Binti Makamba unatisha

Status
Not open for further replies.
Huyu mdada kwa ufupi has shown herself to be extremely arrogant na isitoshe kuwa ni mshamba mkubwa. Wazungu kwenye position kama yake huwezi kuwaona mtandaoni hata siku moja wamepiga picha za matanuzi huku wamesheheni begi la Loius Vuitton, haswa ukitilia maanani mdada alikuwa ni sauti kubwa ya Vodacom kwenye masuala ya kijamii kama Charity Work na shughuli za misaada kwa Wahanga, Yatima, etc

Pia kwa mtu mwenye high-ranking status kama yake kikazi ni muhimu angewafikiria co workers walio chini yake, kwani this kind of self-aggrandizement and seemingly opulent display would only have a negative, demoralizing effect on co workers.
 
Nakumbushia ulivyokuwa fired up kuhus Gov. Perry. Hahaha. Yani kuna tacky types fulani unazi embrace inashangaza, I guess ni ideology yako disguised as libertarianism.

I'm so anti Obama that I'm for anybody but Obama. But to say I was fired up about Perry is a stretch!

Hiyo blog ya wadada wasio aibu wala maadili wanaotafuta waume wazungu, Makamba naye kashajiparade kwenye anga hizo za defeatist lowbro hoochie mommas, Vodacom PR rep or no.

 
Last edited by a moderator:
Hahaha,

I am so a lover and not a hater, ningependa kukuza self-esteem ya hawa kinadada bila ya wao kujiparade in a dehumanizing way.

Yaani kuchangia thread -ambayo hata sijaianzisha mie- JF ndiyo nimekuwa hater? Hujawaona ma hater wanavyopigana vikumbo nini?

Kubalini tu dada yenu kachemka ka a common hoochie momma.
 
Kiranga, Mwita na Nyani Ngabu. Nimefuatilia jinsi mnavyolumbana ktk thread hii. Thanks a bunch for making JF entertaining.

I'm glad you've enjoyed it!

In my humble opinion, huyu dada mnaemzungumzia she seems to be a nice lady, na kuhusu kutanua huko kwenye vacations zake anayo haki kama raia mwengine yeyote yule. Ni haki yake kwenda kokote na kutanua atakavyo hata kama akienda Alhambra, CA....tunaoishi CA tunaijua Alhambra.........

No argument there.

Ila when it comes to prefessional ethics na corporate responsibility, kitu ambacho Africa hakipo, alitakiwa asijianike excessively namna hiyo kwenye mitandao sababu ina-affect the image and the reputation of the company....sema tu kinachosaidia ni kuwa Vodacom is not a fortune 100 company.

She has done absolutely nothing wrong. It is not unethical to have a few pictures taken at a mall. Eti asijianike excessively..Vuvuzela please...what is kujianika excessively? To have a few pictures taken together with a friend ndo kujianika excessively? No way. I disagree. There is nothing wrong with that, nothing is unethical about it, and nothing is irresponsible about it either. Y'all are trying hard to make a mountain out of a molehill. Let the girl enjoy her life. It is her right.

As I pointed out earlier, any PR executive from the fortune 100 company would be violating professional ethics kwa kujianika mitandaoni namna hiyo. I'm not talking about White House, I'm talking about corporate America and the rest of the corporate world.

Where are these "professional ethics" that forbid PR executives to have pictures taken with friends written at? Can you provide a source?

Nilienda kuomba kazi na nikaipata kule Cisco Corporation na one of the conditions was to deactivate my Facebook account, imagine na mimi ni just a staff na sikuwa managerial level!

That is Cisco. Morgan Stanley doesn't require that for its employees and so do a bunch of other companies. Obviously Vodacom doesn't either. So what's your beef sir?

Kiranga unachoongea ni kweli kuhusu corporate responsibility and professional code of conducts....lakini ujue Tanzania na Africa hatuna kitu kama hicho kuanzia private sector hadi serikalini. Ni sawasawa na kumwambia waziri wa serikali yetu ajiuzulu kwa kuwa alikutwa na malaya mtaani.....tena na picha zikaanikwa on front pages za local print media......Hatojiuzulu sababu kwake kutanua na malaya ni sawa na vilevile it's not a big deal miongoni mwa wabongo hadi raisi aliemweka madarakani. Lakini nchi za watu hiyo ni kashfa na haina mjadala inabidi aachie ngazi!
Corporate responsibility and professional ethics ni muhimu kwa image na reputation of any organization lakini sio Tanzania na Africa.
Just my thought!
Ooookidokiiiiii..........

Hakuna kibaya alchofanya Mwamvita. Kupiga picha na Mange si kuvunja miiko ya kazi yake. Mnalazimisha tu hapa hoja yenu.
 
Huyu mdada kwa ufupi has shown herself to be extremely arrogant na isitoshe kuwa ni mshamba mkubwa.

Why all this vitriol?

Wazungu kwenye position kama yake huwezi kuwaona mtandaoni hata siku moja wamepiga picha za matanuzi huku wamesheheni begi la Loius Vuitton, haswa ukitilia maanani mdada alikuwa ni sauti kubwa ya Vodacom kwenye masuala ya kijamii kama Charity Work na shughuli za misaada kwa Wahanga, Yatima, etc

Una uhakika na unachokisema kuwa "Wazungu kwenye position kama yake huwezi kuwaona mtandaoni hata siku moja wamepiga picha za matanuzi huku wamesheheni begi la Loius Vuitton".

Acheni wivu jamani. Mwamvita is not a civil servant. She works hard for her money and she has every right to enjoy her life.

Pia kwa mtu mwenye high-ranking status kama yake kikazi ni muhimu angewafikiria co workers walio chini yake, kwani this kind of self-aggrandizement and seemingly opulent display would only have a negative, demoralizing effect on co workers.

I disagree. If anything it would inspire others to aim even higher.
 
Wana JF, nadhani zimevuja tu kwa bahati mbaya, nadhani hata Mwanvita mwenyewe asipenda ziwe hapa.....
 
Huyu mdada kwa ufupi has shown herself to be extremely arrogant na isitoshe kuwa ni mshamba mkubwa. Wazungu kwenye position kama yake huwezi kuwaona mtandaoni hata siku moja wamepiga picha za matanuzi huku wamesheheni begi la Loius Vuitton, haswa ukitilia maanani mdada alikuwa ni sauti kubwa ya Vodacom kwenye masuala ya kijamii kama Charity Work na shughuli za misaada kwa Wahanga, Yatima, etc

Pia kwa mtu mwenye high-ranking status kama yake kikazi ni muhimu angewafikiria co workers walio chini yake, kwani this kind of self-aggrandizement and seemingly opulent display would only have a negative, demoralizing effect on co workers.
Haya maneno sio wa kwanza kusema......sana sana ndio tunaitwa haters.....ila ni bonnge la inspire kwa mashori wanaosaka wazungu.....
 
Unaguna nini sasa?
nashangaa tu......hi nchi kuna mambo yanatia wazimu kudadadeki......unajua huyu shori na mange ni bonge la role modo wa mashori kibao hapa town..ukiwauliza kwanini?......mkuu ujinga mtupu....hizi picha biliv me kawakimbiza sana mashori wa bongo.....kuna neno moja sio zuri ningewaita mashori wa Dar......
 
nashangaa tu......hi nchi kuna mambo yanatia wazimu kudadadeki......unajua huyu shori na mange ni bonge la role modo wa mashori kibao hapa town..ukiwauliza kwanini?......mkuu ujinga mtupu....hizi picha biliv me kawakimbiza sana mashori wa bongo.....kuna neno moja sio zuri ningewaita mashori wa Dar......

Haya bana..najua JF si friendly territory kwa watu kama akina Mange na Mwamvita. Lakini kumnanga Mwamvita kwa kupiga picha na Mange ni low blow.

Na kwani Mange na Mwamvita wakiwa ma role model kwa baadhi ya wasichana kuna ubaya gani? Wote hao wadada wameolewa. Haijalishi wameolewa na watu wenye rangi gani ya ngozi. The fact kwamba wameolewa ni jambo jema na zuri.

Mwamvita anafanya mengi tu yaliyo mazuri. Mdada ana elimu yake nzuri tu. Anajua kujieleza na akaeleweka. Anaonekana ni strong woman. Sasa akiwa role model kuna ubaya gani?

Watu wanapenda tu kukuza vitu. Ni kama vile hatupendi mafanikio ya wengine. Ukifanikiwa kidogo tu lazima utakuwa favorite pastime ya waosha vinywa.

Sasa sijui watu walitaka Mwamvita aishi maisha gani ndo wafurahi. Sometimes JF is full of negative energy and manufactured controversy by people who want to score some popularity points.

If you want praise in here just start bashing people like Mange and Mwamvita. You will be a hero to many.
 
inashangaza kuona inshu ya demu midume ndo mapovu inawatoka wakati mademu wenzake ambao aidha wangesikia wivu au kumtetea wamekula mikausho!!!!binafsi najisikia aibu na sirudi tena kwenye uzi huu!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom