Binam nyama ya ham!

s.fm

JF-Expert Member
Jul 8, 2009
663
117
Hi wana JF..nimekua nikisikia kuwa mtu na binamu yake wanaweza kumegana kama kawaida, hivi is it true? Then kuna binamu ananisumbua kweli and am sure nikimega tu my family wil know coz she's realy admire the staff.
 
Utajiju..
Tena kwa taarifa yako penzi ni kikohozi kulificha huliwezi.
Binamu nyama ya hamu...haikubaliki kabisa kwa mila za kiafrika.
Mambo hayo ya mabinanu yapo sana arabuni ambapo ndugu huwa wanaona.
Afrika mila za namna hiyo tulikuwa nazo miaka mingi sana ya nyuma,
lakini baada ya kugundua hasara za kuoana wana ndugu tukazitupilia mbali kwani madhara yake yalikuwa ni makubwa sana ikiwemo kuzaa watoto wenye mtindio wa ubingo na taahira ya akili, magonjwa ya kurithi , kinga dhaifu ya mwili na mengineyo mengi.
Nakushauri usijaribu kumnjunji binamu.
 
Hi wana JF..nimekua nikisikia kuwa mtu na binamu yake wanaweza kumegana kama kawaida, hivi is it true? Then kuna binamu ananisumbua kweli and am sure nikimega tu my family wil know coz she's realy admire the staff.

Inategemea na mila/tamaduni za kabila lenu. Kuna baadhi ya tamaduni binamu wanaoana. Kwani anakusumbua kivipi?

Most cultures do not in fact ban marriage between first cousins, and indeed there are many cultures which actively encourage it (the Indian culture for example, or the Pakistani culture where about 55% of people marry first cousins). However, there are certain diseases/ conditions which are known as 'recessive genetic' diseases (an example is Epidermolisis Bulosa) which are much enhanced when people of similar blood marry (consanguinity).
 
Kwa kabila letu ni kosa kubwa sana kufanya mapenzi na binamu. Sijui makabila mengine
 
Inategemea na mila/tamaduni za kabila lenu. Kuna baadhi ya tamaduni binamu wanaoana. Kwani anakusumbua kivipi?
bana na wewe vp? Anataka kumegwa..bt nimeonja ka kiss tu,
 
Hiyo ya kumega mabinamu ilianzia kwenye Biblia. Yakobo alikwenda kuposa kwa mjomba wake Labani kumposa Raheli bintiye. Kumbe dada yake Raheli aitwaye Lea alikuwa ameshapitisha umri wa kuolewa na alikuwa anakaribia kuwa 'nung'aembe'. Labani na mkewe wakafanya hila usiku wa harusi wakamfungashia Lea, jamaa akagutuka asubuhi akiwa tayari keshamega. Akadai mke niliyetaka mbona si huyu, wakamwambia ukimtaka Raheli inabidi ulipe mahari upya maana huyo hapo Lea umeshaoa tayari na mahari tushakula. Kwa kuwa Raheli alikuwa mtoto 'kisu' kinoma, Yakobo akagangamala akamlipia, akachukua mabinamu wote wawili akawa anamega kwa nafasi na raha zake!
 
hahahahaa, huu umri wa 'manung'aembe' ni upi hasa Mtu B.
 
Hi wana JF..nimekua nikisikia kuwa mtu na binamu yake wanaweza kumegana kama kawaida, hivi is it true? Then kuna binamu ananisumbua kweli and am sure nikimega tu my family wil know coz she's realy admire the staff.

Hapo bolded sijakuelewa binamu naomba unieleweshe kabla sijakusaidia jibu
 
Average age at which women have their first marriage plus 2 standard deviations from the mean, hiyo ndiyo normal. Umri ukishazidi hapo ujue 'nung'aembe'.

Teh teh,kiblurei hicho mkuu.Basi lakin usinifafanulie tena,nimeridhika na jibu.
 
Kuna baadhi ya makabila kwao ni sawa kwa mtu kumuoa binamu yake, mfano watu wa Mafia nina mfano ulio hai. Ila kwa upande wako inaonekana hairuhusiwi ndo maana unaogopa familia ikijua. Ushauri wangu usijaribu kummega binamu yako.
 
Mkubwa heri lawama kuliko fedheha. Ni bora uache tu kwani you will have nothing to loose.
 
Back
Top Bottom