Binamu Nyama ya Hamu..

Binamu Nyama ya Hamu..

Binamu nyana ya hamu...ukiila haiishi utamu.....

Sio.manenobyangu hayo nimedesa mahali tu

Mmmhh haya maneno akiyasoma binamu ndo atazidi kupagawa azidi kunifatilia looh asije akayaona haya maneno hapa.
 
Bavaria acha kunitisha bana sasa mie ntamchunia tuu kama anaendelea kunifatilia atakuwa kimpango wake maana mie sina feelings nae... nina wangu nimpendae.... kuwa sijaolewa haimaanishi niko vacant kwa yeyote. ....
Kuna walio olewa but wanachepuka pia ishu ni kijheshimu tu
 
Hao inabidi warudishwe mkoleni kufundwa upya...
Honesty is an expensive thing
1472378480613.jpg
 
Umemzidi 10 years?
basi after 5 years utamtafuta tu we mwenyewe

After 5 to 10 years utakuwa una approach 40 dogo yuko kwenye 30...
hutakuwa na ujanja saana....kama akizidi tu kukusumbua
utampa siku moja
 
Umemzidi 10 years?
basi after 5 years utamtafuta tu we mwenyewe

After 5 to 10 years utakuwa una approach 40 dogo yuko kwenye 30...
hutakuwa na ujanja saana....kama akizidi tu kukusumbua
utampa siku moja

Hahahahaaa I bet you.... I won't. .... hata iweje.
 
Subiri tu uzeeke....hata salamu ukose barabarani
utamkumbuka binamu

Kwani wazee wenzangu wanaume watakuwa wapi? Halafu after 10 years I'll be in my late 50s while he'll be in his 40s... still will be the same gap so won't change a thing. After all huko kwenye fifties sitataka kubinuliwa kama stage show itakuwa ni kubarikiana tuu tunafurahi tunalala
 
At fifties wanawake hamu inaongezeka
ndo maana wanahonga vijana
subiri uone
 
Back
Top Bottom