Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,428
- 11,850
Imekubidi uhoji?!😎😎What happened?
Mura tatighana na umusaghane huyo ndanyole niyeke utaya chunuchi wimuki umwisike utule nyumba mura akuibhure abhana mumenye bhuya naito!
Ni makabila yenye heshima hata kama wanatabia nyingine chafu, ni tofauti kama ungeenda kwenu kumtambulisha mzaramo, mgogo nk.Wahaya na wachaga sizan kama kuna sehem hayakubaliki... Kwanza yamezoeleka... Labda inakuwa ngumu kwa wale wa machame
aaaa wapi.. usiniambie wakurya tu ndio wanaopiga wanawake wao baada ya kuulizwa na wake zao kuhusu kuchepuka nje...Yani hawa mabwana unawezakuta ameoa mke ,
Mwanaume wa kikurya anachepuka tena kwa majidai!
Mke akigundua na kuanza kumuuliza kulikoni ?
Eti badala ya mwanaume kujishusha na kuonesha kuwa kweli amekosea badala yake atakuja juu na kuanza kumbutua mkewe kwa kipigo kizito!
Mwanaume umechepuka na ushahidi upo wazi kwanza hilo ni kosa kubwa sana,
Badala ya kuonesha kusikitika na kuomba msamaha na kuahidi kutokurudia ,
Eti badala yake anampiga mkewe tena, Yaani mwanamke anapata maudhi juu ya maudhi!
Aaah hao jamaa ni noma aisee?!
Sent using Jamii Forums mobile app
ukhore bhuyaa muraah...Mura tatighana na umusaghane huyo ndanyole niyeke utaya chunuchi wimuki umwisike utule nyumba mura akuibhure abhana mumenye bhuya naito!
Sent using Jamii Forums mobile app
ila kuna makabila mengine hapana kwa kweli.
hatari plus
Kwa wale vijana wenzangu wa KURYA, mnafahamu challenges za hawa watoto tunavyokuwa tunawapproach baada ya kuwa wamejua kabila letu.
eti utasikia...
- "ooh wakurya ni wakorofi"
- "ooh wakurya wanapiga wake zao"
The fact ni kwamba, kama mwanaume ana mkono wa kukupiga au uwezo kukupa wakati mgumu, haijalishi atakuwa ni wa kabila gani..
mfano:
1.SOUTH AFRICA: mamphista aliyempiga baby wodumo ni mkuryaaa??!
2.USA: Jonny depp aliyempiga amber heard ni mkurya??!
3.UK/USA: stephen belafonte aliyempiga mel b ni mkurya??!
ETC....
Tukianza kuchambua wenzi kutokana na makabila yao hakuna atakaye baki salama...ndiyo naelewa kuna negativities mbali mbali ambazo zimeacha marks katika makabila yetu, lakini haimanishi sio kila mtu anabeba hizo negativities zote.
Muda mwingine unakuta tu kabinti kameona hauna pesa za kutosha, hauna uwezo anao utaka yeye au kigezo kingine anachotaka yeye...anaamua kuja na kisingizio cha kabila.
"IT IS BETTER TO RISK SAVING A GUILTY MAN THAN CONDEMN AN INNOCENT ONE."
Sent using Jamii Forums mobile app
OYOOOOOOOO OYOOOOO AHSANTE DADA.. WAMBIE UKWELI.Wakurya sio wakorofi ki vile but ni Wanaume wanojiamini sana, They are so lovely I had one before..... nilienjoy mno
Sisemei uongo ni watu wanaojali sana wenzi wao, au wapenzi wao, Wadada tunashindwana na hawa watu coz hawapendi longo longo kama kitu ni YES ni Yes kama ni NO ni No...... I missed my Mkurya jamani
hawa mabinti wa sasa hawapendi mwanaume mwenye msimamo wa msingi...ukishakuwa na msimamo wanaanza kujitoa taratibu na wakitoka wanaanza kukubandikia sifa mbaya...Wakurya sio wakorofi ki vile but ni Wanaume wanojiamini sana, They are so lovely I had one before..... nilienjoy mno
Sisemei uongo ni watu wanaojali sana wenzi wao, au wapenzi wao, Wadada tunashindwana na hawa watu coz hawapendi longo longo kama kitu ni YES ni Yes kama ni NO ni No...... I missed my Mkurya jamani
hata siku moja boss siwez fanya huo upumbavu.. nibadirishe kabila eti kisa mademu hawapend wakurya.., thats pure stupidity.Nenda mahakamani ukabadili kabila(mbona majina tunabadili)[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
Sent using Jamii Forums mobile app
Lilikifanyaje hili kabila? Pole sanaHili kabila sitamani hata kulisikia hasa kwene mambo ya mahusiano, loooh
Sent using Jamii Forums mobile app
Aaargh kumbe hujawahi kuexperience kuwa na mkurya kwenye mahusiano? Inawezekana mawazo yakawa sahihiFrankly speaking, hata mimi nlikuwa na negative perception juu ya wanaume wa kikurya, huwa najua wakurya ni wakorofi, wakali , hawabembelezi wanawake n.k
lakini wewe umenifanya nibadili perception yangu kuwa kumbe sio wote wapo hivyo.
Btw ,You seem to be a gentleman.