Binti Makamba unatisha

Status
Not open for further replies.

LEX STEELE

JF-Expert Member
Jul 16, 2011
224
110
Burj al Arab nijuavyo mimi per night ni dola elfu 10

mshahara wake ni dola sijui kiasi gani lakini itakuwa zaidi ya hiyo

safi sana mama huu ndio wakati wako kula nchi na kilichobaki tafuta kijana unayeendana naye akupe kampani tuuu

hivi jamani nafasi za kazi voda zipo?

IMG_1698.jpg

So this morning i woke up with a huge smile on my face

coz my girl Mwam is in town.

went to pick her up from her hotel at the magnificent burj al Arab.

IMG_1714.jpg

In the suite...wow...

IMG_1715.jpg

wow, the view from the suite...

IMG_1717.jpg
Having breakfast...chezea mie niliwahije asubuhi na mapema...lol..

IMG_1718.jpg
Mwam and i...

IMG_1720.jpg
View from our table...

IMG_1722.jpg
Mwam...

IMG_1724.jpg
Mwam and i...

IMG_1727.jpg
WOW. How elegant is this look???

IMG_1730.jpg
My lovie lovie...

AN AMAZING DAY WITH MY FRIEND...

huyu ndio kiboko ya ma sista duu wa Dar...mkwanja anao...ofisi ni airpot lounges, hana shida ya pesa, mume mzungu what more could a girl ask for?
 
Burj al Arab nijuavyo mimi per night ni dola elfu 10

mshahara wake ni dola sijui kiasi gani lakini itakuwa zaidi ya hiyo

safi sana mama huu ndio wakati wako kula nchi na kilichobaki tafuta kijana unayeendana naye akupe kampani tuuu

hivi jamani nafasi za kazi voda zipo?

AN AMAZING DAY WITH MY FRIEND...

huyu ndio kiboko ya ma sista duu wa Dar...mkwanja anao...ofisi ni airpot lounges, hana shida ya pesa, mume mzungu what more could a girl ask for?
[h=1]mbona watudanganya watu wazima?

Burj Al Arab Hotel Dubai[/h]Burj Al Arab Hotel Dubai

P.O.Box 74147 Dubai, United Arab Emirates

jumeirah_logo.gif

Star Ratings:

5stars.gif

Location :

Jumeirah Beach

Rooms:

202

burj_al_arab_hotel.jpg

Hotel Map

Housed in an ultra-modern 321 metres high construction, the superior five-star rated Burj Al Arab Hotel Dubai has 202 spacious, modern designed, luxuriously decorated and comfortably furnished rooms which each come with the most comprehensive amenities guaranteeing a most enjoyable stay. Burj Al Arab Hotel Dubai also boasts superb leisure facilities along with two excellent restaurants, café and bar/lounge area, from US$ 2,271per night
 
The ideas of the ruling class are and will always be ruling (dominating) ideas... those clever men and women who have enjoyed the status of the high class, they know exactly what to do for their siblings future.....

No wonder, out of nowhere…..dada anatanua vibaya...

Wenzangu mimi ambao wazazi wetu walikuwa kwenye kajamba nani poleni…. Kaza buti lakini utafika…
 
Burj al Arab nijuavyo mimi per night ni dola elfu 10

mshahara wake ni dola sijui kiasi gani lakini itakuwa zaidi ya hiyo

safi sana mama huu ndio wakati wako kula nchi na kilichobaki tafuta kijana unayeendana naye akupe kampani tuuu

hivi jamani nafasi za kazi voda zipo?

AN AMAZING DAY WITH MY FRIEND...

huyu ndio kiboko ya ma sista duu wa Dar...mkwanja anao...ofisi ni airpot lounges, hana shida ya pesa, mume mzungu what more could a girl ask for?

Tunashukuru kwa utafiti wako wa huyu dada kiboko...kesho tuletee na nyingine!...ila ukiboko wa mtu haujengwi na fedha pekeee.
 
mbona watudanganya watu wazima?

Burj Al Arab Hotel Dubai

Burj Al Arab Hotel Dubai

P.O.Box 74147 Dubai, United Arab Emirates

jumeirah_logo.gif

Star Ratings:

5stars.gif

Location :

Jumeirah Beach

Rooms:

202

burj_al_arab_hotel.jpg

Hotel Map

Housed in an ultra-modern 321 metres high construction, the superior five-star rated Burj Al Arab Hotel Dubai has 202 spacious, modern designed, luxuriously decorated and comfortably furnished rooms which each come with the most comprehensive amenities guaranteeing a most enjoyable stay. Burj Al Arab Hotel Dubai also boasts superb leisure facilities along with two excellent restaurants, café and bar/lounge area, from US$ 2,271per night

Kwenye red hapo bei inaanzia, sasa inaweza ikaendelea ubishi uko wapi?
 
mbona watudanganya watu wazima?

Burj Al Arab Hotel Dubai

Burj Al Arab Hotel Dubai

P.O.Box 74147 Dubai, United Arab Emirates

jumeirah_logo.gif

Star Ratings:

5stars.gif

Location :

Jumeirah Beach

Rooms:

202

burj_al_arab_hotel.jpg

Hotel Map

Housed in an ultra-modern 321 metres high construction, the superior five-star rated Burj Al Arab Hotel Dubai has 202 spacious, modern designed, luxuriously decorated and comfortably furnished rooms which each come with the most comprehensive amenities guaranteeing a most enjoyable stay. Burj Al Arab Hotel Dubai also boasts superb leisure facilities along with two excellent restaurants, café and bar/lounge area, from US$ 2,271per night

From usd 2271 iyo ndo the very mimimum....which means ndio single room yao tena bila breakfast na toilet...yenye breakfast na ambayo ni double room with toilet ndo usd kuanzia 10,000 huko...watu weweeeeeeeeee.....
 
Acheni kukurupuka. Kama umefuatilia comment za link aliyoitoa, rafikiye huyo binti wa makamba kastate kabisa wamespend around USD 2000~3000

Even the devil has an advocate.....so this suite costs between $2,000-$3,000?

IMG_1714.jpg
 
[h=1]mbona watudanganya watu wazima?

Burj Al Arab Hotel Dubai[/h]Burj Al Arab Hotel Dubai

P.O.Box 74147 Dubai, United Arab Emirates

jumeirah_logo.gif

Star Ratings:

5stars.gif

Location :

Jumeirah Beach

Rooms:

202

burj_al_arab_hotel.jpg

Hotel Map

Housed in an ultra-modern 321 metres high construction, the superior five-star rated Burj Al Arab Hotel Dubai has 202 spacious, modern designed, luxuriously decorated and comfortably furnished rooms which each come with the most comprehensive amenities guaranteeing a most enjoyable stay. Burj Al Arab Hotel Dubai also boasts superb leisure facilities along with two excellent restaurants, café and bar/lounge area, from US$ 2,271per night

mkuu rejao $2000 per night we unaona pesa ndogo? Million kama 3 kwa kulala tu!
 
Acha ajiachie,hana cha sijui baba kaishiwa,baba yake anakula pension .Hongera makamba you worked hard now your kids ni matawi ya juu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom