Bingwa wa World Cup 2026 ni Uingereza. Three Lions

ajentina kazoea mbeleko raisi wao wa fifa infantino chozi litamtoka siku iyo
Yani Argentina abebwe mbele ya 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿? Mkuu yani hiyo game itakua fair and square,mwenye kisu kikali ndio ataondoka na minofu...
Na sisi hatufungwi na wazee wamechoka wale
 
hahaha wale wazee wataishia katikati hawatovuka upande wa pili decline rice atamalizana nao
 
Ligi ngumu hiyo , kucheza England sio swala la mchezo mchezo lazima uwe ngangari kweli
Ukiichunguza kwa makini ni Ligi ambayo imekuwa ikinogeshwa zaidi na wachezaji kutoka nje. Hazard,Henry,CR7,Van Persie,Aguero,Giggs,Drogba,Bruno,KDB,Salah,n.k.

Wenyewe kama wenyewe wana pira lao fulani hivi linakaririka kirahisi hivyo kudhibitika kirahisi pia!
 
walikuwa strikers wazuri before ila walipokuja england mambo yao yalienda kombo.. ile ligi sio lele mama
England ukiruka ruka unavunjwa na kupotea mazima , ogopa ligi timu ndogo kama Aston villa ina ichapa Liverpool 7 licha ya Liverpool kumaliza nafasi ya 3 na villa kumaliza ya 11
 
England kwenye haya mashindano ni timu ya kufanyia promo na sio ya kubeba ubingwa.
Kma ilivyo kwa Argentine, England nao njia yao ilikuwa nyeupe sana hadi kufika hapo walipo.
haha haha ukitoa panama timu zote alizocheza nazo england zinaweza mkuu
 
England ukiruka ruka unavunjwa na kupotea mazima , ogopa ligi timu ndogo kama Aston villa ina ichapa Liverpool 7 licha ya Liverpool kumaliza nafasi ya 3 na villa kumaliza ya 11
unakuta sunderland wanamsimamisha chelsea alafu darajani pale. haina vibonde ile ligi
 
Hii timu mnaipenda kimazoea kwa sababu ina wachezaji wa vilabu vyenu pendwa lakini sio timu ya UBINGWA!

Mkuu Studentteacher, uko sahihi sana.
Uchambuzi wako umebeba uhalisia wa soka na mbinu kwa sababu zifuatazo:
  • Mtego wa EPL: Mashabiki wengi wanaishabikia Uingereza kimazoea kwa sababu ya mahaba ya Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) na wachezaji wa klabu zao pendwa kama Man Utd, Arsenal, Chelsea, na Liverpool.
  • Ukuta wa Hatua za Mtoano: Kiuhalisia, Uingereza huwa na kikosi kizuri sana kwenye makaratasi lakini inakosa kemia na uzoefu wa ubingwa pindi inapokutana na mataifa yaliyokomaa kisoka kwenye hatua za mtoano.
Hoja ya Young Tunafish imejaa mahaba na ushabiki wa dhati, lakini kiufundi na kiuchambuzi, hoja yako ndiyo yenye uhalisia wa soka.
 
watu wengi wamejaribu kutoa tabiri zao kuhusu timu gani itabeba ubingwa wa dunia na wengi kuishia kugonga mwamba kwakuwa timu walizotabiri zimeshaondolewa kwenye michuano ya world cup

Kabla mashindano haya makubwa duniani hayajaanza mm nilikuwa nasapoti timu ya taifa ya uingereza na niliwaambia watu kadhaa kuwa uingereza mwaka huu wanatwaa taji la dunia na leo nimeamua kuweka uzi huu hapa jukwaani ili watu wote waone na wao kutoa maoni yao maana hili ni jukwaa huru. game is on

IMG_0318.jpeg
 
Mkuu Studentteacher, uko sahihi sana.
Uchambuzi wako umebeba uhalisia wa soka na mbinu kwa sababu zifuatazo:
  • Mtego wa EPL: Mashabiki wengi wanaishabikia Uingereza kimazoea kwa sababu ya mahaba ya Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) na wachezaji wa klabu zao pendwa kama Man Utd, Arsenal, Chelsea, na Liverpool.
  • Ukuta wa Hatua za Mtoano: Kiuhalisia, Uingereza huwa na kikosi kizuri sana kwenye makaratasi lakini inakosa kemia na uzoefu wa ubingwa pindi inapokutana na mataifa yaliyokomaa kisoka kwenye hatua za mtoano.
Hoja ya Young Tunafish imejaa mahaba na ushabiki wa dhati, lakini kiufundi na kiuchambuzi, hoja yako ndiyo yenye uhalisia wa soka.
mshua nakupongeza kwa kuunga mkono hoja ya studentteacher ila kwani timu zingine hazijaita wachezaji wengi wanaotoka ligi za nchi husika?
 
Mkuu Studentteacher, uko sahihi sana.
Uchambuzi wako umebeba uhalisia wa soka na mbinu kwa sababu zifuatazo:
  • Mtego wa EPL: Mashabiki wengi wanaishabikia Uingereza kimazoea kwa sababu ya mahaba ya Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) na wachezaji wa klabu zao pendwa kama Man Utd, Arsenal, Chelsea, na Liverpool.
  • Ukuta wa Hatua za Mtoano: Kiuhalisia, Uingereza huwa na kikosi kizuri sana kwenye makaratasi lakini inakosa kemia na uzoefu wa ubingwa pindi inapokutana na mataifa yaliyokomaa kisoka kwenye hatua za mtoano.
Hoja ya Young Tunafish imejaa mahaba na ushabiki wa dhati, lakini kiufundi na kiuchambuzi, hoja yako ndiyo yenye uhalisia wa soka.
Tumuache atajionea mwenyewe. Yeye anazuzuka na hawa wakina Hary Kane anashindwa kutambua kwamba waliwahi kuwa na kizazi cha wakina Rooney,Lampard, Gerrard(Mr Liverpool),Rio Ferdinand(Mtalii wetu),John Terry, Gary Neville n.k. Wenyewe walikuwa wanakipamba kweli kwamba ni 'kikosi cha dhahabu' matokeo yake hata Euro tu iliwashinda kubeba!😀
 
Back
Top Bottom