Binafsi sijaielewa hii picha

Binafsi sijaielewa hii picha

EricMan

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2017
Posts
3,745
Reaction score
6,607
wakuu mimi binafsi nashindwa kuelewa hii picha na jinsi huyo mdada aliesimama alivoshika tama sijui alikua anamaanisha nini.. kama umeielewa tuelezeeee tuelewe na sisi
IMG_20190511_123440_432.jpeg
 
wakuu mimi binafsi nashindwa kuelewa hii picha na jinsi huyo mdada aliesimama alivoshika tama sijui alikua anamaanisha nini.. kama umeielewa tuelezeeee tuelewe na sisiView attachment 1093972
Huyu aliyeshika tama hana id ya mzee baba ilihali anauza bidhaa zake.
Sasa anaona akifikiwa sijui itakuaje.

Maana inaonekana huyo msela kama vile anafanya ukaguzi wa watu wenye hizo ID
 
Huyo hata kumtoza 1000 kwa mwaka ni dhambi kubwa maana hakuna anachofaidi hapo zaidi ya kutafuta 300 ya madaftari ya mtoto wake. Yaani mchicha fungu 4 ni mfanyabiashara!!?
shid binadam tunasahau 20 atapiga ten huyo
 
Back
Top Bottom