Binti amekataa uchumba na mimi, kisa kabila langu

Binti amekataa uchumba na mimi, kisa kabila langu

Shut up,oa kwenu kuna wasichana wazuri tu!

Wewe umeona ubaguzi wa huyu dada,lakini huoni ubaguzi wako kwa dada zako wa damu wa nyumbani kwenu?

Ubaguzi ni both ways!

Watunuku dada zako nao wajisikie unawajali wewe!
Mkuu, kwa nini unapenda over-react, negative etc...Life is too short to be vengeful and malicious. Peace!
 
shut up na wewe pia, nani amekwambia nimekataa wa kwetu... kwahyo inamaanisha nikikutana na binti yoyote nimuulize kama ni mkurya wa kwetu.

nafikir utanitakiwa kuwaza kabla haujaandika.

Sent using Jamii Forums mobile app

Acha kupaniki wewe!

It shows una-feel guilty kuambiwa ukweli unaacha dada zako unmarried!

Kuoa ni deliberate decision usiniletee sijui tumekutana barabarani,upumbavu mtupu unaongea

Wewe umefanya deliberate decision ya kuacha dada zako wako unmarried na kwenda kuoa wengine as if wao sio wanawake who raised you with everything they got,plus,they do share ancestors with you!

Anaetakiwa kuwaza ni wewe mjinga in such a way unaacha women who look like you,who desperately gave their life for you and need you to help them with marriage,but your selfishness was so big and went to marry from your competitor!

This shows,you hate your people so much,meaning you actually hate yourself and your origins,whereby you want so bad to be like your competitor,and in order at least to be close,you went to marry their women!

The highest sacrifice you can do as a man is to marry and commit to a woman you share origins with and who gave you life!

Tabia ya kipumbavu sana hii kudharau dada zako this much!
 
Mkuu, kwa nini unapenda over-react, negative etc...Life is too short to be vengeful and malicious. Peace!

Labda nime-sound on high gear,I'm sorry,wala sikumaanisha ubaya wowote!

Ni just kuona mtu ana lalamika ubaguzi wakati yeye yeye kashabagua watu nyuma yake!
 
mm bint alikubali dada akakataa kisa nakunywa pombe af nina michepuko! sijui alikuwa anataka nimt.... mb yye?
 
Acha kupaniki wewe!

It shows una-feel guilty kuambiwa ukweli unaacha dada zako unmarried!

Kuoa ni deliberate decision usiniletee sijui tumekutana barabarani,upumbavu mtupu unaongea

Wewe umefanya deliberate decision ya kuacha dada zako wako unmarried na kwenda kuoa wengine as if wao sio wanawake who raised you with everything they got,plus,they do share ancestors with you!

Anaetakiwa kuwaza ni wewe mjinga in such a way unaacha women who look like you,who desperately gave their life for you and need you to help them with marriage,but your selfishness was so big and went to marry from your competitor!

This shows,you hate your people so much,meaning you actually hate yourself and your origins,whereby you want so bad to be like your competitor,and in order at least to be close,you went to marry their women!

The highest sacrifice you can do as a man is to marry and commit to a woman you share origins with and who gave you life!

Tabia ya kipumbavu sana hii kudharau dada zako this much!
hahaha... yani wewe jamaa ..
sitaki kupoteza energy yangu tena kwako coz mimi ndio nitaonekana a dumb person while you are.

najua uta reply hii meseji (kama kawaida yako)... ila tambua kuwa YOU ARE ARROGANT, YOU HATE YOURSELF NA PIA YOU ARE DEPRESSED.

enjoy the simple things in life, una complicate vitu ili uonekana kuwa una jua deep meaning ya mambo, ila YOU ARE A FRAUD.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
YOU ARE ARROGANT, YOU HATE YOURSELF NA PIA YOU ARE DEPRESSED.

Oh yeah!

Unaposhindwa kujibu hoja za watu unaishia kujipa cheo cha udaktari wa psychology na kuanza clinically diagnose watu online na ku-declare results?

You are so deluded!

You ain't no doctor,you are full shit like me!

YOU ARE A FRAUD.

Who cares?

Kaoe dada zako,wamekaa nyumbani hawana wa kuwaoa unakimbia majukumu ndezi wewe!

Ndio maana wanakubagua,this is full circle!
 
Jasili haachi asili, na ukimfuga nyoka ipo Sikh atarudi polini tu. Yaani unataka nikachumbie machame, kisa uchawi ni wa mtu binafsi? Wakati mwingine tuache utani kwenye suala la ndoa. Lakini mwanaume akipenda mwanamke hachomoki labda kama umeishiwa mbinu za kivita, watu tunawaendea mademu wanakuja na sababu debe lakini baada ya wiki yupo ghetto. Kaza mkuu ukizubaa unipe namba yake nikusaidie.

Kwa wale vijana wenzangu wa KURYA, mnafahamu challenges za hawa watoto tunavyokuwa tunawapproach baada ya kuwa wamejua kabila letu.

eti utasikia...

- "ooh wakurya ni wakorofi"

- "ooh wakurya wanapiga wake zao"

The fact ni kwamba, kama mwanaume ana mkono wa kukupiga au uwezo kukupa wakati mgumu, haijalishi atakuwa ni wa kabila gani..

mfano:

1.SOUTH AFRICA: mamphista aliyempiga baby wodumo ni mkuryaaa??!

2.USA: Jonny depp aliyempiga amber heard ni mkurya??!

3.UK/USA: stephen belafonte aliyempiga mel b ni mkurya??!

ETC....

Tukianza kuchambua wenzi kutokana na makabila yao hakuna atakaye baki salama...ndiyo naelewa kuna negativities mbali mbali ambazo zimeacha marks katika makabila yetu, lakini haimanishi sio kila mtu anabeba hizo negativities zote.

Muda mwingine unakuta tu kabinti kameona hauna pesa za kutosha, hauna uwezo anao utaka yeye au kigezo kingine anachotaka yeye...anaamua kuja na kisingizio cha kabila.

"IT IS BETTER TO RISK SAVING A GUILTY MAN THAN CONDEMN AN INNOCENT ONE."

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Frankly speaking, hata mimi nlikuwa na negative perception juu ya wanaume wa kikurya, huwa najua wakurya ni wakorofi, wakali , hawabembelezi wanawake n.k
lakini wewe umenifanya nibadili perception yangu kuwa kumbe sio wote wapo hivyo.
Btw ,You seem to be a gentleman.
 
thank u for being positive... nashukuru kwa kuwa muelewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom