jembe afrika
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 7,602
- 3,783
Huyo binti angekua mchaga,najua angemchagua yupi.siri yangu.
Kumchagua mtu kwa utajiri wake ama umaskini wake nayo ni umburula! Una hakika huyo maskini hatokaa awe tajiri maisha yake yote?
Yuko wapi Lara 1 aje atupe analysis yake. Maana yeye hataki akina avarage Joe...
Sikiliza huyu binti alivyomjibu baba yake mzazi. Walikuja vijana watatu kumposa
binti mmoja. Kijana mmoja alikuwa Tajiri sana..
Kijana wa pili alikuwa Handsome sana...
Kijana wa tatu alikuwa maskini sana..
Baba wa msichana akamwambia bintiye, Mwanangu nasaha yangu kwako.
Huyu kijana tajiri atakutajirisha sana..
Kijana Handsome utazaa nae watoto wazuri sana...
Kijana maskini atakufanya uwe maskini. Sasa uamuzi ni wako...
Binti akasema, "Babangu huyu kijana tajiri hatatosheka na mimi ataoa mke wa pili na watatu na wanne...
Huyu kijana Handsome atapendwa na wanawake wengi kwa uzuri wake..
Na huyu kijana maskini ataishi na mimi peke yangu hatafikiria mwanamke mwengine kwa
sababu ya hali yake...
Nimemchagua huyu kijana maskini, ni maskini wa mali lakini tajiri wa
mapenzi na uaminifu. Je, wewe kwa maono yako, huyo binti alitoa jibu sahihi?
STUPID!!!! Woga tu wa maisha na kutokujiamini. I DESERVE NOTHING BUT THE BEST,! Sowezi kukubali WASTE /EXCRETION PRODUCT KISA NAOHOPA KUZIDIWA MAARIDFA., Tutabanana hapo hapo kwa tajiri, wao waweze wana mini na mimi nisjindwe nina nini?
Shikamoo PesaKoh koh koh....
Shikamoo Pesa