He he he hilo kerebu ndo limemuongezea hamu ya nyama ya hamu.... kazi kwako!!
Pole mkuu ila ungempa haki yake alafu c vema kumblock ktk mawasiliano cha msingi muekee mipaka tu hopefully atakutii
Kupenda binamu sio dhambi ma ake hi i vitu vinatokeaga tu automatically.Muombee hiyo haki huwa inaisha.mm iliwahi nitokea huko nyuma nashukuru Mungu ilikwisha kabisa
Muonjeshe mara moja alau aridhike nawe pia uridhike. Ikitokea mmeridhikana basi muendelee kuridhishana maana huu mchezo hauangalii undugu... ni misuguano tu ya misuli ya watu wawili wenye jinsia tofauti. Undugu ni jambo la pembeni saana.
pole sana,
huyo binamu hata baada ya kujua wewe ni binamu yake na bado akataka,basi ni baradhuli huyo,hafai kuwa mumeo,labda ndio zake,anawaparamia dada zake na binamu zake ndio maana haogopi.......🙁🙁🙁🙁🙁
Basi umefanya jambo la mbolea make nasikia siku hizi mnaogopa sana kujambiwa ndani wenyewe.
haya mapenzi haya sijui nani aliyaleta.Kazi kidogo.... yaani saa ingine kuna watu sijui huwa wanaamua tuu kujilipua. ...
Umesema neno la msingi sana hasa hapo nilipobold. inaonekana unaijua sana thamani yako. na unadhamini saana mtu unae amua kumvulia pichu yako. wengi sana hawajui kabisa hiyo thaman wao wajua kuvuavua tu.Kila mtu anapumua kwa njia zote mbili... juu na chini. Mtu ninayemfunulia chupi yangu ruksa kunijambia wakati wowote, sio ulemavu huo ni afya. Na ukiona mtu hajawahi hata siku moja kukujambia ujue kuna mambo anakuficha.
Huyo ndo mwanaume sasa.
Anakupenda toka enzi na enzi na hakati tamaa.
Amekuja hadi SA kwa ajili ya nyama ya hamu.
Na kwa ujasiri amekuambia shida yake wazi.
Pamoja na kwamba umemkatili hivyo, atarudi Tanzania kwa ushindi wa hali ya juu. Siku ukikutana nae dhamira yako itakusuta.
Ila kumbuka, huyo binamu lazima atakula hiyo nyama ya hamu.
Hiyo kesi haiishi leo wala kesho.
Safi sana...umefnya vema maana km ungempa mda wa kumsikiliza huwez jua labda hta ungebadil msimamo wko kwan na shetan ibilis yupo Lindon... huyo ni pep mchaf!!!Habari za usiku note,
Natumai mwisho wenu wa wiki unaenda vizuri.
Bila kupoteza maudhui, hii ni kali kuliko sigara looh....
Humu JF ndo nimekutana na binamu nyama ya hamu. Na hii imedhihirisha atafutaye hachoki akichoka keshapata. Kuna binamu yangu wa mbali kidogo mie bila kujua wala kutambua kumbe ananipenda bana, na pendo hilo sio nwee wala nwii ni pendo la mapenzi. Mie najua utani tuu, alipoona simuelewi si akaanza kunifukunyua.... akajua ID yangu ya JF na akaanza kunichombeza. Nilimpotezea nikijua ni milupo ya humu JF hakukata tamaa.... mwaka mzima ananifukuzia nikasema isiwe shida njoo SA as a date kisha baada ya hapo tutaona itakuwaje. Akaniambia hataki kufikia hotelini na akasisitiza afikie kwangu.
Nakatisha maelezo na kiufupi ile nimetokea Ortambo airport kumpokea si ndo nashangaa ni binamu....... macho yalintoka. ...
Kwanza mdogo kwangu miaka 10 nikamwambia kwangu sikupeleki utafikia hoteli. Tumebishana nikamwambia ukiniletea mizengwe mi naomba emergency off days naenda zangu TZ nakuacha hapa. Ndo akakubali kufikia hoteli.... baada ya majadiliano ya kina.... binamu akataka nyama ya hamu.
Nilijikuta nampiga keleb moja (kibao cha shavuni) kisha nikamtukana na kuondoka. Binamu kanichefua maana mi simpendi na ni mdogo kwangu halafu anaanzaje kuwaza ngono kwa binamu yake ambaye ni sawa na dada yake?
Nimemblock kwenye njia zangu zote za mawasiliano na amenifanya mawasiliano yoyote yanayonitafuta ambayo siyafahamu basi sijibu wala sipokei yaani nakacha.
Sitaki hata kujua kama bado yuko SA au ameshaondoka.... maana alikuja jana jioni.
Au mie sikuelewa nyama ya hamu ni nini labda kama sio matusi? Mnisaidie kunielewesha ......
Kasie.
Kasie,Atakuwa kuna kitu anatafuta si bure....
Yaweza kuwa anafanya dawa za kishirikina. We utafanyaje mapenzi na binamu.... yaani namuepa kuanzia sasa sitaki hata kumsikia wala kumuona.

Kwi kwi kwi...Muonjeshe mara moja alau aridhike nawe pia uridhike. Ikitokea mmeridhikana basi muendelee kuridhishana maana huu mchezo hauangalii undugu... ni misuguano tu ya misuli ya watu wawili wenye jinsia tofauti. Undugu ni jambo la pembeni saana.