Watawala wetu wamelaaniwa.Ila hii nchi inakera jaman
Lakini umesahau kusema na Kodi alizokuwa anatakiwa kulipa kila siku kwenye mamlaka husika kwa kulinganisha na hiyo buku 20! ambayo ni kwa mwaka.Mtaji wa huyo mama muuza mchicha ni Buku moja tu, lakini amelazimishwa kuchujua kitambulisho cha mjasiriamali kwa Buku 20!!
Yaani unatafuta maana ya kushika tama au? Tena kwenye jukwaa la siasa.alivoshika tama sijui alikua anamaanisha nini..
Kwa nini kwenye jukwaa la siasa?natafuta maan ya hiyo picha
Wacha porojo wewe, nani anafanya biashara ya kijinga ya kuuza fungu mbili kwa siku?Mchicha Fungu mbili wenye thamani isiyozidi shipingi elfu moja, kitambulisho shingoni cha shilingi elfu ishirini.
Ni ukaguzi wa vitambulisho vya machingawakuu mimi binafsi nashindwa kuelewa hii picha na jinsi huyo mdada aliesimama alivoshika tama sijui alikua anamaanisha nini.. kama umeielewa tuelezeeee tuelewe na sisiView attachment 1093972