Binti matatani,amfanyeje huyu bwana?

Binti matatani,amfanyeje huyu bwana?

akizima tu unajua kesho ni mgonjwa kutapika nyongo tu

asubuhi ukimwona utajua kama ni yeye sasa!!!!!!!!! afu kumbe anajua anachokifanyaga mana akishtuka tu sorry zisizoisha babaake! !
 
mhm hiko kipigo na kero za pombe zinamshinda bi Shost sawa ndoa tamu ila ina chungu yake pia

Kukimbia ni sawa na kumkimbia mpenzi wake kwenye matatizo, ni sawa na kuona mwenzio anaugua kichaa unamkimbia badala ya kutafuta suluhisho. Ndoa ni kama njia, ina pembamba na panene, ingekuwa mume ni mzinzi kweli unaweza kuachana naye, lakini mlevi wa vipindi anatibika.
 
Kukimbia ni sawa na kumkimbia mpenzi wake kwenye matatizo, ni sawa na kuona mwenzio anaugua kichaa unamkimbia badala ya kutafuta suluhisho. Ndoa ni kama njia, ina pembamba na panene, ingekuwa mume ni mzinzi kweli unaweza kuachana naye, lakini mlevi wa vipindi anatibika.

Sasa akilewa tu pombe zinamuelekeza kwa mkewe yani popote pale atamtafuta tu ..sijui niite uzuri sijui ubaya mana ndio kero kwenda mbele
 
Kuishi na Mwanaume anaekunywa pombe hadi hajielewi ni sawa na kujitwisha gunia la misumari au gunia la mavi, aisee ni shida!!!

Huyo dada ajiongeze haraka, arudi kwao ajipange upya, vinginevyo atakuwa mtumwa mtumwa hapo, napinga kabisa kuendelea hiyo ndoa, yaani ningekuwa ndugu yake ningekuja kumtoa kwa lazima.

acha nduguyo twin sipati picha ungekua wewe na ulivo mtata sasa! !!!
 
Uyo Mr.drunker apelekwe akatembelee wafungwa mahabusu aone wanavyomenyeka jel..atajua thamani ya Uhuru na upendo kwa wanafamilia yake!!

Haha si mpaka akubali sasa! lazima atajua kuwa hili tembezo la jela si kwa Wema kabisa!
 
Wanaume wanywaji nilikuwa sitaki hata kuwasikia na namshukuru Mungu alinipa asiekunywa, manake balaa lake nalijua niliwahi date mtu wa hivyo kabla sijaolewa sitakuja kusahau. Huyo dada namuhurumia sana hao watu sio rahisi kubadilika ni kwa Neema tu
 
Wanaume wanywaji nilikuwa sitaki hata kuwasikia na namshukuru Mungu alinipa asiekunywa, manake balaa lake nalijua niliwahi date mtu wa hivyo kabla sijaolewa sitakuja kusahau. Huyo dada namuhurumia sana hao watu sio rahisi kubadilika ni kwa Neema tu

uuuuuwiiiiiiiiiiiiiiii!!!! Ee mola wangu miyeeee ninusuru namimi!
 
Huyu jamaa ni mjanja...akilewa anafanya kila iwezekanavyo awe karibu na papuchi yake.( Aka katabia kama ka kwangu)

dawa yake huyo mnyimeni papuchi pindi akilewa. Lazima atafute club soda usiku

sa limtu limelewa hamu ya tombano itoke wapi! ! mwili unakua kama umepararaizi yani no stimulus kabisaaaaaaaaaaa!!!!!!!
 
He is a good Man, sema akiwa na foreign substance ndio anakuwa foreignor kwa mkewe. Ajitahidi kumshawishi mumewe apunguze pombe na ikiwezeana aache.

Kwa ninayoyajua, Wenzake wana misiba mizito zaidi.. hapo ajitahidi kutafuta namna ya kukaa naye kwa akili na tahadhari,ikiwezekana mambo ya msosi awe anawahi kupika jamaa ale mapema then aende kijiweni kwa maana inaonekana mara nyingi mumewe anatokea nyumbani kwenda ulevini.


Gud point,usipochukua hii ndoa utaiona kwa jirani.
 
Huhuhuu..mamaweee...hivi amchape nan?? nachapwa nkiwa macho? au nimezimia? hiii...!! ingekuwa ni mim, huyo mwanaume a- makesure ana viungo vya ziada! vinginevyo....ahesabu sekunde za kupumua.

Wewe ni mnanihii?coz nyie hamcheleweshi hasa akiwa na digits za kutosha.
 
Amvumilie tu na kumshauri pia,heri yake huyo wengine tukinywa tunawaza kugegeda tu.
 
enheeeee hapo hapo ...hizo right way hiizo ndio zipi sasa??

Hakunaga universal approach to solving human issues.

Ila kwa maoni yangu, dada kwanza anatakiwa aonyeshe kwa dhati kutokuipenda tabia ya ulevi wa jamaa. Kwa maneno na matendo pia. Kwa kuwa umesema mume anamjali mkewe, hilo litamwingia akilini. Vilevile afahamu kuwa sio rahisi jamaa akaacha kabisa kunywa....ni ngumu halafu pia its kind of an insult to his manhood.

Ikiwa jamaa ametia ngumu kupunguza ulevi, hapo inabidi wafikie consensus. Mume aambiwe kwamba sasa ulevi ruksa as much as you want it: with one condition. Do not distarb me. Mke aandae chakula aweke kwenye hotpot na vitu vingine vyote aviandae kabla. Mume akirudi anajihudumia mwenyewe kuanzia kujifungulia mlango, kula, kuoga e.t.c. Dada asijiguse kwa lolote. Jamaa akitaka chochote mke anamwambia tuko under memorandum of understanding.

Itakuwa ngumu kwa wote at first lakini kuna end results mbili. Jamaa ataendelea kunywa ila hatomsumbua mwanamke na itazoeleka hivo, ama jamaa atapunguza kunywa (frequency or amount) ili amfaidi mkewe. Kama jamaa anampenda mno mkewe, ataacha kabisa pombe. However, MoU hiyo ifikiwe baada ya jamaa kutokuonesha mwelekeo wa kuacha au kupunguza pombe pamoja na mdada kuongea sana kuhusu hilo.
 
acha nduguyo twin sipati picha ungekua wewe na ulivo mtata sasa! !!!

Ha haa haa haa!!!! twin ningekuwa mim wote mimi na yeye tungekuwa na makovu yakutosha mwilini au mmoja angekuwa kaburini mwingine jela. pumbavu sana mijitu ya hivi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom