pandagichiza
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 6,468
- 4,870
Kwa Ronaldo ilishindikanaHakuna kitu kama hicho, hizo ni hisia zako. Ukiwa na timu mbovu unagongwa unasepa, rudia Tena huo mstari "ukiwa na timu mbovu unagongwa unasepa"
Nimekuambia kama issue ni kibiashara basi wangekutanishwa Ronaldo na Messi. Au hata Neymar na Messi au Neymar na Ronaldo au Ronaldo na mbappe
Messi kuna faulo alicheza angekuwa mchezaji mwingine angekula red