Rene Jr.
JF-Expert Member
- Jan 31, 2014
- 3,739
- 2,410
Arudi kwao, wanaume kibao wanammezea mate
We mpoteze tu mwenzio. Mimi namtamani sana, lakini siyo kumwoa, ntaowaje aliyeachwa na mwenzangu bana, ni kutia tu!
Arudi kwao, wanaume kibao wanammezea mate
we acha tu akiwa mzima kila mwanamke atamtani yani the problem akilewaaaa hatamaniki tena!
Aaaah, kumbe pombe tu, mi nilijua mwanaume kitombi! Aelewe tu jinsi ya kumhandle, ajue na yeye lazima navitabia vya kero ambavyomumewe anamvumilia na kuvichukulia kama changamoto, hakuna mkamilifu. Mwanaume mwenyewe pombe anakunywa ya mara mojamoja, tena akimwambia asifanye fujo hafanyo, tena akilewa anarudi nyumbani kwake kupiga stori na mkewe....Mungu ampe nini tena huyo shosti wako, pipa la shahawaa?!
He is under influence of alcohol...so apparently it is obvious that he does not mean to do what he does then. The best line of action would be to help him get rid of what makes him that way. Amsaidie aache au apunguze pombe kwa faida yao wote wawili kwani probably one day mwanaume atakuja fanya kitu chenye madhara hata kwake au kwa mtu mwingine, sio lazima mkewe tu. Then majuto itakua kwao wote.
Hiyo ndio ndoa, they are there to help and mould each other to be better people. I hope she understands.
ha ha ha raha ya mtu kama huyo ni kumwacha anywe mpaka azime .. asubuhi akiamka atapike nyongo mpaka mbavu zitake kutoka...... na kumtisha zaidi ita ambulance peleka hospital... akija nyumbani kalewa usimkaribishe chakula hadi aulize na akitaka kula weka ndimu nyingi kwenye hiyo food... akienda kuoga mwagia maji ya kutosha yaliyochanganywa na barafu .... akifika zima taaa usiweke mwanga huwa inaleta kizunguzungu.............. akiongea ndiyo anazidi kulewa usimsemeshe jifanye hata unaumwa ,,,......
sawa but anasema anaacha haachi ukizubaa anatorokaa
ha ha ha raha ya mtu kama huyo ni kumwacha anywe mpaka azime .. asubuhi akiamka atapike nyongo mpaka mbavu zitake kutoka...... na kumtisha zaidi ita ambulance peleka hospital... akija nyumbani kalewa usimkaribishe chakula hadi aulize na akitaka kula weka ndimu nyingi kwenye hiyo food... akienda kuoga mwagia maji ya kutosha yaliyochanganywa na barafu .... akifika zima taaa usiweke mwanga huwa inaleta kizunguzungu.............. akiongea ndiyo anazidi kulewa usimsemeshe jifanye hata unaumwa ,,,......
Aaaaah, kumbe una akili, akiomba maji ya kunywa unamgea konyagi....swaaafi!
hahaha hii nmeipenda hii..ni komesha asee
akizima tu unajua kesho ni mgonjwa kutapika nyongo tu