Binti Mariam

mentor toa kabila, ingawa kwa uelewa wangu makabila yanaruhusu kuoa sehemu na familia moja!! hivyo wewe utaoa huyo mary wako na itakuwa bomba sana kwa koo zote mbili yako na ya Mary. Unajipa hofu tu, au kama unataka kutengeneza Movie!!!!(kamwone Ndauka na Ray) Hii wala siyo kitu cha kuomba ushauri. after next month wewe peleka posa, Mary siyo ndugu yako hivyo wewe oa, watu wanaoa binam!!
 
Dah, ngoja nimtafute Paloma aniambie although ninachojua mimi na wewe wote ni walutheri na wote ni waimbaji ila all ni all nitamuuliza Paloma.

Ila Mentor usimuache Mary bana lol! Najaribu kuvaa viatu vyake hata havinitoshi lol!

Halafu ram, mimi na wewe tuna kitu kimoja very common hujajua tu! Hebu muulize dada Paloma atakuambia...kila nkiona post yako...




besame mucho bestiii...
 
Last edited by a moderator:
Dah, ngoja nimtafute Paloma aniambie although ninachojua mimi na wewe wote ni walutheri na wote ni waimbaji ila all ni all nitamuuliza Paloma.

Ila Mentor usimuache Mary bana lol! Najaribu kuvaa viatu vyake hata havinitoshi lol!

I will take your advice kwa sasa nangojea mawazo ya wazazi...

Duh hilo la Ulutheri sikuwa nalifahamu though..kutokana na 'kitu' kinachotufanya tuwe common one could guess that!


ha Mentor kumbe we schoolmet wangu?ukute tulikuwa darasa moja


Haha..hisabati ulifundishwa na mwalimu Msaki? yule anayetumia mkono wa kushoto? Usiombe siku akikuchapa atoe saa....

Au Sayansi kilimo ulifundishwa na mwalimu Mboya???

Na Kiingereza je darasa la tatu na nne? Mwalimu Kasa...alikuwa ananiita 'my singer' akiingia tu darasani akanikuta nimepiga magoti mbele (kisa kusumbua darasani) ataniambia nisimame halafu niimbe wimbo nikakae..dah! dem good old days.."one man and his dog, in a little house..."



Sioni tatizo..hamhusiani damu wala maji.

@madameX, undugu ulishaundwa na kaka yangu au? wewe ni mchaga?
 
Ungekua unampenda kwa dhati, usingeandika hta hii thredi. Ungefanya uamuzi mwenyewe wa kumuoa hata kama ungetishiwa kung'olewa kucha.
 
Mwl Msaki nasikia sijui kawa mlokole kwenye mambo y akuombe?just hearsay.Da long tena nata ka kufuata cheti changu nije kuomba kazi PCB hahhaha.
Ile njia ya kwenda kibo tokea moshi arusha hosp imekwisha2 yani utafikiri moshi hakuishiwatu zile nyumba zimekuwa kama za makumbusho.huyo upendo usikute baba ke ananziwa na B?Am just try to speculate.

Mary msahau bwana time is a good healer.Usidanganywe kuoa nyumba moja kwa kichaga hizo ni" mbaka"kuichi mbaka?
 
Ungekua unampenda kwa dhati, usingeandika hta hii thredi. Ungefanya uamuzi mwenyewe wa kumuoa hata kama ungetishiwa kung'olewa kucha.

@kakaJambazi, wahenga walisema, "It takes more than love for two people to be together." Ukilielewa hilo hutokimbilia kuwa na mtu eti kisa tu unampenda...



Hahah..eti kawa mlokole? sipati picha.

Cheti cha darasa la saba wakitakiani? Hata sijui kama bado vipo aisee...Halafu hiyo njia imekua kamsitu tu...watu wpo dar wanakusanya hela. sijui wanangojea nani aje aendeleze mji ndo wao waje kuishi!??? kama pale exactly opposite na kibo primary...dah mpaka panasikitisha!

Halafu waliniuzije walipobadilisha jinaaaa!??? sipapendi tenaaa...

:focus: Sikutajii aisee..unaweza ukanifahamu na mimi!!!
 
Paloma, Mentor aliniambia nikuuulize kwamba, mimi na mentor tuna kitu ambacho ni common, hebu niambia dada ni nini hicho, plz!

what?!?!?!!
pole sana!!! kweli mapenzi yamekuchanganya!!! hebu tulia kwanza!!!
 
Paloma, Mentor aliniambia nikuuulize kwamba, mimi na mentor tuna kitu ambacho ni common, hebu niambia dada ni nini hicho, plz!

ram ngoja kidogo vurugu za mtwara zitulie..........roho yangu ipo juujuu hapa acha tu
cc Mentor sosoliso
 
Last edited by a moderator:
POLE SANA...ILA NILIWAHI KUSIKIA KUWA INAWEZEKANA KABISA MKAOA SEHEMU MOJA NA KAKA YAKO...SIJUI KWENYE MILA YENU
 
Niliwahi kuku tana na mabinti wawili wanafanana kama mapacha, waliniambia ni cousins lakini wazazi wao wote ni twins.
 
Mi ninaye fahamu hilo,,mi lilinitokea nikaamua kuowa tu na Leo tunaishi ,,Hapo uamuzi ni kwenu,,Sometime unatikiwa uwe wrong kwenye chaguzi sahihi,Ukiamgalia kwamba wewe hutakuwa wa kwanza,duniani nilipiga mimba nikasema bahati mbaya kwa ndugu lakini Leo ndio mke sahihi wa maisha yangu na tunapendana,, na Leo siishi maisha yangu ya zamani yaani leaving my dream life,,coz we know each other since ,,Childhood,, mpaka Leo 30+,,,
 
Kwa ushauri wangu,ww mchukue mary hyo kwa sababu ni family moja na sio kwamba mmeshea mke.
 
Sahau kabisa about Mary, mbona wanawake wapo wengi? Kwanza sidhani kama huyo Mary mnapendana naye kikweli, nashangaa eti tangu utotoni mnafahamiana/marafiki? Sasa ndo umekomaa na unaweza kufanya maamuzi na chaguo sahihi kabisa.
 
Kaoe acha ushamba wasukuma nyie vipi?? Hakuna zuio la mtu kumuoa shemeji yake! Kikwetu shemeji yako ata kama siyo kuoa ukiomba mzigo huwezi nyimwa. Oa acha umami wa kisukuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…