Binti atoa mpya kwa mzazi

Binti atoa mpya kwa mzazi

jaffari odhiambo

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
526
Reaction score
13
Sikiliza huyu binti alivyomjibu baba yake mzazi. Walikuja vijana watatu kumposa
binti mmoja.

Kijana mmoja alikuwa Tajiri
sana..
Kijana wa pili alikuwa Handsome
sana...
Kijana wa tatu alikuwa maskini
sana..
Baba wa msichana akamwambia
bintiye,
Mwanangu nasaha yangu kwako.
Huyu kijana tajiri atakutajirisha
sana..
Kijana Handsome utazaa nae
watoto wazuri
sana...
Kijana maskini atakufanya uwe
maskini. Sasa
uamuzi ni wako...
Binti akasema, "Babangu huyu
kijana tajiri
hatatosheka na mimi ataoa
mke wa pili na
watatu na wanne...
Huyu kijana Handsome
atapendwa na
wanawake wengi kwa uzuri
wake..
Na huyu kijana maskini ataishi
na mimi peke
yangu hatafikiria mwanamke
mwengine kwa
sababu ya hali yake...
Nimemchagua huyu kijana
maskini, ni
maskini wa mali lakini tajiri wa
mapenzi na
uaminifu. Je, wewe kwa maono yako, huyo binti alitoa jibu sahihi?
 
Sikiliza huyu binti alivyomjibu baba yake mzazi. Walikuja vijana watatu kumposa
binti mmoja.

Kijana mmoja alikuwa Tajiri
sana..
Kijana wa pili alikuwa Handsome
sana...
Kijana wa tatu alikuwa maskini
sana..
Baba wa msichana akamwambia
bintiye,
Mwanangu nasaha yangu kwako.
Huyu kijana tajiri atakutajirisha
sana..
Kijana Handsome utazaa nae
watoto wazuri
sana...
Kijana maskini atakufanya uwe
maskini. Sasa
uamuzi ni wako...
Binti akasema, "Babangu huyu
kijana tajiri
hatatosheka na mimi ataoa
mke wa pili na
watatu na wanne...
Huyu kijana Handsome
atapendwa na
wanawake wengi kwa uzuri
wake..
Na huyu kijana maskini ataishi
na mimi peke
yangu hatafikiria mwanamke
mwengine kwa
sababu ya hali yake...
Nimemchagua huyu kijana
maskini, ni
maskini wa mali lakini tajiri wa
mapenzi na
uaminifu. Je, wewe kwa maono yako, huyo binti alitoa jibu sahihi?

ingekuwa ni hawa wa kitz wangemchagua tajiri hwataki shida
 
Sikiliza huyu binti alivyomjibu baba yake mzazi. Walikuja vijana watatu kumposa
binti mmoja.

Kijana mmoja alikuwa Tajiri
sana..
Kijana wa pili alikuwa Handsome
sana...
Kijana wa tatu alikuwa maskini
sana..
Baba wa msichana akamwambia
bintiye,
Mwanangu nasaha yangu kwako.
Huyu kijana tajiri atakutajirisha
sana..
Kijana Handsome utazaa nae
watoto wazuri
sana...
Kijana maskini atakufanya uwe
maskini. Sasa
uamuzi ni wako...
Binti akasema, "Babangu huyu
kijana tajiri
hatatosheka na mimi ataoa
mke wa pili na
watatu na wanne...
Huyu kijana Handsome
atapendwa na
wanawake wengi kwa uzuri
wake..
Na huyu kijana maskini ataishi
na mimi peke
yangu hatafikiria mwanamke
mwengine kwa
sababu ya hali yake...
Nimemchagua huyu kijana
maskini, ni
maskini wa mali lakini tajiri wa
mapenzi na
uaminifu. Je, wewe kwa maono yako, huyo binti alitoa jibu sahihi?

inaone kana haka kabinti ni ka anoligia sio kakidigiti
 
Yuko wapi Lara 1 aje atupe analysis yake. Maana yeye hataki akina avarage Joe...
 
STUPID!!!! Woga tu wa maisha na kutokujiamini. I DESERVE NOTHING BUT THE BEST,! Sowezi kukubali WASTE /EXCRETION PRODUCT KISA NAOHOPA KUZIDIWA MAARIDFA., Tutabanana hapo hapo kwa tajiri, wao waweze wana mini na mimi nisjindwe nina nini?
 
Wanaume Masikini wana matatizo mengii hasa wakija kupata pesaa
 
Kuna wengine maskini jeuri usiombe wapate utaomba dunia ipasuke

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Kwanza kabisa namshukuru mzazi kwa kumpa binti uhuru wa kuchagua maana hakutaka kummbana mwanae. Much thanx to him. Upande wa binti ni kwamba uchaguzi wake ulikuwa sawa lakini asimhukumu mtu bila kuona matendo yake.
 
STUPID!!!! Woga tu wa maisha na kutokujiamini. I DESERVE NOTHING BUT THE BEST,! Sowezi kukubali WASTE /EXCRETION PRODUCT KISA NAOHOPA KUZIDIWA MAARIDFA., Tutabanana hapo hapo kwa tajiri, wao waweze wana mini na mimi nisjindwe nina nini?

Hizo ni tamaa za kutamani mambo makubwa.

We unajua huo utajiri kaupata vipi,,nyuma ya mafanikio kuna siri kubwa sana.
 
Kwanza kabisa namshukuru mzazi kwa kumpa binti uhuru wa kuchagua maana hakutaka kummbana mwanae. Much thanx to him. Upande wa binti ni kwamba uchaguzi wake ulikuwa sawa lakini asimhukumu mtu bila kuona matendo yake.

Bila kufichana, wanawake walioolewa na mahendisamu au wenye njuluku,huishi maisha ya stress hata kama hao waume zao ni waaminifu
 
Niububusa kuchagua mume kwa vigezo hivyo peke yake!
...
Mtu akiwa na tabia mbaya, hali yake ya uchumi haisaidii lolote!
Na mtu akiwa na tabia njema, hali yake ya kiuchumi haiathiri lolote!
...
Performance ya m/me kitandani haiathiriwi na kipato chake!
........
Hata hivyo ukipata mwenye mkwanja matatizo madogo madogo hayawezi kukukuta usubirie tu makubwa makubwa! But ukiwa na maskini tegemea matatizo yote! Thus why tunatakiwa tufight ili tuwe na maisha mazuri!
 
Uhuru alipewa na mzazi lakini anajidanganya maana wapo maskini ambao ni shida tupu bora aombe kumpata mme mwema sio kuwa maskini ndo ana mapenzi ya kweli. Katika dunia ya sasa ni bahati tu ya mtu. Maskini naye ana tabia zake na matajiri nao wana tabia zao na wale handsome nao wana tabia zao. Pia sio kwamba yule handsome atapendwa na wengi huo ni uongo na kama ni hivyo basi na wanawake warembo nao watapendwa na wengi ni bora nasi wanaume tusiwaoe.
 
Yeye huo ni uamuzi wake ila mie ningemchagua tajiri nile maisha hata kama akioa saba kila mtu atakula kwa urefu wa kamba yake
 
Back
Top Bottom