arabianfalcon
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 2,285
- 584
Ni binti nimekaa nae tangu alipo maliza std7 kasoma sec kwangu,nami ndo nimemlipia,hawezi kula,kulala bila kuniona,hadi ikaleta bifu kwa wife na kaondoka,juzi kaendaa home baada ya kumaliza fm4 hakuweza kukaa kaleta noma anasema siwezi ishi mbali na kaka,kape wa nauli na uncle ili aje tu hadi shangazi-mke wa uncle ananitania mkwe.nisaidieni nifanye nini.na hapa anakuja nampeleka computer course
Mbona una elekea na wewe pia mate yanakutoka? au ndio mambo ya binamu kinyama cha hamu lol! chamsingi nikuachana na fikra hizo sababu ukiweza kumvua nguo huyo ujue kila binamu atakae jisogeza kwako kazi itakua ndio hiyo na vile vile heshima itapungua,heshimu ndoa yako huyo binamu muonyeshe kua huna mda na yeye na unampenda sana mkeo atakuharibia nyumba...