Bingwa wa World Cup 2026 ni Uingereza. Three Lions

Sio lazima uwe ngangari. Kitachoweza kukufanya ucheze popote pale iwe uingereza, Spain la Liga, Germany na kwongine ni kuingia vizuri kwenye mfumo wa timu husika na si ligi.

Unataka kuniaminisha kuwa Maguire, konate, Laporte, masquera ni Bora kuliko Sergio Ramos, pepe, puyol, Hummel's n.k sababu tu hawa hawakucheza EPL?
Hao ubora wao ulionekana walipo kutana na timu za England, ligi ya timu mbili hauwezi iweka na England, England katim kadogo tu kana mwaga pesa ya usajili kushindana na ma giants , huko Spain kabla ya ligi unajua bingwa ni wawili tu
 
Sijakuelewa vizuri unasema ubora wa kina Sergio Ramos , puyol ulionekana sababu ya kukutana na timu za England?
 
Injuries tu hao, hao hapo juu walipotea wakawa wanakosa namba kabisa
Thierry Henry kushindwa kufanya vizuri kule la Liga ni sababu ya injury? Owen, Coutinho pia sababu ni injury? Unataka kutuaminisha kuwa mchezaji Bora anayetoka EPL hawezi kufanya vibaya ligi zingine? Hiki ndio unataka tuamini? smh

Sijui kama unajua ulichoandika au imefanya kusudi.
 
Ngoja nilewe kwanza bwashee , tutarudi hapa
Bora ulewe asee maana ulichoandika ni kama mtu ambae hajui lolote kuhusu soka. Ubora sa Sergio Ramos umepimwa kwa kukutana na timu za England? Hii ni zaidi ya utani. Lala kwanza
 
Sijasema kupimwa rudia kusoma tena
 
Thierry Henry kushindwa kufanya vizuri kule la Liga ni sababu ya injury? Owen, Coutinho pia sababu ni injury? Unataka kutuaminisha kuwa mchezaji Bora anayetoka EPL hawezi kufanya vibaya ligi zingine? Hiki ndio unataka tuamini? smh

Sijui kama unajua ulichoandika au imefanya kusudi.
Ligi ya England sio ligi ya timu mbili mkuu, ligi ya England haitabiri kwa namna yoyote ile .

MpKa sasa kombe la dunia wachezaji wa ligi ya England ndio wanaongoza kwa mchango wa goli nyingi .

Premier League 131
La Liga 68
Bundesliga 52

Ndio uone ukubwa na ubora wa England na hizo ligi za club mbili tu
 
Kuonekana ubora wao. kwa hiyo Sergio Ramos , puyol ubora wao umeaonakana sababu ya kukutana na timu za England?
Kwa washabiki wengi duniani ndivyo ilivyo England ni ligi yenye washabiki wengi duniani
 
Thierry Henry kushindwa kufanya vizuri kule la Liga ni sababu ya injury? Owen, Coutinho pia sababu ni injury? Unataka kutuaminisha kuwa mchezaji Bora anayetoka EPL hawezi kufanya vibaya ligi zingine? Hiki ndio unataka tuamini? smh

Sijui kama unajua ulichoandika au imefanya kusudi.
Henry haku wahi kufeli Barcelona, msimu wa kwanza alipiga goli 19 tu kwa sababu ya majeraha na talaka , msimu ulio fuata alifunga goli 26 na alibeba uefa , na lig copa del rey
 
Ligi ya England sio ligi ya timu mbili mkuu, ligi ya England haitabiri kwa namna yoyote ile .

MpKa sasa kombe la dunia wachezaji wa ligi ya England ndio wanaongoza kwa mchango wa goli nyingi .

Premier League 131
La Liga 68
Bundesliga 52

Ndio uone ukubwa na ubora wa England na hizo ligi za club mbili tu
Umekuja na kitu kipya ambacho tulikua hatubishani. Hakuna niliposema ligi ya England sio bora, nilichokutekebisha ni Kubweka orodha ya wachezaji waliotoka la Liga na kufanya vibaya EPL, bila kujua kuwa wapo waliokua wakifanya vizuri EPL lakini wakachemsha la liga. Issue yetu ilikua hapo, haya ya ligi Bora unayaleta sasa out of context
 
Henry haku wahi kufeli Barcelona, msimu wa kwanza alipiga goli 19 tu kwa sababu ya majeraha na talaka , msimu ulio fuata alifunga goli 26 na alibeba uefa , na lig copa del rey
Ufanye vizuri Barcelona alafu utoke uende ligi ya Marekani ukiwa kwenye ubora? Henry Amelia mchezaji Bora EPL na mfungaji Bora EPL, unahisi kwa Nini hakua mchezaji Bora, Wala mfungaji Bora Barcelona? Hayo mambo ya majeruhi na talaka ni sababu za uongo, hata uliowataja zipo changamoto walizipitia, au unahisi hao kina falcao hawakua majeruhi?
 
Kwa washabiki wengi duniani ndivyo ilivyo England ni ligi yenye washabiki wengi duniani
Hiyo Inahusiana vipi na tunachozungumza? Hiyo Inahusiana vipi na ubora wa kina Sergio Ramos?
Zidane, Ronaldinho, Pele, maradona, Hawa ni baadhi ya magwiji wa soka na hawakuwahi kicheza EPL kwa hiyo ubora wao una shaka nao?
 
Ufanye vizuri Barcelona alafu utoke uende ligi ya Marekani ukiwa kwenye ubora? Henry Amelia mchezaji Bora EPL na mfungaji Bora EPL, unahisi kwa Nini hakua mchezaji Bora, Wala mfungaji Bora Barcelona? Hayo mambo ya majeruhi na talaka ni sababu za uongo, hata uliowataja zipo changamoto walizipitia, au unahisi hao kina falcao hawakua majeruhi?
Mkuu Henry mtoe kwenye kufeli , nitakuja na rekodi zake hapa utakimbia
 
Hiyo Inahusiana vipi na tunachozungumza? Hiyo Inahusiana vipi na ubora wa kina Sergio Ramos?
Zidane, Ronaldinho, Pele, maradona, Hawa ni baadhi ya magwiji wa soka na hawakuwahi kicheza EPL kwa hiyo ubora wao una shaka nao?
Hauna shaka ,na haiondoi kuwa ligi ya England ni Bora, nafikiri ulidakia mazungumzo yetu juu juu tu bila kujua chanzo
 
Mkuu Henry mtoe kwenye kufeli , nitakuja na rekodi zake hapa utakimbia
Nimekuuliza kiwango alichokua nacho Henry EPL ni sawa na alichokua nacho la Liga? Henry huyu ambae Kuna msiku la Liga unaisha anafunga goli 2, unasema hajafeli? Mchezaji ambae alitoka kuwa top scorer na mchezaji Bora EpL?
 
Umekuja na kitu kipya ambacho tulikua hatubishani. Hakuna niliposema ligi ya England sio bora, nilichokutekebisha ni Kubweka orodha ya wachezaji waliotoka la Liga na kufanya vibaya EPL, bila kujua kuwa wapo waliokua wakifanya vizuri EPL lakini wakachemsha la liga. Issue yetu ilikua hapo, haya ya ligi Bora unayaleta sasa out of context
Wewe ndio hauelewi mzizi wa reply yangu , mimi ndio chanzo cha hizi reply, wewe umekuja kudakia post tu hivyo naendesha majadiliano kwa kiini cha mazungumzo toka mwanzo
 
Back
Top Bottom