuri mengi.Ktk mengi hayo ni mazingira na vyakula,pia akajazia beuatiful people. Any way haya ni km mafuta tuu kwa vile huwezi ringia vitu vya asili hata wanyama pori wanaweza ringa na pengine kulaumu binadamu wa kitanzania kwa vile wanaweza kuwa hawana mchango wa wanyama ktk mazingira.

Baadae nikamuuliza nii hapendi Tanzania Mtoto hakusita akasema kwa namna inaonyesha yupo very honest kwenye hili "I DON`T LIKE THEIR LOGIC" . Sikushangaa sana, pengine ningekuwa na mtanzania mwigine Povu lingemtoka sana kuthibitisha anachosema huyu Binti mdogo. Issue ya Logic kwa watz ni kikwazo kikubwa sana. Jinsi wanajibu issue utapata huruma sana. Logic ndio inaleta shida Tanzania, logic ndio inaleta vita,logic ndio inasumbua ktk kutunga sheria, logic ndio tatizo kwa watz .waliosma na wasiosoma.Mbaya zaidi waliosoma ndio shida kabisa.

Wakenya hawajatupita elimu ILA WAMECHAGUA LOGIC TUU.Sisi tumechagua ILLOGIC .Ndio maana wapo rational sisi tupo Irrational. Ndio maana waomi wetu hata wasome vipi.Huishia kuwa km mwandishi aliyejifunza lugha huku akiwa na alphabet iliyoondolewa herufi za msingi. Mbeleni hatojua kwanini mambo hayaendi.

Nasikia UN kuna kipindi walileta walimu wageni ktk idara nyeti za fikra.Na wengi walikuwa waki deal na Logic directly and indirectly.Tz ikiwa mojawapo. Nadhani walishajua nini shida yetu. LOGIC TUU. Kila mahali utasikia kuna walimu wagumu, kuna wazee wa chama wagumu, utasikia simba na Yanga kuna wanazi.Utasikia sheri aza kukufuru nyingi sana. Utasikia mengi sana.


Hamia Kenya!
 

BilioneaPATIGOO

JF-Expert Member
Jun 23, 2012
12,205
2,000
Haya ni matatizo ya kuzaliwa nje ya ndoa. Binadamu unakuwa na upeo sawa na viumbe wa mwituni. Unaamka asubuhi hata mswaki hujapiga unaanza kutafuta naniliii mitandaoni. Pole sana kijana.
wewe hapo una uhakika gani wazazi wako ndo wenyewe, ulishawahi kuwauliza labda au pengine uliokotwa.. kama ndo wenyewe Heri yako wewe uliezaliwa ndani ya ndoa nakupa pole wewe ambaye kwanza una mdomo mchafu, na nafikiria maisha unayoishi wewe yatakua yamejaa laana tu huna faida ya kuishi duniani
 

JFK wabongo

JF-Expert Member
Aug 11, 2015
3,890
2,000
Fafanua kwa mifano mkuu ni thinking zipi hatukuwa logical vinginevyo naona umejaza mananeno yasiyokuwa na logic
Yeye mwenyewe hana logic, kusubiri logic kutoka kwake ni sawa na kusubiri dodo chini ya mnazi.
 

lufungulo k

JF-Expert Member
Apr 19, 2012
2,269
2,000
Umeteleza kidogo! Umepokea taarifa toka kwa Mkenya ukaiwakilisha kwetu ukiwa tayari umekubalina naye ndo ukazidi kumpa ushindi kupitia kwako pale uliposhindwa kumkanusha.

Tanzania tuna logic bora kushinda nchi zote za EA, tatizo letu ni kushindwa kuziishi logic zetu huku tukiwa mabingwa wa kuzifafanua na kuzipangilia
 

Phillipo Bukililo

JF-Expert Member
Dec 29, 2015
14,778
2,000
Kaka Paschal nadhani tatizo lipo kwenye shule zinazoandaa wanahabari. Tukumbuke kuwa habari na yenyewe ni sehemu ya taaluma ambayo matokeo yake yana mahusiano ya moja kwa moja na jamii.

Waandishi wengi wa habari kwa sababu ya elimu duni waliyonayo wanageuka kuwa kikwazo cha maendeleo ya jamii. Ugonjwa huu wa taaluma kugeuka kuwa kikwazo badala ya kuwa ni msaada, upo kwenye sekta karibu zote hapa nchini.

Asiyejua kwamba hajui kwa sababu ya elimu duni aliyonayo analisambaza tatizo lake kwa mamilioni ya raia ambao wanajua kwamba hawajui lakini hawajui kwamba anayepaswa kuwaelimisha naye pia hajui kama wao!!.
 

RRONDO

JF-Expert Member
Jan 3, 2010
45,294
2,000
Wakenya hawajatupita elimu ILA WAMECHAGUA LOGIC TUU.Sisi tumechagua ILLOGIC .Ndio maana wapo rational sisi tupo Irrational. Ndio maana waomi wetu hata wasome vipi.Huishia kuwa km mwandishi aliyejifunza lugha huku akiwa na alphabet iliyoondolewa herufi za msingi. Mbeleni hatojua kwanini mambo hayaendi.
I think generalization itself is so ILLOGICAL......
 

MOTOCHINI

JF-Expert Member
Jan 20, 2014
26,153
2,000
Wakenya ,waTZ wote walewale wanafanana tu


Inaonyesha namna gani ulivyo na logic ndogo mbaba mzima na ndevu zako unakalishwa na kitoto cha kike cha Kenya kinakupa tuition halafu unaleta mada cha kibinti hicho jf kisima cha great thinkers tuijadili kauli yake

No wonder alikuwa anazungumzia aina ya watu kama wewe

Grow up boy
Nadhani majibu haya yanamtosha mleta mada
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom