Binti Makamba, Lundenga, Miss Tanzania na roho zinazoelea!

Status
Not open for further replies.
Hapo kwenye red nakuunga mkono kwa sehemu kubwa. Shamhuna and His Co. aliishupalia sana SUMATRA iondoke zanzibar.
Juma-Shamhuna.jpg
Lands, Housing, Water and Energy minister Ali Juma Shamhuna

Hawa ndio wanasiasa ambao vitendo vyao havielezeki. Wameitimua SUMATRA Zenj bila kuweka utaratibu unaeleweka kulinda usalama wa wananchi.
Ni vyema wakawajibika kwa vitendo vyao kuhatarisha maisha wa watu masikini kwa sababu za kisiasa.
 
Ndugu usiwe mnafiki, peleka lawama zako kule Baraza la Wawakilishi walioondoa udhibiti na ukaguzi wa shughuli za usafiri huko Unguja na kuwa si suala la Muungano.
Voda haikuwa inaendesha chombo kile wala haikuwa inadhibiti usalama wa abiria.
Think straight buddy!!

Ndugu usiwe unaaandika kwa kutumia Masaburi, uwe unatumia mikono! Hakuna mtu aliyelaumu vodacom, Binti makamba ama Lundenga kwa kusababisha ajali. Suala la chanzo cha ajali kitabaki pale pale kwamba ni uzembe, na hatua za kuchunguza tayari zimeshachukuliwa ili kujua ukweli na hatua zaidi zichukuliwe!
Kuhusu kuwepo sumatra zanzibar haiwezi kuwa ndio chanzo cha ajali kama akili zako zinavyokutuma iwe hivyo, kwania Sumatra ipo bara na kila siku watanzania tunakufa kwa ajari za barabarani! Mwisho hivi leo huko moro ajali mbaya zimetokea na wtz wamekufa wengi. Mazizi karibu na wami hapa gari nne zimeanguka zikiwa na mizigo kupita kiasi na abiria pia.
Tunachojadili hapa ni kitendo cha kutoonyesha kujali tukio la huzuni kama lile la watz kufariki na wengine wakiwa hawajulikani hatma yao ndani ya bahari, huku watu wengine wakiendelea na shughuli za starehe na urembo. Pia ikumbukwe hakuna mtu aliyeshauri voda ingefunga shughuri za kibiashara ama kuamuru wafanya kazi wapumzike nyumbani wakiomboleza!
 
Tatizo lako hujajua nini kinaongelewa kwanini unachangia sasa?

Kelele za mlango...............................!, acheni uchinvi wenu. Kuanzia mwanzilishi wa thread na wachangiaji wote-nielezeni nani kati yenu aliyeacha kwenda kazini bcos of spice islander sinking!, mulitaka wasifanyekazi harafu wakale kwenu?. Mbona TVZ na TBC waliemdelea kupiga taarab na kuonyesha tom&jery na hamuhoji?!, hivi huko Zbar migahawa, mahotel na madanguro yalifungwa?!. MOD, INV&Painkiller movuzisha hii post maaana imejadiliwa mno.
 
Hujaelewa mada wewe, kinachozungumziwa ukisikia mdogo wako kafa nyumbani wewe utaendelea na harusi?? japo hata usipoendelea na harusi hawezi kufufuka ila ni lazima ukaomboleze na watu wengine kama utamaduni. Sasa umepata akili hapo? na umejiona kuwa IQ yako iko chini sana?

hata kama Vodacom na kamati ya miss TANZANIA WANGESITISHA TAMASHA SIJUI SHINDANO Hilo roho ngapi zingepona, je maiti zingeibuliwa zaidi , je ukweli ungebadilika kuwa meli ya mizigo ilibeba abiria, ama wakaguzi hawakukagua meli, ama nini kingeondoa ukweli kuwa meli ilizama kwa uzembe wa kujaza watu kupita kiasi, Voda sijui miss Tanzania ni mbinu chovu za kutafuta huruma kwa upuuzi wa kuzamisha meli kwa ujinga wa mamlaka za kiutawala na kiutendaji kule Znz.
 
Ni dalili ya wazi kwamba ile dhana ya uzalendo iliyodumu kwa muda mrefu hapa Tanzania imeelekea kutoweka!
Kikubwa na cha kushtusha ni kusikia taarifa ya Lundenga kwamba alipata taarifa saa tisa alasiri, wakati bado roho za watanzania zikiwa zinaendelea kuelea ndani ya maji ya kina kirefu kwenye bahari ya hindi.
Ila lingine la kusikitisha ni kwamba, katika wadau wa tukio hilo ni Mtoto wa aliyekuwa katibu mkuu wa ccm taifa hivi karibuni! Hii inaonyesha udhaifu wa hawa viongozi wetu katika malezi na makuzi ya vijana wao katika masuala ya uzalendo na tamaduni za watanzania. Kama viongozi wetu wanatoa pruducts kama hizi majumbani mwao, tusitegemee mazuri kwenye utendaji wao kama methari ya kingereza inayotafsirika kwa kiswahili "nionyeshe rafiki yako, nikuambie tabia yako"

Nilichojiuliza hapa ni kwamba, Mdhamini ndie mwenye influence katika project yeyote kutokea, sasa hapa vodacom hawawezi kwa namna yoyote ile kujiondoa kwenye lawama juu ya kadhia hii!
Kufanya tukio la Miss Tanzania huku roho za watanzania zikiwa zinahangaika majini kuokoa uhai wao ni dharau kubwa kwa wahanga ha tukio hilo
Pia Tukio hilo halikuwa na hadhi kuitwa miss Tanzania, kwa kuwa baadhi ya watanzania walikuwa katika ajali, na wengine walikuwa ni maiti zinazoelea majini!

Ushauri wangu ni kwamba!
1. Vodacom inatakiwa ijitokeze na kuomba radhi wa tz na wazanzibari kwa dharau waliyoionyesha juu ya hili
2. Serikali ya Muungano itoe tamko juu ya hili kabla ya kuongeza mpasuko juu ya muungano wetu
3. Watanzania wanaotoka znz wasusie, huduma, matukio, na misaada yoyote itokayo vodacom hadi pale watakapoomba radhi kwa dharau waliyoonyesha kwao!
Nawasilisha

Toka lini Vodacom wakawa na uzalendo??? Kulipa kodi kwenyewe wamezidiwa na Chibuku
 
It's not the responsibility of the government to tell the businesses to stop doing business when a disaster strikes! I think you've gone too far
 
.....And what is meant by "Cooperate Social responsibility" you son of fisad.

How does the tragedy in Zanzibar got anything to do with Vodacom?
Why not blaming the daladalas, taxis, Radio and TV stations, FAT, Yanga, night clubs and bar owners, for not stopping their operations on that day of tragedy? It was business as usual for every kind of business/activity. So why is it a big deal for Vodacom to do what they were supposed to do?
 
Mimi naona haya malumbano hayasaidii chochote zaidi ya watu kuonyeshana nani anajua kuandika zaidi ya mwingine hapa! cha msingi ni tuomboleze kwa haya masaibu yaliyotukuta watanzania lakini tukianza kulaumu tutakujagusa hata waliokuwa igunga kuwa kwanini hawakusitisha kampeini ili kuungana na wafiwa kuomboleza?!
Mungu azilaze roho za marehemu woote pema peponi.
 
Ni dalili ya wazi kwamba ile dhana ya uzalendo iliyodumu kwa muda mrefu hapa Tanzania imeelekea kutoweka!

Kikubwa na cha kushtusha ni kusikia taarifa ya Lundenga kwamba alipata taarifa saa tisa alasiri, wakati bado roho za watanzania zikiwa zinaendelea kuelea ndani ya maji ya kina kirefu kwenye bahari ya hindi.

Ila lingine la kusikitisha ni kwamba, katika wadau wa tukio hilo ni Mtoto wa aliyekuwa katibu mkuu wa ccm taifa hivi karibuni! Hii inaonyesha udhaifu wa hawa viongozi wetu katika malezi na makuzi ya vijana wao katika masuala ya uzalendo na tamaduni za watanzania. Kama viongozi wetu wanatoa pruducts kama hizi majumbani mwao, tusitegemee mazuri kwenye utendaji wao kama methari ya kingereza inayotafsirika kwa kiswahili "nionyeshe rafiki yako, nikuambie tabia yako"

Nilichojiuliza hapa ni kwamba, Mdhamini ndie mwenye influence katika project yeyote kutokea, sasa hapa vodacom hawawezi kwa namna yoyote ile kujiondoa kwenye lawama juu ya kadhia hii!

Kufanya tukio la Miss Tanzania huku roho za watanzania zikiwa zinahangaika majini kuokoa uhai wao ni dharau kubwa kwa wahanga ha tukio hilo
Pia Tukio hilo halikuwa na hadhi kuitwa miss Tanzania, kwa kuwa baadhi ya watanzania walikuwa katika ajali, na wengine walikuwa ni maiti zinazoelea majini!

Ushauri wangu ni kwamba!
1. Vodacom inatakiwa ijitokeze na kuomba radhi wa tz na wazanzibari kwa dharau waliyoionyesha juu ya hili
2. Serikali ya Muungano itoe tamko juu ya hili kabla ya kuongeza mpasuko juu ya muungano wetu
3. Watanzania wanaotoka znz wasusie, huduma, matukio, na misaada yoyote itokayo vodacom hadi pale watakapoomba radhi kwa dharau waliyoonyesha kwao!
Nawasilisha

Hapo nafikiri ni uchochezi na siyo ushauri. Lundenga ndiyo anatakiwa kuomba radhi na tayari ameshafanya hivyo, sasa hao vodacom wanaingiaje? kama ni kudhamini walishadhamini siku nyingi hata kabla ya hiyo siku.

Afterall siyo waliosababisha ni tamaa na watu wachache wanopenda kucheza na roho za watu.

Mungu walaze mahalai pema peponi. AMEN
 
How does the tragedy in Zanzibar got anything to do with Vodacom?
Why not blaming the daladalas, taxis, Radio and TV stations, FAT, Yanga, night clubs and bar owners, for not stopping their operations on that day of tragedy? It was business as usual for every kind of business/activity. So why is it a big deal for Vodacom to do what they were supposed to do?

WRONG+WRONG=RIGHT.....Isnt it?
 
Lundenga alifuata kitu kimoja ya kwamba kukatokea mtu kafariki na kulikuwa na sherehe ya ndoa basi shughuli inaendelea kwanza baaada ya hapo kuzika,
 
Ndugu usiwe unaaandika kwa kutumia Masaburi, uwe unatumia mikono! Hakuna mtu aliyelaumu vodacom, Binti makamba ama Lundenga kwa kusababisha ajali. Suala la chanzo cha ajali kitabaki pale pale kwamba ni uzembe, na hatua za kuchunguza tayari zimeshachukuliwa ili kujua ukweli na hatua zaidi zichukuliwe!Kuhusu kuwepo sumatra zanzibar haiwezi kuwa ndio chanzo cha ajali kama akili zako zinavyokutuma iwe hivyo, kwania Sumatra ipo bara na kila siku watanzania tunakufa kwa ajari za barabarani! Mwisho hivi leo huko moro ajali mbaya zimetokea na wtz wamekufa wengi. Mazizi karibu na wami hapa gari nne zimeanguka zikiwa na mizigo kupita kiasi na abiria pia. Tunachojadili hapa ni kitendo cha kutoonyesha kujali tukio la huzuni kama lile la watz kufariki na wengine wakiwa hawajulikani hatma yao ndani ya bahari, huku watu wengine wakiendelea na shughuli za starehe na urembo. Pia ikumbukwe hakuna mtu aliyeshauri voda ingefunga shughuri za kibiashara ama kuamuru wafanya kazi wapumzike nyumbani wakiomboleza!
Its my masaburi against your infertile masaburi.Na kama masaburi yako yangefaa chochote ungetumia muda huu kutafuta maiti za wahanga wa ajali zilizotapakaa pwani yote ya Afrika Mashariki,na kuyafuta chanzo cha ajali pamoja na mapungufu katika usimamizi na udhibiti wa udafori majini hulo Zenj.Tatizo nyie wenzetu mmezoea kulalama ,kulaumu na kukunja mikono vifuani mkitegemea vya mjomba. Hili tatizo its your stupid baby.Mmejitengenezea tatizo la kijinga na mnataka wote tuhusike.Hasa baada ya kuwafukuza SUMATRA huko Zenj,sasa zaodi ya kuwahurumia mwatala nini tena?Haya si mliyataka?Kuhusika kwangu mimi ni kuwahurumia wananchi wasio na hatia walioingizqa mkenge kwa matakwa ya kisiasa ya watu kama ninyi.Ati Zanzibar ni Nchi.Hamuwezi hata kuendesha usafiri endelevu na ulio salama. Ndo maana naona ni ujinga na unafiki uliokithiri kuilaumu Vodacom wakati marehemu wanaelea mpaka Mombasa.Waambieni basi Voda wakaopoe maiti huko Lamu kama mmeshindwa. Hii ndio athari ya mtoto kulilia wembe, mmeupata.
 
Hawa ni wenye hulka za kishabiki na hawajui mustakabali wao kama wananchi katika nchi huru yenye kufuata shria ,kanuni na taratibu hivyo hata uwaelimishe mpaka asubuhi watakuwa washabiki wa haya makampuni ya kigeni yasiyowathamini watanzania kwa sababu kuna mjomba wake pale ni Dereva.
Tukitaka kujua upumbavu wa watanzania soma hao wanaojidai kuwa hakuha mahusiano kati ya biashara kichaa kama za voda za kushamiri kwa wizi wa kodi na maisha ya wazanzibar.

Huo ndio ushamba wa watanzania, kuna siku mtafiwa na Rais wa nchi nao wataendelea na biashara zao, yaani kama nyie watanzania wenyewe mnaona hasara za miss tanzania kuahirishwa ni kubwa kuiliko maisha ya watanzania wenzetu ambao hata idadi yao mpaka sasa haijajulikana japo tunajua ni zaidi ya watu 1000, mtashangaa nini kesho mkiitwa panya nchi kwenu, nataka tu niwatoe ushamba kama hii swal ingekua south africa, hawa mbwa wasingefanya hilo tukio, hapa kwa kuwa wanaotakiwa kutoa ushauri ni wakina lundenga mkorogo na mwamvita bibi y dicloaf, tunaonekan tunaosema tuna wivu.

Kitakachoendelea kuitafuna nchi yetu ni ushamba wa hawa wanaopata vyeo, na ndio ile conclusion yangu kuwa haisaidii kuwapa vyeo watanzania wasio na uzalendo maana wataishia kushibisha matumbo yao kwa kutoa sponsorship kwa ccm na matukio anayoshiriki kaka, tu na sio kubadilisha maisha ya watanzania kwa ujumla. Hili ndio tatizo, tazama wakina mafuru hivi wanaweza kuonyesha nini mchango wao pale pamoja na kupata cheo aliishia kupalilia iniative za dick omondi, alizozokuta mpaka leo wakenya wanapeta pale miaka zaidi ya mitatu tangu dick aondoke, wakina willliam kalombo wanafanya nini ambacho watanzania hawawezi kukifanya?

Hili ndi tatizo letu umaskini wa akili na mawazo shenzi kabisa mbwa hawa wasiojali watu wao lakini eti watu wangepata hasara, jamani ungeumia tu kama baba yako angefia huko wale vichanga wewe huna habari nao
 
Kuna watu wajinga wajinga wanaifuatilia Voda baada ya ajaili wakitolea hasira zao za ajali ya boti utafikiri Voda ndo walisababisha ajalai ile.
Voda wakiendlea kula bata wakati wengine wanalia ni utashi wao na biashara zao.
Wanaotakiwa kuwajibika ni viongozi pale Zanzibar waliosbabisha ajali ile.
Tukumbuke hili la kusimamia meli Nchi Zanzibar ni la kwenu huko huko Zanzibar.
Mkosefu mnaye , mtafuteni na mumnyonge.
Hapa hakuna cha uzalendo wala Muungano, ni kesi ya jinai tu na kama mko wakweli msingojee tume za uongo na kweli.
Anyongwe mtu kwa kuua watu zaidi ta 1000.
 
JAMANI HIVI MAJANGA NI SWALA LA MUUNGANO ? Wakati mwingine ukweli usemwe bila kumung'unyamun'nya maneno,hawa wenzetu muungano ni kitu muhimu sana na ndiyo sababu hata SUMATRA hawawezi kusimamia meli za Zanzibar.Kama wadhibiti wa usafiri wa meli hawana ruhusa kudhibiti vyombo vya majini Zenj, Kwanini ajali ifanywe jambo la Muungano.
Pole kwa wale wataokwaza na hili swali,nami naomboleza Zanzibar,kenya na DRC

Kuna hoja nzito sana hapo.
Muungano wetu unaenda umbali gani ni swala la msingi sana,isije kuwa misiba si sehemu ya mambo ya muungano kama ilivyo Miss Tanzania nayo sio swala la Muungano,Hapa kweli swala lilikuwa ni la ujirani zaidi kuliko undugu. Kama kweli SUMATRA hawawezi kusimiamia usafiri hadi Unguja basi hii ajali ni ya kwao pekee yao sisi ni majirani tu ambao hatuwezi kuahirisha ratiba zetu labda siku ya mazishi,kwa mantiki hiyo kelele zote hizi na hata Hoja ya Zitto Kabwe haikuwa na maana kwa kuwa swala husika si la muungano.
Kwamba linatuhusu haina ubishi kwab sababu ya ujirani,kuna haja sasa kupitia msiba huu tuangalie nini faida za Muungano,Kwa kuwa swala la kuzama kwa mweli haliwezi kuwa la muungano kwa sababu taasisi inayoshughulikia usalama wa vyombo vya majini si ya kimuungano,Ingekuwa ni vigumu kwa bara kuchukua jukumu lolote katika kadhia hii bila idhini ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar. Haya ni moja ya mambo ambayo yaweza kuwa chachu ya kuangalia umuhimu wa Muungano na namna bora ya kuimarisha Muungano wetu...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom