little hulk
JF-Expert Member
- Jun 20, 2014
- 1,610
- 556
Nonses kabisa....
Watu wengine wanaota njozi halafu wanaziandika hapa.Unamzungumzia nani au Kiranga ?
Fiction movie ha haKatika utafiti wa kijiografia huko Marekani, imegundulika kuwa katika sayari ya jupiter pia huishi binadamu kama sayari yetu hii ya dunia [earth].
Tofauti iliyopo kati yao na siye ni kwamba, sisi huzaliwa kwa kupitia mama zetu baada ya kubeba mimba miezi 9 lakini wao hutotolewa kama vifaranga vya Mbuni baada ya kukaa katika yai mwaka 1 na miezi 7.
Wanaishi maisha mazuri sana kama ya Adamu na Eva. Hawaugui wala kufa bali wakizeeka huyeyuka na kupaa mbinguni. Wanaishi maisha ambayo hayapo duniani, hakuna magari wala majumba zaidi ya yote huko hakuna UKIMWI.
HII NDO JUPITER
View attachment 401458
siyo kila kitabu ulichosoma watu wamekisoma ulitakiwa unihamasishe kuwa soma kitabu cha DR. ASIMOV utajua hiki na hiki lakn siyo kwakuniponda kuwa sijui loloteWatu wengine wanaota njozi halafu wanaziandika hapa.
Nikitaka kusoma Science Fiction nitamalizia vitabu vyangu vya Foundation Anthology na hadithi za Dr. Isaac Asimov.
Instead of reading about Jupiter from kids who do not even know who Dr. Asimov is.
Hutakuwa na nini?unamuita ila usikimbie maana sitakuwa na TYM
Kukuhamasisha kwangu ni kwa makonzi kama hivyo.siyo kila kitabu ulichosoma watu wamekisoma ulitakiwa unihamasishe kuwa soma kitabu cha DR. ASIMOV utajua hiki na hiki lakn siyo kwakuniponda kuwa sijui lolote
its me the sorce
Yaaan we jamaa hakuna hata mmoja aliyekuunga mkono. Bado unang'ang'ania uongo wa mchana kweupeeeeeeeeeeeeeeee. Ukweli wangu ninaoujua ni kwamba hamna kitu kama hicho..weka ukweli uujuao basi
Teh teh teh haya usiyempenda kaishakujaunamuita ila usikimbie maana sitakuwa na TYM