Mwaka wa Mbele
JF-Expert Member
- Mar 5, 2026
- 973
- 2,850
Kwa namna France wanavyocheza.
hili kombe ni lao
hili kombe ni lao
hao superstars unaowataja walishindwa kweli ila ni kawaida kwa timu yenye superstars wengi mifano ipo kwa brazil.. ila nimekwambia kizazi hiki kina hasira nyingi kuliko hao baba zaoTumuache atajionea mwenyewe. Yeye anazuzuka na hawa wakina Hary Kane anashindwa kutambua kwamba waliwahi kuwa na kizazi cha wakina Rooney,Lampard, Gerrard(Mr Liverpool),Rio Ferdinand(Mtalii wetu),John Terry, Gary Neville n.k. Wenyewe walikuwa wanakipamba kweli kwamba ni 'kikosi cha dhahabu' matokeo yake hata Euro tu iliwashinda kubeba!😀
kwa namna mambo yanavyobadilika mwishoni wataishia kuwa runner upKwa namna France wanavyocheza.
hili kombe ni lao
italy imepitwa na wakati mkuu.. spain nao hawatishi sana maana safari yao inaenda kufika tamatiItaly ya kupaki Bus ikakukanda
Spain ya vitoto vitoto ikakukanda
Hy ss kajikazeni tuone
Ghana alikuwa akumalize siku ile na style yao ya kupak 45 hk 45 anakujia juuitaly imepitwa na wakati mkuu.. spain nao hawatishi sana maana safari yao inaenda kufika tamati
Tatizo la timu yako,huna wakina Olise,Dembele,Messi,Pedri,Dani Olmo,Marc Allister.n.k. Una wajomba fulani hivi wakipigwa pini hawanaga mbadala. So ukiona hujatwaa ndoo usihangaike sana kutafuta sababu!😀france nao wanafanya vizuri ila wataenda kupoteza kwa uingereza fainali
Ila Antony godon, jude na Harry kane , sio wa mchezo mchezo, ni wa moto sana na kwa sasa ni wachezaji wa viwango vya juu mno ,safu yoyote ya ulinzi wanapasuaEngland kwenye haya mashindano ni timu ya kufanyia promo na sio ya kubeba ubingwa.
Kma ilivyo kwa Argentine, England nao njia yao ilikuwa nyeupe sana hadi kufika hapo walipo.
nikweli mkuu lakin hiyo haijalishi uzuri michuano ipo hatua ya robo fainali tunao muda wa kushuhudia mengiTatizo la timu yako,huna wakina Olise,Dembele,Messi,Pedri,Dani Olmo,Marc Allister.n.k. Una wajomba fulani hivi wakipigwa pini hawanaga mbadala. So ukiona hujatwaa ndoo usihangaike sana kutafuta sababu!😀
haha pale timu ilikuwa na uhakika wa nafasi ndomana waliplay safe.. unadhani ingekuwa hatua ya 32 bora huyo ghana angepata suluhuGhana alikuwa akumalize siku ile na style yao ya kupak 45 hk 45 anakujia juu
Afike finali kwanza ndio tujadili hapawatu wengi wamejaribu kutoa tabiri zao kuhusu timu gani itabeba ubingwa wa dunia na wengi kuishia kugonga mwamba kwakuwa timu walizotabiri zimeshaondolewa kwenye michuano ya world cup
Kabla mashindano haya makubwa duniani hayajaanza mm nilikuwa nasapoti timu ya taifa ya uingereza na niliwaambia watu kadhaa kuwa uingereza mwaka huu wanatwaa taji la dunia na leo nimeamua kuweka uzi huu hapa jukwaani ili watu wote waone na wao kutoa maoni yao maana hili ni jukwaa huru. game is on
sawa mkuuAfike finali kwanza ndio tujadili hapa
mara zote utabiri hutolewa kabla ya mchezo kutokea ndomana wazungu unaona wanatabiri kabla ya fainali.. timu ikifika fainali ni rahisi kutabiri kama itachukua ubingwa kuliko hivi sasa ilivyo hata robo fainali haijachezwaKuna waliosema ureno, na wengine morocco, wameula wa chuwa. Sasa na wewe utabiri wako una usahihi kiasi gani wakati robo na nusu fainali bado haijacheza? Subiri iingie kucheza fainali ndio uje na huu utabiri
hao wanabaki kuitwa mabingwa watetezi mpaka pale watakapoondoshwa kwenye michuano..Wakati huo wenye kombe letu Argentina unawaacha wapi !?
Utabiri hautolewi baada ya wingu kutandaKuna waliosema ureno, na wengine morocco, wameula wa chuwa. Sasa na wewe utabiri wako una usahihi kiasi gani wakati robo na nusu fainali bado haijacheza? Subiri iingie kucheza fainali ndio uje na huu utabiri
Spain 🇪🇸watu wengi wamejaribu kutoa tabiri zao kuhusu timu gani itabeba ubingwa wa dunia na wengi kuishia kugonga mwamba kwakuwa timu walizotabiri zimeshaondolewa kwenye michuano ya world cup
Kabla mashindano haya makubwa duniani hayajaanza mm nilikuwa nasapoti timu ya taifa ya uingereza na niliwaambia watu kadhaa kuwa uingereza mwaka huu wanatwaa taji la dunia na leo nimeamua kuweka uzi huu hapa jukwaani ili watu wote waone na wao kutoa maoni yao maana hili ni jukwaa huru. game is on
Gordon ni mzuri sana ndio maana sikushangaa Barca kumuondoa Rashford na kumchukua yeye tena kwa bei kubwa tu.Ila Antony godon, jude na Harry kane , sio wa mchezo mchezo, ni wa moto sana na kwa sasa ni wachezaji wa viwango vya juu mno ,safu yoyote ya ulinzi wanapasua
Mali kama hizi kipindi cha babu fegi lazima zitue matofalini 🥲Gordon ni mzuri sana ndio maana sikushangaa Barca kumuondoa Rashford na kumchukua yeye tena kwa bei kubwa tu.