Binam nyama ya ham!

ah mkuu
unajua kuna wakati mtu anaomba ushauri kwa kitu ambacho anaweza kuamua.
ila kama huyo binam anapenda sana mimego basi amlete sandakalawe tujihakikishie kabla ya kumshauri. lol
Kaka unataka kuhakikisha kabisa kabla ya kushauri? Ila nyie kabila lenu najua wanaruhusu haya mambo ndio maana unacofidence.
 
Hi wana JF..nimekua nikisikia kuwa mtu na binamu yake wanaweza kumegana kama kawaida, hivi is it true? Then kuna binamu ananisumbua kweli and am sure nikimega tu my family wil know coz she's realy admire the staff.

Kama wewe ni mpare, mchagga, mbulu, mnyakyusa au mtu wa pwani mega, halafu ukipenda fuata mila tu....

Ila ujue ni hatari sana hata kwa maisha ya badae, mapenzi ya ndugu hayaishi na mara nyingi yanaharbu mapenzi ya badae
 
Kaka unataka kuhakikisha kabisa kabla ya kushauri? Ila nyie kabila lenu najua wanaruhusu haya mambo ndio maana unacofidence.
naona mkuu umeamua kunikabili haswaaaa!!! nadhani akimleta kwangu nimkague kama anayo ile ladha itakiwayo naweza kushauri kama analika au haramu.

ila kwa kuwa mtoto wa kike anaamua kuishikia bango mmego basi ameguliwe bila shaka. nasisitiza nipewe namba ya binamu nifanye ukaguzi wa kawaida tu
 
Mkuu sijakukabili ni kujaribu kupata jambo jipya tu.
Mkuu umeniacha hoi hapo.........................ameguliwe
Nimecheka mpaka nimekumbuka lunch time
 
Mkuu sijakukabili ni kujaribu kupata jambo jipya tu.
Mkuu umeniacha hoi hapo.........................ameguliwe
Nimecheka mpaka nimekumbuka lunch time
mkuu nakutakia lanchi njema.

ila siku hizi mabinamu wameingia uchizi sana dhidi ya sisi binamu zao wa kumeni. hivyo mimi sina nia mbaya na binamu wa S.FM zaidi ya kumpelekea huduma pale alipo. hivyo nipatiwe namba yake niweze kumdodofya kingoni na kumpa ushauri kuntu bureee!!!
 
Hi, ndugu yangu hiyo ni laana usijaribu maana binamu awe mtoto wa mjomba au wa shangazi ni kama dada yako kwani mna mahusiano ya karibu sana kwa sababu, shangazi ni dada wa babako na mjomba ni kaka wa mamako! Unaweza kufanya ukazoea mara ukammega sister ako kabisaaa!
 
Ni kweli kwamba mtu na binamu yake ni ndugu wa karibu kwa sababu wanachangia damu (kama tunavyosema waswahili) ila uhusiano wao siyo wa karibu genetically kama alivyo mtu na dadaye au kaka. Kwa kifupi tu ni kuwa, mtu na dada wanachangia 50% ya genes wakati mtu na babu au bibi yake wanachangia 25%. Mtu na binamu yake wanachangia wastani wa 6.25% ya genes zote. Hiki ni kiwango kikubwa lakini siyo sawa na mtu na dada yake. Hata hivyo kama inawezekana basi ni kuepuka kuoa mtu ambaye mnachangia genes wakati wapo watu kibao tu ambao hamna uhusiano wowote wa damu.
 
kwangu mimi binamu ni dada/kaka. Waarabu wanaoa binamu kwasababu ni vigumu kutongozana. Mila zao haziruhusu vijana kuwa pamoja tena unaweza usijue kama jirani anabinti mzuri so ni suala la wazazi kukutafutia mume au mke. Lakini pia niliwahi kusikia kuwa wahehe wanaoa binamu zao tena wanadai ndo heshma. Ila ktk tembetembea zangu huko Iringa na vitongoji vyake sikuweza kubaini hilo.
 
naona mkuu umeamua kunikabili haswaaaa!!! nadhani akimleta kwangu nimkague kama anayo ile ladha itakiwayo naweza kushauri kama analika au haramu.

ila kwa kuwa mtoto wa kike anaamua kuishikia bango mmego basi ameguliwe bila shaka. nasisitiza nipewe namba ya binamu nifanye ukaguzi wa kawaida tu
mwenye binamu stuka hapa! ooh, huyu msanii atamaliza nyama yote ya hamu ukimpa namba.
 
mwenye binamu stuka hapa! ooh, huyu msanii atamaliza nyama yote ya hamu ukimpa namba.
mnanibania sana nyie watu.

lakini naamini kama anataka how to deal effective na binamuye ni kuntu akiilengesha namba yake kwangu ili kwamba nimpime dna maana labda si binamuye maana siku hizi akina baba wanasingiziwa sana viumbe
 
Hey boy try ya level to be busy................forget about binamu itakusumbua
 
Back
Top Bottom