......mhhh vifua vinabeba mazito!!! pole sana mdogo wangu Mentor.
Hebu niulize, ni kwamba hairuhusiwi kuoa ukoo mmoja? kwa vipi?
nijuzeni nisije fanya madudu mie.
Mkuu mie sion kama kuna tatizo kumbuka Mary ni shemeji tu na siyo ndugu,Pia kumuoa Mary utaongeza mapenz na mtaziunganisha familia hizo mbili vizur zaid.Kama unasema kuna mzee alikwambia ungetaka kumuoa Mary ilipaswa muoe siku moja bas kumbe inawezekana.Nibahat kubwa sana kuwa na mahusiano ya hivyo haupaswi kujuta mtaish kwa upendo wa ajabu hata watoto wenu pia.[Pia nimezipenda sifa za Mary ukiamua kukata tamaa naomba nimooe mimi]jokin
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Ilikuwa kama ndoto..I still don't believe this has hapenned! bado siamini...natamani niamke kutoka kwenye usingizi huu...:smash::smash::smash::faint::boom::disapointed::crutch::rant:
Mentor sidhani kama ndo umefikia mwisho wa safari hapo. Chunguza kama hakuna mwiko wowote wa kimila au kwenye familia yenu bado nafasi ipo kumuoa umpendaye. Sidhani kama ushemeji una kikwazo chochote aise mradi sio mke wa kaka ---- ni dada yake na mke wa kaka yako sidhani kama kuna kizuizi aise kama bado wampenda Mary