Binti matatani,amfanyeje huyu bwana?

Binti matatani,amfanyeje huyu bwana?

Huhuhuu..mamaweee...hivi amchape nan?? nachapwa nkiwa macho? au nimezimia? hiii...!! ingekuwa ni mim, huyo mwanaume a- makesure ana viungo vya ziada! vinginevyo....ahesabu sekunde za kupumua.

Mwanaume ni mwanaume ukijifanya kupigana nae sanasana atakuua tu.
 
Kuishi na Mwanaume anaekunywa pombe hadi hajielewi ni sawa na kujitwisha gunia la misumari au gunia la mavi, aisee ni shida!!!

Huyo dada ajiongeze haraka, arudi kwao ajipange upya, vinginevyo atakuwa mtumwa mtumwa hapo, napinga kabisa kuendelea hiyo ndoa, yaani ningekuwa ndugu yake ningekuja kumtoa kwa lazima.
 

Try njia 2 :- 1. Ofcoz, atakuwa anawapenda wanae. So hapo Drama/ Usanii/tamthilia lazima ichezwe na madame wake !! ili kumtia hofu ili apatie imani na huruma, sasa hiyo huruma ndo itamponyesha na kumweka Sawa tu.

Mkewe amchukuwe Mr drunker waende kutembelea wagonjwa walopo ktk chumba cha hatari au maututi, ili aapatae kujitambua kuwa ipo siku yatamkuta au kuwakuta wanae ktk taswira ya kuwa helpless !! Basi haya mambo humrudisha mwanaume kuwa Mwanagalifu na mwema kwa familia yake!
 
no inategemea ujue .. sometimes akitoka anamuaga mkewe mama flani natoka naenda mahala fulani . but sometimes haagi..all in all mkewe hambani wala kumchunguza kaenda wapi kaenda wapi..no he's a man ni mtu mzima kama unavyojua mida mingine mtu mzima halindwi.! na akilewa labda akawa yupo sehemu tofauti na mkewe weeee atamfata kokote aliko yani hawezi kabisaaa kuwa mbali na mkewe anapokua kalewa sijui kwanini yani..kama ni mashetani yake ya pombe yanamtuma kwa mkewe tu hata awe wapi atamtafuta tu.

Huyu jamaa ni mjanja...akilewa anafanya kila iwezekanavyo awe karibu na papuchi yake.( Aka katabia kama ka kwangu)
dawa yake huyo mnyimeni papuchi pindi akilewa. Lazima atafute club soda usiku
 
Hivi kwani lazima kunywa pombe?vitu vingine ukiviendekeza vitakuendesha kama haziwezi pombe aachane nazo by the way ulevi ni dhambi na chukizo mbele za Mungu.
 
Aaaah, kumbe pombe tu, mi nilijua mwanaume kitombi! Aelewe tu jinsi ya kumhandle, ajue na yeye lazima navitabia vya kero ambavyomumewe anamvumilia na kuvichukulia kama changamoto, hakuna mkamilifu. Mwanaume mwenyewe pombe anakunywa ya mara mojamoja, tena akimwambia asifanye fujo hafanyo, tena akilewa anarudi nyumbani kwake kupiga stori na mkewe....Mungu ampe nini tena huyo shosti wako, pipa la shahawaa?!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom