Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 75,517
- 185,623
Wasalaamu wote.
Kama mnavyojua kila mtu ana tabia zake. Jamani unakua na mwanaume, akiwa na akili zake timamu( hajanywa ) utasema mume si ndo huyu mpole na mwenye busara zote Akinywa sasa utajuta kumfahamu.Jioni jioni yu timamu unamuuliza mume wangu leo usiku unataka kula nini anajibu vizuri tu ugali nyama- rost.
Haya katoka unapika vizuri kwa manjonjo yote, unaandaa. Akirudi sasa balaa tupu. Ushatenga zako chakula umamfata kumkaribisha baba karibu chakula tayari anakujibu sili ugali.Unamuangalia mara mbili mbili as if hujasikia anarudia tena nimesema sili ugali. Unaishiwa pozi zote unapata hasira ila huna cha kumfanya.
Kwa upole unamuuliza tena sasa unataka nini anajibu sili mimi. Analala, unaachana naye unafanya majukumu yako then nawe unalala.
Unashtukia huyo kanyanyuka analalama wewe mwanamke unataka kunilaza njaa eeh? huyo anatoka kitandani aenda jikoni anachukua nyama kwenye sufuria anakula.
Na wewe unamfata jamani baba nanii unafanya nini sasa, Kwa hasira anatoka jikoni anaondoka kuelekea nje anakojua. Unamfata ukimbeg na kumuuliza unaenda wapi usiku huu anajibu wee niache bana! unambembeleza please please rudi nyumbani huku umemshika kwa nguvu unashtukia makofi tu haitoshi unapigwa mpaka alama za vidole zinabaki usoni, tayari moja limevimba kama umeng'atwa na nyigu kiwiko cha mkono kimeshtuka.
Hutamani hata kulala naye ila ndo utafanyeje sasa. Pombe ikiisha huyoo anakusogelea eti mfanye hapo unaugulia maumivu unamute tu anakubembeleza kwa makumbatio lukuki kimya. Asubuhi sasa anavoshangaa na kujifanya imempain mipole kibao ambayo haisaidii kitu na ashakuumiza.
Anajifanya kaumizwa kweli hiyo mi sympathy sasa tele tele. Moyoni moyoni unajisemea ( kweli wewe wakati unayafanya haya ulitegemea nini).
Anaomba msamaha na kukiri kuwa hatarudia tena kufanya hivo na pombe ameacha.
siku mbili tatu huyo anapotorokea hupaoni unashangaa tu hayupo kwa tahadhari unamusms please ukirudi usinifanyie fujo. Akirudi yupo njwiii.
Na kweli hafanyi fujo za kukupiga ila atataka muongee weee inaeza fika hata Saa tisa usiku anaongea akitaka umjibu usipomjibu ataongea kwa nguvu mpaka majirani watasikia.
Kuepusha aibu unamjibu tu ilimradi. Mkisema mtoke out watu wa nje(apart from majirani) wakiwaona watasema hii ndio best couple bana mnafurahi amani tele, kumbe! The problem is when he's drank ni fujo na vituko kedekede.
Kama ni mapenzi mnapeana yotee carings ndio usiseme. Ila pombe babaa pombeeeee aaarrrgggghhhhhh!
Binti wa watu asiye na hatia amfanyeje huyo mwanaume.
Maoni na ushauri please