Sipo
JF-Expert Member
- Jul 25, 2008
- 2,139
- 91
Kaka unataka kuhakikisha kabisa kabla ya kushauri? Ila nyie kabila lenu najua wanaruhusu haya mambo ndio maana unacofidence.ah mkuu
unajua kuna wakati mtu anaomba ushauri kwa kitu ambacho anaweza kuamua.
ila kama huyo binam anapenda sana mimego basi amlete sandakalawe tujihakikishie kabla ya kumshauri. lol