Hata Mungu hufikia kikomo cha uvumilivu wa dhambi zetu na kutuadhibu kwa kifo kupitia dhambi hizo. Mathalan mtu akiwa jambazi anaweza kufa akifanya ujambazi.
Yamkini na sisi binadamu tuna sehemu ya kumshukuru muumba kumchukua binadamu anayeishi kwa kutesa wengine. Hapa hatuhukumu bali tunashukuru tu.
Katika vitabu vitakatifu Mungu amehusishwa kuliangamiza jeshi la adui dhidi ya wacha Mungu na mitume wake.
Mpambe wake mpya Beatrice Shellukindo baada ya kununuliwa tiketi ya kwenda huko Nigeria kutolewa mapepo ndio akaja na hiyo hadithi ya Joshua kutabili kuwa Lowassa atakuja kuwa Rais 2016!!
Mpambe wake mpya Beatrice Shellukindo baada ya kununuliwa tiketi ya kwenda huko Nigeria kutolewa mapepo ndio akaja na hiyo hadithi ya Joshua kutabili kuwa Lowassa atakuja kuwa Rais 2016!!
Rais wa MALAWI BINGU WA MUTHARIKA ameripotiwa kufariki dunia leo. Ni baada ya kupata Mshtuko wa moyo.
President Bingu wa Mutharika of Malawi has died, doctors and cabinet ministers have told the BBC, but this has not been officially announced.
One of the doctors who treated Mr Mutharika, 78, said the president was "clinically dead" on Thursday after suffering a cardiac arrest.
State media are still reporting that he has been flown to South Africa for medical treatment.
If confirmed, his death would spark a constitutional crisis, analysts say.
According to the constitution, the vice-president takes over if the head of state is incapacitated or dies in office.
But Vice-President Joyce Banda and Mr Mutharika fell out after a row over the succession in 2010, and she was expelled from the ruling Democratic People's Party (DPP).
Mr Mutharika's brother, Foreign Minister Peter Mutharika, was chosen instead of Ms Banda to be the DPP's presidential candidate in the 2014 elections.
He has been standing in for the president when needed during official occasions. Ms Banda recently told the BBC she had not spoken to Bingu wa Mutharika for more than a year.
The BBC's Raphael Tenthani in the main city, Blantyre, says ministers met all night to discuss the situation.
The doctors and ministers say that Mr Mutharika's body was taken to South Africa while a decision is taken about what to do next.
Government sources have told the BBC that efforts to resuscitate President Mutharika had failed and that an official announcement is being prepared.
Mr Mutharika, a former World Bank economist, came to power in a 2004 election. Soon afterwards, he dramatically abandoned his United Democratic Front (UDF) party to form the DPP, after accusing leading UDF members of opposing his campaign against corruption.
Since being re-elected with a large majority in 2009, critics allege he has demonstrated an increasingly authoritarian streak.
The president has been under mounting pressure to resign, amid accusations of nepotism and economic mismanagement.
The criticism has led to a souring in relations with major foreign aid donors, especially the United Kingdom.
Last year, Mr Mutharika expelled the UK High Commissioner, Fergus Cochrane-Dyet, after a leaked embassy cable quoted the diplomat as saying that the president could not tolerate criticism.
The Malawian leader said he could not accept "insults" just because the UK was his country's largest aid donor.
In response, the UK expelled the Malawian envoy to London and cut direct aid.
Malawi is one of the poorest countries in the world, with an estimated 75% of the population living on less than $1 (60p) a day.
The country has suffered shortages of fuel and foreign currency since the UK and other donors cancelled aid.
Ni kweli, lakini kuna nyakati tunaomba hata JK afe ili wengi wapone kutokana na mabaya anayolifanyia taifa hili. Mbona wengi tu wenye akili timamu wamekufa tena ambao walilifanyia taifa hili mema, mtu kama Sokoine, nani atasikitika akifa JK???? afe tu.....
Nazidi kuamini Lowasa atakuwa rais wa 2015, kwani Joshua alitabiri kutokea kifo within two months kwa kiongozi wa afrrica pia aliwai kutoa utabiri juu ya Edo kuwa presider.......R.I.P Mutharika
mkuu,mimi ni miongoni mwa wafuasi wasio rasm wa Tb joshua,maana,ukiondoa vpnd muhm kwenye TV za nchn petu,natumia muda wote kuangalia TV Emanuel!
Katika tabiri zote,huwa anatangaza popular,dunia nzima inaona,tena anarusha zaidi ya mara kumi kabla ya utabiri kutimia!
Mamvi alionekana kwa nabii akiombewa,lakini haijaoneshwa POPOTE(I stand to be corrected) sijaona mamvi akitabiriwa!
Labda atakuwa alimtabiria chooni wakiwa wawili,na kama ndivyo,bas EL atakuwa raisi wa familia yake(inawezekana kwa sasa inamshnda,mama anamwendesha EL)
mkuu,mimi ni miongoni mwa wafuasi wasio rasm wa Tb joshua,maana,ukiondoa vpnd muhm kwenye TV za nchn petu,natumia muda wote kuangalia TV Emanuel!
Katika tabiri zote,huwa anatangaza popular,dunia nzima inaona,tena anarusha zaidi ya mara kumi kabla ya utabiri kutimia!
Mamvi alionekana kwa nabii akiombewa,lakini haijaoneshwa POPOTE(I stand to be corrected) sijaona mamvi akitabiriwa!
Labda atakuwa alimtabiria chooni wakiwa wawili,na kama ndivyo,bas EL atakuwa raisi wa familia yake(inawezekana kwa sasa inamshnda,mama anamwendesha EL)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.