Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,776
- 34,761
Twende taratibu, nulikutolea mfano wa Sergio Ramos, Puyol ukasema Hawa ubora wao ulionekana sababu ya kukutana na timu za England, hapo ndio nilipokataa Hadi tukafika hapa na ndio hapo nimekuja na mfano wa hao kina zidane, maradona, RonaldinhoHauna shaka ,na haiondoi kuwa ligi ya England ni Bora, nafikiri ulidakia mazungumzo yetu juu juu tu bila kujua chanzo