Top Gun
JF-Expert Member
- Dec 11, 2024
- 256
- 852
Uingereza ni ligi ngumu sana ila sio bora.
Ili lipo wazi takwimu zinaongea.
Ugumu wa ligi ya uingereza upo sehemu moja tu timu nyingi zinakaribiana viwango hali inayofanya ushindani uwe juu.
Pia kusema EPL sio ligi ya timu mbili pia uongo.
Ndani ya miaka 6 Pep kachukua EPL mara 5 tana kuna mda kachukua mara nne mfululizo utasemaje sio ligi ya timu mbili wakati kuna mmoja anachukua mara 4 mfululizo?
Wachambuzi wakaenda mbali mpaka kusema pep kaigeuza epl kuwa farmers league.
Kwangu La Liga ndio ligi bora zaidi.
😁😁😁
secretarybird