Koh koh koh....
Huyo binti angekua mchaga,najua angemchagua yupi.siri yangu.
Yeye huo ni uamuzi wake ila mie ningemchagua tajiri nile maisha hata kama akioa saba kila mtu atakula kwa urefu wa kamba yake
Sikiliza huyu binti alivyomjibu baba yake mzazi. Walikuja vijana watatu kumposa
binti mmoja.
Kijana mmoja alikuwa Tajiri
sana..
Kijana wa pili alikuwa Handsome
sana...
Kijana wa tatu alikuwa maskini
sana..
Baba wa msichana akamwambia
bintiye,
Mwanangu nasaha yangu kwako.
Huyu kijana tajiri atakutajirisha
sana..
Kijana Handsome utazaa nae
watoto wazuri
sana...
Kijana maskini atakufanya uwe
maskini. Sasa
uamuzi ni wako...
Binti akasema, "Babangu huyu
kijana tajiri
hatatosheka na mimi ataoa
mke wa pili na
watatu na wanne...
Huyu kijana Handsome
atapendwa na
wanawake wengi kwa uzuri
wake..
Na huyu kijana maskini ataishi
na mimi peke
yangu hatafikiria mwanamke
mwengine kwa
sababu ya hali yake...
Nimemchagua huyu kijana
maskini, ni
maskini wa mali lakini tajiri wa
mapenzi na
uaminifu. Je, wewe kwa maono yako, huyo binti alitoa jibu sahihi?
STUPID!!!! Woga tu wa maisha na kutokujiamini. I DESERVE NOTHING BUT THE BEST,! Sowezi kukubali WASTE /EXCRETION PRODUCT KISA NAOHOPA KUZIDIWA MAARIDFA., Tutabanana hapo hapo kwa tajiri, wao waweze wana mini na mimi nisjindwe nina nini?
STUPID!!!! Woga tu wa maisha na kutokujiamini. I DESERVE NOTHING BUT THE BEST,! Sowezi kukubali WASTE /EXCRETION PRODUCT KISA NAOHOPA KUZIDIWA MAARIDFA., Tutabanana hapo hapo kwa tajiri, wao waweze wana mini na mimi nisjindwe nina nini?
Ndo maana ckaagi na mwananke zaidi ya miaka mitano. Na huyu nilie nae nilianza nae 2010 huu ndo mwaka wake wa mwisho, af anasema anaujauzito wangu, me namwangalia tu, laiti angejua mikoa mingi ninawatoto. Cna undugu na jinsia ya kike zaidi ya mamaangu alienizaa. Hii style nmejifunza kutoka kwa dingi yangu mkubwa ambaye hadi anakufa amewahi kuishi na wanawake 8 na alikuwa akioa, akikuchoka mnagawana mali, anaoa mwingine. Ni ngumu kumpata mwanamke atakae kupenda jinsi ulivyo. Hii ndo solution, nyamafu.
Kiislaam:
-Kwa mali zao
-Kwa uzuri wao
-Kwa nasaba zao
-Kwa dini zao
Swadakta Kabsa Ila Umegeuza Juu Chini Nakufanya Din Kuwa Ya Mwisho Badala Ya Kwanza Then Nasaba>>>uzur Kisha Mali