Bingwa wa World Cup 2026 ni Uingereza. Three Lions

Bingwa wa World Cup 2026 ni Uingereza. Three Lions

Spain 🇪🇸
France 🇫🇷
Argentina 🇦🇷
Bingwa hatatoka nje ya hapo.
kati ya hizo timu nakutabiria anayecheza fainali ni france hao kenge wengine wanarudi nyumbani either robo au nusu
 
Itakuwa ni kazi ngumu sana kwa sababu lazima kwanza amfunge Norway kisha nusu fainali amfunge Argentina/Switzerland halafu ndipo fainali amfunge tena France/Spain/Belgium.

Kuna kibarua hapo cha kufa mtu.
 
norway mzuri ila hatishi.. kati ya hao waliobaki mkali ni france tu ndo tutachuana nae final
 
kati ya hizo timu nakutabiria anayecheza fainali ni france hao kenge wengine wanarudi nyumbani either robo au nusu
Spain vs France semifinal atakayeshinda ndiyo very likely atachukua kombe, lakini finals are very unpredictable so Argentina has same probable chances as those two.
 
England wachezaji wote isipokuwa Kane na Bellingham wanacheza EPL wakati wengine wamechanganya.
 
Hakuna kitu kama hicho, kiniashara zaidi ingekua labsa Ronaldo na Messi.

Ukiwa na timu mbovu unagongwa unasepa
FIFA na watu wa mpira wako kibiashara zaidi hata ratiba zinavyopangwa zina favor Baadhi ya timu ili zifike fainali
Angalia hata wachezaji wanaopewa Man of The Match
 
FIFA na watu wa mpira wako kibiashara zaidi hata ratiba zinavyopangwa zina favor Baadhi ya timu ili zifike fainali
Hakuna kitu kama hicho, hizo ni hisia zako. Ukiwa na timu mbovu unagongwa unasepa, rudia Tena huo mstari "ukiwa na timu mbovu unagongwa unasepa"

Nimekuambia kama issue ni kibiashara basi wangekutanishwa Ronaldo na Messi. Au hata Neymar na Messi au Neymar na Ronaldo au Ronaldo na mbappe
 
Back
Top Bottom