AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,629
- 23,409
Watu wanatafuta hela kwa nguvu hapo kaonyesha mbele tu je angeonyesha nyuma views si zingekua billion 500Kaka sijaenda kuangalia nimekutana NAYO TU KWA bahati mbaya, mwanzo nilizani hamaanishi ila NILIPO kutana na video NYINGINE ya kwake nikaona kumbe ni content creator basi tumdhibiti