MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 10,045
- 14,837
Akija kupata mafanikio ataomba talaka?
sredi klozidKumchagua mtu kwa utajiri wake ama umaskini wake nayo ni umburula! Una hakika huyo maskini hatokaa awe tajiri maisha yake yote?
Nahakika 99% ya wadada wachagua tajiri mfano: [MENTION]Lara1[/MENTION], tinna cute, Dinazarde, farkhina wote hawa wanaunga hoja ya kuolewa na tajiri sasa kwa hali hiyo maskini atamwoa nani maana maskini ni wengi resources are very few and compitation is high only for 1%